Yanga inambidi amfunge Medeama goli 5 ili kufufua matumaini ya kufuzu

Yanga inambidi amfunge Medeama goli 5 ili kufufua matumaini ya kufuzu

Ebwana huu uzi niliusoma ila sikuuzingatia sana. Kumbe safari ya Yanga inaweza kuisha rasmi leo au kabla hata ya mechi za mzunguko wa 5 wa timu zote. Yaani ili kujua kama atafuzu inabidi kuumiza vichwa kwa Tuki Waki Table, kwani mlitulipia ada?

Tuombee Medeama ampunguzie maumivu mgonjwa wetu mahututi kwa kunyofoa waya ili kuimaliza safari yake leo. Kama ndugu tuombee hilo. Ikishindikana saana basi CRB amfunge au atoke sare na Al Ahly katika mechi iliyoahirishwa iliyokuwa ifanyike jana. Ni suala la Yanga kuchagua tu anataka kufa kifo gani [emoji1787][emoji23][emoji1787]
Ushabiki mwingine aisee, sasa jana Simba alipocheza hakuwa katika hesabu za tukiwaki? Yanga leo anatakiwa ashinde haijalishi Belouizdad na Al Ahly watatokaje. Hata jana Simba iliomba Asec amfunge Galaxy ili mazingira yao yawe salama.
 
Niwe mkweli siwezi nikamuombea Yanga apite makundi.

Ntamuombea ashinde mechi lakini sio afike robo

Robo ambayo Simba kwa miaka minne amekuwa akiingia lakini yeye amekuwa mtu wa kwanza kunidhihaki na sasa kanitunhia jina Mwakarobo.

Hapana siwezi kuwa mnafiki.

Lazima ajue kwanini kuna ugumu kwenye haya mashindano, lazima atambue kwanini kufika hapa ilimchukua miaka 27.

Hii ndio nidhamu ya mpira ambayo anatakiwa kujifunza na sio kupiga domo kwa timu pinzani na kuzipa mbinu za kumfunga Simba.
Robo ambayo Simba kwa miaka minne amekuwa akiingia lakini yeye amekuwa mtu wa kwanza kunidhihaki na sasa kanitunhia jina Mwakarobo.[emoji35][emoji35][emoji35]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushabiki mwingine aisee, sasa jana Simba alipocheza hakuwa katika hesabu za tukiwaki? Yanga leo anatakiwa ashinde haijalishi Belouizdad na Al Ahly watatokaje. Hata jana Simba iliomba Asec amfunge Galaxy ili mazingira yao yawe salama.
Unajifanya hauijui Tuki Waki Table wakati wewe mwenyewe umeitumia hapo juu. Ili kufuzu Simba anahitaji kujali mechi zake tu haijalishi wengine wanachezaje, Yanga bado anahitaji kujua matokeo ya wengine yakoje ili kujua nafasi yake imekaaje. Ndiyo maana nzima ya Tuki Waki!
 
Yanga leo anapigwa goli 1 kabla ya dk ya 30.na holi hilo halitarudishwa hadi dk90 zinakatika.
 
Unajifanya hauijui Tuki Waki Table wakati wewe mwenyewe umeitumia hapo juu. Ili kufuzu Simba anahitaji kujali mechi zake tu haijalishi wengine wanachezaje, Yanga bado anahitaji kujua matokeo ya wengine yakoje ili kujua nafasi yake imekaaje. Ndiyo maana nzima ya Tuki Waki!
Nimekushangaa wewe unayejifanya unaiongelea Yanga kuhusu Tukiwaki wakati jana tu ulikuwa kwenye Tukiwaki. Sasa ajabu kwa Yanga ni kipi?

Hata Yanga akijali mechi zake vile vile anafuzu pasipo kujali wegine watatokaje.
Simba inaenda kucheza na Asec ikiwa inahitaji point moja au sare. Akifungwa inabidi atazamie nini kitatokea baina ya Galaxy dhidi ya Wydad.
 
Kwa nini sasa mnaombea CRB afungwe na Al Ahly kama hamjali matokeo ya wengine? Jana Simba ilikuwa inahitaji kushinda tu mechi yake haijalishi wengine wanafanyaje.

