Yanga inasumbuliwa na timu iliyoshika nafasi ya pili ligi ya Djibouti

Simba wanaweza kupata goli kwa ile timu!?
 
Msimu uliopita Simba ilifungwa pale taifa na timu kutoka Djibouti. Mbumbumbu fc ni wasahaulifu sana.
 
Sasa we unayejiona unajua unasema matokeo yangeisha 2-1 halafu mechi ya marudiano ambayo ASAS atakuwa ugenini akishinda 1-0 haitamsaidia. Embu ngoja wenzio waje wakuchekee
 
Kwahiki ulichoandika kimedhihirisha kuwa sikubahatisha kukwambia mpira wa miguu haujui. Yaani jambo dogo kama hilo limekupiga chenga.
 
Kwa nini unazungumzia sana mechi ya pili ambayo haijafanyika, kwani nani alikwambia ni lazima mechi hiyo itaisha kwa ushindi wa 1-0? Nyie ndiyo kila siku mnalalamikia maamuzi ya marefa ila yakiwa yanawafaidisha nyie, mnakuja na hoja hizi za ajabu.
 
Hoja umeleta wewe ya kusema endapo mechi ingeisha 2 kwa 1 kusingekalika Jangwani. Haya njoo na hoja ni vipi kusingekalika wakati mechi itambulika kuwa Yanga yupo away kila ushindi ni advantage kwa Yanga kuelekea mechi ya Marudiano. Hauna hoja
 
Ninachofurahi hakuna hoja hata moja katika uzi huu ambayo wewe au wenzio wameipinga. Kuanzia kubebwa na refa hadi kuwa mabingwa wa kihistoria halafu kucheza na runner up wa ligi ndogo kama ya Djibouti. Itakuwa kwenye vijiwe vyenu mnasema hiyo ni kazi ya Barbara
 
Mshindi wa pili Djibouti anacheza CAF champions League? wa kwanza anacheza nini?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Runner up wa Djibout anacheza mechi za clib bingwa kweli?
 
Hata Tanzania ni ligi ndogo na dhaifu
 
MKUU DODOMA KWENYE VIWANGO WA FIFA YUPO RANK GANI,?? ALICHEZA NA WEWE NAFASI YA 7, MBONA HUKUMPIGA GOAL 20??? AU MIMI NDIO SIJUI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…