Yanga inasikitishwa na Tamko lililotolewa na Mdhamini Sportpesa

Huo sinimkeka wa yanga? Subiri kesho mpaka kufikia saa 7 mchana sportpesa nao watatoa mkeka wao pia, yanga jeuri sportpesa nae huwa nijeuri vilevile wala hawakuona kazi kuwamgomea simba matakwa yao kuelekea kurenew mkataba mpya, pia kule kenya waliwachokonoa kidogo kwenye kodi wakaondoka mazima nakuviacha vilabu kama gor mahia e.t.c kwenye hali mbaya ya kiuchumi....hii movie inapoeleka tutaona mengi...abbas tarimba kimyaa anashindwa aegemee upande upi!
 
Unafikiri Yanga hii ilipofikia hata hao Sport Pesa wakiondoka itayumba kiuchumi? Unafikiri makampuni mangapi yanaihitaji Yanga leo
 
Weledi gani wametumia?

Mdhamini Mkuu wa Yanga ni Sportpesa, haijalishi anashiriki Kombe gani..

Nyie mmefanya uhuni na kulazimisha.

Ngoja tuone mwisho itakuwaje
Uhuni gani yanga imefanya na nini imelazimisha? Yanga anatambua sports pesa ni mdhamini mkuu, caf hatua za robo fainali Sheria zao zinazuia timu kudhaminiwa na wacheza kamari, asa yanga ulitaka wafenyeje kama sports pesa hajakidhi vigezo vya caf?
 
Imeisha hiyo angizeni jezi zingine mtuuzie angalau 80,000/-,zenye ubora Kama za Haier,ziandikwe Sportpesa watatulia
 
Unafikiri Yanga hii ilipofikia hata hao Sport Pesa wakiondoka itayumba kiuchumi? Unafikiri makampuni mangapi yanaihitaji Yanga leo
mm siyafahamu nitajie hata makampuni 5 tu chief
 
 
Mbao andika juu ya klabu kuwa ya kihuni nyie wote simbani..🤣🤣🤣 mnachemsha
 
Hii club inahitaji wanasheria wapya. Ujinga na upuuzi umekuwa mwingi sana.
 
Waondoke hata usiku huu
 
Hiyo ndio hoja ya msingi ambayo hata mimi nili doubt kuwa lazima Yanga ndiye aliyekwenda against makubaliano

Kama jambo mlilianzia mezani kwa kushirikishana kwanini lisiishie mezani?

Msemaji wa SportPesa amesema kuwa walitoa proposal ya kutumia LiveScore kwenye jezi

Yanga wakajibu pale pale kuwa hiyo haiwezekani kwasababu utakuwa una deal na kitu kile kile ambacho CAF wamekataza.

SportPesa wao wakadai wapewe majibu ya kimaandishi kutoka CAF na sio speculations za uongozi wa Yanga

Yanga wakaondoka, huku nyuma SportPesa wanasubiria majibu wakifikiri Yanga wataenda kutafiti kwenye vyanzo vya CAF wanastukia tu jezi inazinduliwa na mbele mdhamini ni HAIER

Yanga haikutumia busara na sijui kulikuwa na ulazima gani wa kufosi mpaka ufikie hatua ya ku shake uhusiano wako na mdhamini mkuu aliyeweka pesa nyingi over a little something stupid
 
Yani ukiwa shabiki wa Simba lazima na ubongo wako uwe sawasawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…