Yanga inasumbuliwa na timu iliyoshika nafasi ya pili ligi ya Djibouti

Hili ni jambo la kusikitisha sana na najua wanayanga wengi limewafedhehesha.

ASAS Djibouti au kwa jina lingine "AS Ali Sabieh" ni timu ambayo msimu uliopita ilimaliza nafasi ya pili katika ligi ndogo na dhaifu ya Djibouti lakini jana imeisumbua sana Yanga. Ingekuwa na mshambuliaji mmoja wa kati mzuri, kuna watu jana wangelia.

ASAS pia walinyimwa penati ya wazi baada ya Diara kupigwa chenga akaamua kumsukumia mbali mshambuliaji wa ASAS tena mbele ya refa. Yule jamaa anayeripoti matukio ya mpira na kupeleka UN na Interpol asilisahau na hili tukio.

Kwa kumalizia Yanga isiseme ilikuwa ugenini wakati tiketi za mechi iliuza yenyewe na hata bei ya tiketi inaonyesha ilipangwa na Yanga, umbali kutoka Chamazi hadi Kimbiji ni mfupi kuliko wao kutoka Chamazi kurudi kwao. Pia sitashangaa kama hata malazi mliwapa nyie. Najua mechi ya pili mtajipigia tu hao wasomali ila round ijayo hamtoboi.
Simba wanaweza kupata goli kwa ile timu!?
 
Msimu uliopita Simba ilifungwa pale taifa na timu kutoka Djibouti. Mbumbumbu fc ni wasahaulifu sana.
 
Nilishakwambia tokea siku nyingi kuwa mpira wa miguu haujui utafute mchezo mwingine wa kushangilia. Mechi ya Yanga na Asas, Yanga ndio walikuwa away hivyo hata matokeo yangekuwa 2 kwa 1 bado kwa Yanga yana mfavour Yanga kwasababu mechi ya Marudiano hata Asas akishinda goli moja kwa bila bado hatovuka
Sasa we unayejiona unajua unasema matokeo yangeisha 2-1 halafu mechi ya marudiano ambayo ASAS atakuwa ugenini akishinda 1-0 haitamsaidia. Embu ngoja wenzio waje wakuchekee
 
Mpira umeingiliwa na kina Mama
Screenshot_2023-08-22-14-31-58-218_com.sofascore.results.jpg

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Sasa we unayejiona unajua unasema matokeo yangeisha 2-1 halafu mechi ya marudiano ambayo ASAS atakuwa ugenini akishinda 1-0 haitamsaidia. Embu ngoja wenzio waje wakuchekee
Kwahiki ulichoandika kimedhihirisha kuwa sikubahatisha kukwambia mpira wa miguu haujui. Yaani jambo dogo kama hilo limekupiga chenga.
 
Kwa nini unazungumzia sana mechi ya pili ambayo haijafanyika, kwani nani alikwambia ni lazima mechi hiyo itaisha kwa ushindi wa 1-0? Nyie ndiyo kila siku mnalalamikia maamuzi ya marefa ila yakiwa yanawafaidisha nyie, mnakuja na hoja hizi za ajabu.
 
Hoja umeleta wewe ya kusema endapo mechi ingeisha 2 kwa 1 kusingekalika Jangwani. Haya njoo na hoja ni vipi kusingekalika wakati mechi itambulika kuwa Yanga yupo away kila ushindi ni advantage kwa Yanga kuelekea mechi ya Marudiano. Hauna hoja
 
Ninachofurahi hakuna hoja hata moja katika uzi huu ambayo wewe au wenzio wameipinga. Kuanzia kubebwa na refa hadi kuwa mabingwa wa kihistoria halafu kucheza na runner up wa ligi ndogo kama ya Djibouti. Itakuwa kwenye vijiwe vyenu mnasema hiyo ni kazi ya Barbara
 
Mshindi wa pili Djibouti anacheza CAF champions League? wa kwanza anacheza nini?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Ninachofurahi hakuna hoja hata moja katika uzi huu ambayo wewe au wenzio wameipinga. Kuanzia kubebwa na refa hadi kuwa mabingwa wa kihistoria halafu kucheza na runner up wa ligi ndogo kama ya Djibouti. Itakuwa kwenye vijiwe vyenu mnasema hiyo ni kazi ya Barbara
Runner up wa Djibout anacheza mechi za clib bingwa kweli?
 
Hata Tanzania ni ligi ndogo na dhaifu
Nilitegemea mtu atatokea atasema Simba pia alishika nafasi ya pili ndiyo maana niliongeza maneno "ligi ndogo na dhaifu". Nilidhani maneno hayo yangetosha kumfanya mtu asikurupuke kujibu bila kutafakari.

Kumbe mnaona fahari kupelekana hadi matuta na mnyama eeh? Safi sana, hii imeendaaa!
 
Hili ni jambo la kusikitisha sana na najua wanayanga wengi limewafedhehesha.

ASAS Djibouti au kwa jina lingine "AS Ali Sabieh" ni timu ambayo msimu uliopita ilimaliza nafasi ya pili katika ligi ndogo na dhaifu ya Djibouti lakini jana imeisumbua sana Yanga. Ingekuwa na mshambuliaji mmoja wa kati mzuri, kuna watu jana wangelia.

ASAS pia walinyimwa penati ya wazi baada ya Diara kupigwa chenga akaamua kumsukumia mbali mshambuliaji wa ASAS tena mbele ya refa. Yule jamaa anayeripoti matukio ya mpira na kupeleka UN na Interpol asilisahau na hili tukio.

Kwa kumalizia Yanga isiseme ilikuwa ugenini wakati tiketi za mechi iliuza yenyewe na hata bei ya tiketi inaonyesha ilipangwa na Yanga, umbali kutoka Chamazi hadi Kimbiji ni mfupi kuliko wao kutoka Chamazi kurudi kwao. Pia sitashangaa kama hata malazi mliwapa nyie. Najua mechi ya pili mtajipigia tu hao wasomali ila round ijayo hamtoboi.
MKUU DODOMA KWENYE VIWANGO WA FIFA YUPO RANK GANI,?? ALICHEZA NA WEWE NAFASI YA 7, MBONA HUKUMPIGA GOAL 20??? AU MIMI NDIO SIJUI
 
Back
Top Bottom