Yanga inambidi amfunge Medeama goli 5 ili kufufua matumaini ya kufuzu

Ushabiki mwingine aisee, sasa jana Simba alipocheza hakuwa katika hesabu za tukiwaki? Yanga leo anatakiwa ashinde haijalishi Belouizdad na Al Ahly watatokaje. Hata jana Simba iliomba Asec amfunge Galaxy ili mazingira yao yawe salama.
 
Robo ambayo Simba kwa miaka minne amekuwa akiingia lakini yeye amekuwa mtu wa kwanza kunidhihaki na sasa kanitunhia jina Mwakarobo.[emoji35][emoji35][emoji35]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushabiki mwingine aisee, sasa jana Simba alipocheza hakuwa katika hesabu za tukiwaki? Yanga leo anatakiwa ashinde haijalishi Belouizdad na Al Ahly watatokaje. Hata jana Simba iliomba Asec amfunge Galaxy ili mazingira yao yawe salama.
Unajifanya hauijui Tuki Waki Table wakati wewe mwenyewe umeitumia hapo juu. Ili kufuzu Simba anahitaji kujali mechi zake tu haijalishi wengine wanachezaje, Yanga bado anahitaji kujua matokeo ya wengine yakoje ili kujua nafasi yake imekaaje. Ndiyo maana nzima ya Tuki Waki!
 
Yanga leo anapigwa goli 1 kabla ya dk ya 30.na holi hilo halitarudishwa hadi dk90 zinakatika.
 
Nimekushangaa wewe unayejifanya unaiongelea Yanga kuhusu Tukiwaki wakati jana tu ulikuwa kwenye Tukiwaki. Sasa ajabu kwa Yanga ni kipi?

Hata Yanga akijali mechi zake vile vile anafuzu pasipo kujali wegine watatokaje.
Simba inaenda kucheza na Asec ikiwa inahitaji point moja au sare. Akifungwa inabidi atazamie nini kitatokea baina ya Galaxy dhidi ya Wydad.
 
Kwa nini sasa mnaombea CRB afungwe na Al Ahly kama hamjali matokeo ya wengine? Jana Simba ilikuwa inahitaji kushinda tu mechi yake haijalishi wengine wanafanyaje.

Hadi hili unataka kulianzishia mjadala wakati lipo clear bin wazi kabisa
 
Kwahiyo nyie mmeshaingia Robo..!!?🤣🤣🤣
Hawa watu ndiyo maana Rage aliwaita mbumbumbu. Yaani kwa nna alivyoandika, unaweza ukafikiri timu yake imeshafuzu hiyo hatua ya robo fainali!! Kumbe wamefufua tu matumaini.
 
Ahmed arajiga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hawa watu ndiyo maana Rage aliwaita mbumbumbu. Yaani kwa nna alivyoandika, unaweza ukafikiri timu yake imeshafuzu hiyo hatua ya robo fainali!! Kumbe wamefufua tu matumaini.
Unaweza ukabeti hata nyumba yako, Simba yupo robo fainali,. Utake ama usitake
 
Sawa ila msimamo wangu mi ndio ule kaunganeni na Azam na Singida ndio watao wasapoti maana ndio mliokaa nao kikao
 
Simba imeshaingia robo fainali?
 
Nakuunga mkono na mguu mwana Lunyasi mwenzangu...
Hawa wanatakiwa waitwe Mwakakundi....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…