Yanga inasikitishwa na Tamko lililotolewa na Mdhamini Sportpesa

Yote haya kayaleta Feitoto. Kaza tu
 
Yanga wamekosea sana katika hili na hii ni ishara kuwa club hii inaendeshwa kama genge la wahuni inapokuja suala la kuheshimu mikataba ndiyo maana ina migogoro ya kimikataba kila uchao
 
Yote Kwa yote wanajua wao maana Kila taasisi ina wanasheria wake vikishindana waende mahakamani tu ila kiukweli jezi mpya ni Kali kinoma hongera Yanga.
 
Uhuni gani yanga imefanya na nini imelazimisha? Yanga anatambua sports pesa ni mdhamini mkuu, caf hatua za robo fainali Sheria zao zinazuia timu kudhaminiwa na wacheza kamari, asa yanga ulitaka wafenyeje kama sports pesa hajakidhi vigezo vya caf?
Washabiki wa hii timu mna akili ndogo Sana..na kila kitu nyie mnatetea.
 
Hapo ndio utaona hawa watu wameamua kushea akili ndogo na mashabiki wao. Yaani SP hawana haki lakini waliwa consult. Wanasema wakataka waweke SPLivescore, maana yake nini? Maana yake walijua ana haki ndio maana walituma maombi. Lakini hawaonyeshi baada ya kushindwana kwenye Visit Tz ilikuwaje wakaibuka na nembo nyingine. Hawaonyeshi kama walifikia muafaka wowote na mtu mwenye haki.
SP walitaka Yanga ionyeshe ushahidi wa Livescore kukataliwa. Yanga hawajafafanua hiyo.

Blah blah za kutosha eti SP kikanuni hairuhusiwi na CAF. Hayo maelezo yana tija gani wakati sio sehemu ya malalamiko ya SP. SP inasema inajua yote hayo ila kwa nini mmeweka main sponsor mpya bila ridhaa yao?

Mashabiki wanachoshabikia ni taarifa tu lakini yaliyomo kwenye taarifa hawajui
 
Washabiki wa hii timu mna akili ndogo Sana..na kila kitu nyie mnatetea.
Ungekuwa Una akili kubwa ungeleta hapa arguments za caf kupinga kuwa haizuii mdhamini kuwa mcheza kamari hatua za robo fainali, lkn tofauti yake umekuja na verse mliokaririshwi pindi mzidiwapo Kwa hoja.
 
Ungekuwa Una akili kubwa ungeleta hapa arguments za caf kupinga kuwa haizuii mdhamini kuwa mcheza kamari hatua za robo fainali, lkn tofauti yake umekuja na verse mliokaririshwi pindi mzidiwapo Kwa hoja.
mimi naijua hiyo team yako toka wewe uko kwenu nanjilinji..ubishi na kupenda kubishana ni asili ya asili ya hiyo team siku zote.
 
Umeamini kama tuliokuwa tunabishana humu ni viongozi wa Yanga? Ule hopeless arguments ndio zipo kwenye taarifa
 
Imeisha hiyo angizeni jezi zingine mtuuzie angalau 80,000/-,zenye ubora Kama za Haier,ziandikwe Sportpesa watatulia
Na Haier yeye awe amekosa?
 
Picha inaanza tu club haijawahi kushinda kesi yoyote inayo kabiliana nayo kwanzia kesi za mikataba ya wachezaji huwa wanaangukia pua ubabaishaji kibao
 
Hiyo kampuni ya betting ni wahuni.

Jana nilishangaa mtu wao anaitwa Msuya ni mwanamke ameongelea tena ili jambo, nikajiuliza hii ni Kampuni ama kikundi cha wahuni.

Si walishawaandikia barua Yanga, si wasubiri wajibiwe ama wachukue hatua wanazoona kwao zinafaa na sio kuleta maneno ya Taarab kwenye media.
 
Bwana mjuaji
 
Tufanye Yanga ni wajinga, Sportpesa wana akili kila kitu kipo kama unavyo taka wewe, faida yako ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…