Yanga inasikitishwa na Tamko lililotolewa na Mdhamini Sportpesa

Sportspesa wanazihitaji Simba na Yanga. Akiondoka hizi club mbili hazikosi wadhamini kabisa. Hizi ni club kubwa sana ktk soka la Tz.
 
Sportspesa wanazihitaji Simba na Yanga. Akiondoka hizi club mbili hazikosi wadhamini kabisa. Hizi ni club kubwa sana ktk soka la Tz.
Usijidanganye issue siyo kupata tu mdhamini issue ni kiasi gani cha huo uwekezaji. Nyie bado mko kwenye udhamini wa aina ya Gulamali hamjabadilika hadi leo mko kwa GSM.

Pia usiziweke hizi timu mbili katika sentensi moja, zinaendeshwa tofauti na zina thamani mbili tofauti sana.

Tatu, kwenye uchumi wetu huu wa magazijuto hakuna makampuni mengi kama unavyodhani wanaoweza kutoa pesa kama haya ya betting. Na kwa Yanga kuharibu huko kwa SportPesa, akipata kampuni nyingine ya betting watampa terms zilizo kali na ngumu kuliko za sasa hivi na ufadhili utakuwa mdogo zaidi. Hata huyo Haier hawezi kutoa pesa kama ya SportPesa, wanunuaji wa mafriji wenyewe wako wapi nchi hii? Vifaa mpaka mtu abadilishe ni mpaka vitoke moshi na viote kutu. Consumer base bado ni ndogo sana. Msijidanganye.
 
Kwaiyo wewe ndio unajiona una akili nyingi sana na unaujua mkataba husika ulivyo! Fanyeni yenu nyie madunduka mambo ya yanga waachieni wenyewe, wenzenu wanalamba b.1.5 nyie mmekalia umbea wa kike kike tu shwain!
 
Kwaiyo wewe ndio unajiona una akili nyingi sana na unaujua mkataba husika ulivyo! Fanyeni yenu nyie madunduka mambo ya yanga waachieni wenyewe, wenzenu wanalamba b.1.5 nyie mmekalia umbea wa kike kike tu shwain!
Sasa mimi utanifananisha na Uto?

Nyie si mlitaka kuitisha mgomo kugomea products za Azam?

Jambo hilo linawezekana vipi kufanywa na watu timamu?

Engineer naye anaitukana sana elimu ya uinjinia

Anatoka kifua mbele kwenye media kuonesha justification ya sakaka lao na SportPesa ni halali kwa hoja ya under 17 kutovaa nembo ya betting kama hoja ya kuifanya Club iwe na maamuzi huru bila kushirikiana na mdhamini mkuu.

Sasa hiyo ni akili ya wapi mzee?
 
Wanadhani biashara zinafanyika kwa watu kuingia mikataba halafu kuanza kuviziana eti wanatafuta upenyo utadhani hawakujua watakuja kushiriki mashindano ya CAF.

Nimeanza kuamini wale wanaosemaga GSM biashara zake za kiulaghai tu.
 
Ingekuwa bora hata mngesikitishwa na goli la Sakho kumfunga mtoto wenu Singida.

Masikitiko FC katika ubora wenu.

Nini cha kusikitikia sasa, kama kweli hamjakiuka matakwa ya mkataba komaeni Hier wenu.

Masikitiko, lialia, kinyesi Fc, kweli alowaita utopolo hakukosea
 
Hawa MASIKITIKO FC ni wajinga sana
 
Tuonyeshe mkataba wa sportpesa na yanga ili tukubaliane na hoja zako basi
 
Mkataba ni kitu confidential hauwekwi nje public kama gazeti
Sasa kama ni confidential unapata wapi uhalali wa kujadili kitu usichokijua? Unapata wapi uhalali wa kuwalaumu yanga? Unadandia treni kwa mbele kufata mkumbo ata ujui makubaliano yao yakoje ndani ya mkataba husika, Mashabiki wa simba mna shida mahali sio bure
 
Kuna sheria ambazo zipo universal

Na pia kulingana na maelezo waliyotoa Yanga na SportPesa ukiyapima unaona muhuni ni nani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…