Yanga Ina watu wazito, hii ndo bodi ya wadhamini waliochaguliwa

Yanga Ina watu wazito, hii ndo bodi ya wadhamini waliochaguliwa

Kamati ya siasa ya Ccm in back ground.

Tunapowaambiaga kila siku hapa timu za Simba na Yanga zinamilikiwa na serikali kuna viziwi huwa hawaelewi.

Bodi ya wadhamini ndio wamiliki wa timu na Mali zote za timu.

ukweli mtupu. Katika nchi yetu tunashabikia haya mambo kwa kujitoa ufahamu tu. Ila kiukweli ndani yake kuna mambo ya hovyo sana. Ni vile tu hakuna mifumo imara ya kushughulika nayo.
 
alafu kwenye mikutano yenu msiishie kusema tu raisi bali mseme raisi wa yanga nyie mnaoongozwa na hao waarabu.
 
Sintofahamu ni kwako tu si kwa watu wa Yanga au watu wa mpira.

Mrs Karume yupo bodi ya wadhamini ya Yanga kitambo, si kwamba ndio uteuzi wake wa kwanza huu.

Kuna mashabiki wa Simba wengi tu hawajui kama Karume ndiye aliyetowa pesa za Kujenga makao makuu ya Simba Msimbazi kwa heshima ya Kawawa Simba wa Vita na ndio mwenye timu yake.
hujui kitu wewe
 
Back
Top Bottom