Hadi hili unataka kulianzishia mjadala wakati lipo clear bin wazi kabisa
 
Kwahiyo nyie mmeshaingia Robo..!!?🤣🤣🤣
Hawa watu ndiyo maana Rage aliwaita mbumbumbu. Yaani kwa nna alivyoandika, unaweza ukafikiri timu yake imeshafuzu hiyo hatua ya robo fainali!! Kumbe wamefufua tu matumaini.
 
Safari ya Yanga robo fainali ni ngumu, ni ngumu sababu ya kuruhusu zile goal 3. Huku cha kwanza wana angalia H2H na mshindani wako ikiwa point mpo sawa. Mshindani wa Yanga ni CR B hivyo Yanga anatakiwa kumfunga CR B 3 au zaidi kitu ambacho ni kigumu.
Hata kama akimfunga Medeama 10 ila akishindwa kumfunga CR B goal 3 hapa kwa Mkapa ajiandae safari yake ndio imeiva arudi kucheza na Mashujaa na marefa wake wa mchongo kina Kheri Sasi.
Ahmed arajiga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hawa watu ndiyo maana Rage aliwaita mbumbumbu. Yaani kwa nna alivyoandika, unaweza ukafikiri timu yake imeshafuzu hiyo hatua ya robo fainali!! Kumbe wamefufua tu matumaini.
Unaweza ukabeti hata nyumba yako, Simba yupo robo fainali,. Utake ama usitake
 
Mwakarobo kwa sababu amekuwa kubwa jinga miaka yote hajifunzi akakwama hapohapo mfano wake ni sawa jamaa ambaye kila siku anaingia chumbani na mkewe wanakuwa faragha na kusaula lakini hafanyi chochote ataonekana kolo kuliko jamaa mwengine ambaye anajitafuta bado hajaoa bado lakini anaesema siku nitakapo mpata mweza kitaumana na ikawa hivyo hakufanya uzembe alipojipata.
Sawa ila msimamo wangu mi ndio ule kaunganeni na Azam na Singida ndio watao wasapoti maana ndio mliokaa nao kikao
 
View attachment 2847530

Ki ukweli japo mi shabiki wa Simba nataka pia Yanga apite robo, sababu itakuwa heshima kwa TZ kuwa na timu mbili robo fainali, katika timu 8 (Hata Misri ni mara chache anafanikiwa kuingiza timu 2 robo fainali)

Ili Yanga awe na nafasi ya kufuzu robo sio tu amfunge Medeama bali anatakiwa kumfunga kwa goli 5 au zaidi

Likely Scenario ipo hivi

Yanga anagombea nafasi ya pili na C.R.B huku yanga akiwa na goal difference ya -3 wakati CRB ana +2

Yanga akishinda goli 5 atakuwa na pointi 5 na G.D ya +2 na CRB akitoa draw na Ahly kule Algeria (likely scenario) naye atakuwa na pointi 5 na G.D yake ikibaki +2 na Yanga kuwa nafasi ya tatu

Mechi ya 5 Yanga dhidi ya Ahly kule Misri akijitahidi akifungwa 2-1 bado atakuwa na pointi zake 5 bado na goal diffence ya +1

CRB akimfunga Medeama kule Algeria 2-0 naye atakuwa na pointi 8 na G.D ya +4

Mechi ya mwisho Yanga dhidi ya CRB anamfunga goli 3-0 kwa Mkapa anakuwa na pointi 8 na G.D ya +4 huku CRB akibaki na pointi nane pia na G.D ya +1 na Yanga anapitaa kwa kuwa na magoli mengi

So mechi ya kesho ndio mechi pekee ambayo Yanga ana nafasi kubwa ya ushindi, ushindi basi uwe mnono....
Simba imeshaingia robo fainali?
 
Niwe mkweli siwezi nikamuombea Yanga apite makundi.

Ntamuombea ashinde mechi lakini sio afike robo

Robo ambayo Simba kwa miaka minne amekuwa akiingia lakini yeye amekuwa mtu wa kwanza kunidhihaki na sasa kanitunhia jina Mwakarobo.

Hapana siwezi kuwa mnafiki.

Lazima ajue kwanini kuna ugumu kwenye haya mashindano, lazima atambue kwanini kufika hapa ilimchukua miaka 27.

Hii ndio nidhamu ya mpira ambayo anatakiwa kujifunza na sio kupiga domo kwa timu pinzani na kuzipa mbinu za kumfunga Simba.
Nakuunga mkono na mguu mwana Lunyasi mwenzangu...
Hawa wanatakiwa waitwe Mwakakundi....
 
Back
Top Bottom