ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Sehemu yenye pesa migogoro haikosekani kama hakuna pesa mtagombania niniYanga wamekosea sana katika hili na hii ni ishara kuwa club hii inaendeshwa kama genge la wahuni inapokuja suala la kuheshimu mikataba ndiyo maana ina migogoro ya kimikataba kila uchao
Yanga ni law firm?Picha inaanza tu club haijawahi kushinda kesi yoyote inayo kabiliana nayo kwanzia kesi za mikataba ya wachezaji huwa wanaangukia pua ubabaishaji kibao
Jioni ya leo utasikitika vizuriHapo ndio utaona hawa watu wameamua kushea akili ndogo na mashabiki wao. Yaani SP hawana haki lakini waliwa consult. Wanasema wakataka waweke SPLivescore, maana yake nini? Maana yake walijua ana haki ndio maana walituma maombi. Lakini hawaonyeshi baada ya kushindwana kwenye Visit Tz ilikuwaje wakaibuka na nembo nyingine. Hawaonyeshi kama walifikia muafaka wowote na mtu mwenye haki.
SP walitaka Yanga ionyeshe ushahidi wa Livescore kukataliwa. Yanga hawajafafanua hiyo.
Blah blah za kutosha eti SP kikanuni hairuhusiwi na CAF. Hayo maelezo yana tija gani wakati sio sehemu ya malalamiko ya SP. SP inasema inajua yote hayo ila kwa nini mmeweka main sponsor mpya bila ridhaa yao?
Mashabiki wanachoshabikia ni taarifa tu lakini yaliyomo kwenye taarifa hawajui
Wasomi wakosee vipi wakati wamekaa jopo wakajadili na wakafanya maamuzi ya pamoja na maandishi yao yakapita kwa watu zaidi ya wawili kabla hayajatoka kwa umma? Hapo mtakosea vipi? Sema ni uwezo wenu ulipofikia tu.Wasomi wa JF kila kitu mnajua na hua hamkosei
Hapo ndio utaona hawa watu wameamua kushea akili ndogo na mashabiki wao. Yaani SP hawana haki lakini waliwa consult. Wanasema wakataka waweke SPLivescore, maana yake nini? Maana yake walijua ana haki ndio maana walituma maombi. Lakini hawaonyeshi baada ya kushindwana kwenye Visit Tz ilikuwaje wakaibuka na nembo nyingine. Hawaonyeshi kama walifikia muafaka wowote na mtu mwenye haki.
SP walitaka Yanga ionyeshe ushahidi wa Livescore kukataliwa. Yanga hawajafafanua hiyo.
Blah blah za kutosha eti SP kikanuni hairuhusiwi na CAF. Hayo maelezo yana tija gani wakati sio sehemu ya malalamiko ya SP. SP inasema inajua yote hayo ila kwa nini mmeweka main sponsor mpya bila ridhaa yao?
Mashabiki wanachoshabikia ni taarifa tu lakini yaliyomo kwenye taarifa hawajui
We spend very short time to do things right, then we use a lot of time to explain why we did wrong.Yanga yajibu tuhuma ya SportpesaView attachment 2504143View attachment 2504144View attachment 2504145
Sponsors should be awake. They are supposed to perform thorough evaluation and due deligence on reputation and credibility of this club before entering into contract. It is not a matter of fan base but also credibility of the management, it is full of thugs and immatured officialsWe spend very short time to do things right, then we use a lot of time to explain why we did wrong.
Ni kikundi cha wahuniYanga ni law firm?
Juzi tu walishinda kesi ya FeisalPicha inaanza tu club haijawahi kushinda kesi yoyote inayo kabiliana nayo kwanzia kesi za mikataba ya wachezaji huwa wanaangukia pua ubabaishaji kibao
Mbona hajarudi kwenye kikosi?Juzi tu walishinda kesi ya Feisal
Kutokurudi kwenye kikosi ndo wameshindwa kesi?Mbona hajarudi kwenye kikosi?
Uelewa wa baadhi ya hawa wanaoitwa wachambuzi ni mdogo sana.Jana nimesikia redio moja maarufu hapa nchini wanasema Sportpesa wamenunua sehemu ya mbele ya jezi ya Yanga hivyo wana haki ya kubandika kitu chochote pale. Nilizima redio nikaona ninao wasikiliza hawana akili sawasawa. Hata katika hali ya kawaida huwezi kupanga nyumba kwa ajili ya kuishi halafu kesho uweke kanisa au msikiti. Nafikiri sportpesa walitakiwa wakubaliane na Yanga kuvaa hiyo jezi bila promotion wala kuziuza mtaani. Kwa uelewa wangu wa masuala ya mikataba isingekuwa sahihi sportpesa kuwapelekea Yanga bango ambalo halihusiani nao kwasababu tayari mkataba ulisha state sportpesa ni nani na anajishughulisha na nini, vinginevyo wavae plain.
Kweli utopolo ni utopolo tu. Soma katikati ya mistari uone upumbavy waliojibuYanga ni taasisi imejibu kwa waledi wa hali ya juu
Utopolo ni wale wanaoshindwa kuhoji zilipo bil 20Itoe simba kwenye utopolo wenu.
Hivi umeshindwa kufupisha komenti yako??Hivi wamekosa mtu wa kufupisha hayo maelezo kwenye paragrafu mbili tu, ukiona mtu anajieleza sana jua amekosea.