Lord Delamere in Kenya
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,988
- 8,021
Huyo unayemwita mganga njaa kaacha jina kubwa pale Yanga.Wewe Mkuu umeacha alama gani pale?au ni ile chata ya kinyesi kwenye vyoo vya pale Jangwani?Ally Mayai ni mganga njaa tu kama mbumbumbu wengine...
Endeleza mipasho wewe. Hivi Katumbi ni mwekezaji mazembe au mmiliki? Unamlinganisha Mazembe na huo upuuzi wenu? Mwenye hisa 49% ndio mwenye nguvu, what a joke!! Nikutoe tongotongo ewe mkia, Kaumbi ni mwekezaji. Ndio Yanga inaweza kuwa nyuma kwa sasa lakini elewa model wanayokuja nayo ni nzuri zaidi kuliko mlivyokurupuka ninyi mikia. Mo juzi tu alikaribia kususa mlianza kulialia hapa. Halafu umlinganishe na Katumbi!!Wewe unaelewa kwenye account ya Tp Mazembe kuna shilingi ngapi? Unaonyesha mweupe sana kwenye hii kitu mkuu. Katumbi alifukuzwa Congo na Kabila miaka 3 alikua uhamishoni, Vp Mazembe walitembeza Bakuli?
Unafikiri MO anajitolea pale Simba? Mkiambiwa mpo nyuma hamkubali. Dunia inaenda mbele achaneni na story za timu ya wananchi. Simba inaenda kwenye mifumo ya club za dunia ya sasa. Ukienda club kubwa kwa sasa unakutana na majina kama Abromovich, Glazier, Kroenke, Katumbi n.k
Kipindi kile Manji anataka kubadilisha mfumo wa Uendeshaji Yanga akina Akilimali walileta kelele anawapora timu, Vp mpo wapi now na timu yenu?
Mnashindwa hata na KMC. Mnadaiwa na wachezaji, makocha. Hamjui hata mkivuka round ya sasa CAF nauli mtapata wapi.
Simba ikienda hivi miaka mitano mbeleni itakua level nyingine.
Mfumo wa hizo klabu unaujua? Hivi unajua Chelsea ni kama Azam? Unajua timu kama Man U ina wanahisa kadhaa walioweka mzigo mezani? Simba ina wanahisa wawili, Mo na wanachama wasiotoa hata senti moja zaidi ya kuandamana.Siku akifa Abromovich Chelsea itakufa, Akifa Kroenke Arsenal itakufa n.k n.k. Ndio maana mwandishi kasema mnaishi zama za nyuma badala ya kuishi leo.
Unajua Simba imepata shilingi ngapi kwenye hesabu zake za mwaka mzima kwenye michuano yote, Wadhamini n.k? Achaneni na story za akina Akilimali, endesheni timu kisasa muone kama mtaomba omba na kudaiwa na wachezaji.
Hakuna tajiri anayewekeza kwenye ubabaishaji, Simba Ikitengeneza mfumo mzuri wa Kikampuni matajiri watagombea kuwekeza.
Sitashangaa kama hamtobadilika Sportpesa wakiwadhamini Simba kwa Bilioni 1 Yanga Milioni 200.
Mo keshasema yeye hapati faida mikiani, anajitolea tu, halafu mambumbumbu wanamwita mwekezaji!!MO anatengeneza mfumo tegemezi simba, Kumtegemea Yeye
Yani wewe nawe unawaita wengine mikia?Mamluki lingine hili la Mikia halijua kwamba Mikia inaendeshwa na mmoja kama ilivyokuwa Yanga ya Manji
Endeleza mipasho wewe. Hivi Katumbi ni mwekezaji mazembe au mmiliki? Unamlinganisha Mazembe na huo upuuzi wenu? Mwenye hisa 49% ndio mwenye nguvu, what a joke!! Nikutoe tongotongo ewe mkia, Kaumbi ni mwekezaji. Ndio Yanga inaweza kuwa nyuma kwa sasa lakini elewa model wanayokuja nayo ni nzuri zaidi kuliko mlivyokurupuka ninyi mikia. Mo juzi tu alikaribia kususa mlianza kulialia hapa. Halafu umlinganishe na Katumbi!!
Haya tueleze Simba imeweka shilingi ngapi kwenye huo uwekezaji wa 51% kwa 49%?
Tuna safari sio ndogo. Mtu anaandika MO *Akiamua* kuondoka Simba itakuaje? Haya mambo yanahitaji muda commoners kuelewa.Yani wewe nawe unawaita wengine mikia?
Umeshindwa kutofautisha kuifadhili timu na kununua hisa Kwenye timu.
Kweli Nyani haoni mkundu wake
Ally Mayai vipi mbona unauliza maswali yasiyokua na logic?,kwahiyo mlioacha alama tu ndo tuamini kila mnachosema hata kama mnaongozwa na njaa zenu?,na wote tungeacha alama pale Yanga pangetosha?...relax mkuuHuyo unayemwita mganga njaa kaacha jina kubwa pale Yanga.Wewe Mkuu umeacha alama gani pale?au ni ile chata ya kinyesi kwenye vyoo vya pale Jangwani?
Ukweli mtupu lakini wale wajinga waliobadilishiwa mpaka jina ili na wao waonekane wana share kwenye timu kwa kuitwa wananchi wakati hawajawahi kununuliwa hata andazi na timu wataupinga ukweli huu... eti tukimpa mwekezaji timu tutaikosa mijinga kabisa na ndo mana manji kawakimbia. Timu inaendeshwa kizamani kabisa. Mimi ni simba wa kutupwa lakini sipendi kuona watani wanapitia magumu kwani kwa sasa upinzani umekwisha, na ndio sababu tukikutana nao ushindi wao droo
Mavyura yalivyo hayana akiri yatakuja kukupinga na matusi juu.
Una ushahidi gani kama aliyeandika no Ally Mayay Tembele ?Huoni aibu wewe kumuita Ali Mayai mamluki???Huwezi kufikia hata kidogo alichoifanyia Yanga.Sidhani hata kama wewe ni mwanachama wa Yanga.Tabu ya wapenzi maandazi kama wewe mkiambiwa ukweli kwenye hizi timu mbili mnakimblia kumuita aliyesema ukweli mamluki badala ya kujibu hoja kwa hoja.
Huoni aibu wewe kumuita Ali Mayai mamluki???Huwezi kufikia hata kidogo alichoifanyia Yanga.Sidhani hata kama wewe ni mwanachama wa Yanga.Tabu ya wapenzi maandazi kama wewe mkiambiwa ukweli kwenye hizi timu mbili mnakimblia kumuita aliyesema ukweli mamluki badala ya kujibu hoja kwa hoja.
Kwani kuna wangapi??
Huyo Ally Mayai ya ndege atakuwa mamluki, wa Yanga anaita Ally Mayay Tembele!Kama ally mayai unamwita mamuluki sijui jakaya utamuita nani kwa kuwaita nyie ni wabaridi
Jifunze kuandika halafu rudia kusoma nilichoandika."huezi"?????ni kilugha.Huyu no Ally Mayai Tembele wa mikia Fc , wa Yanga sc ni Ally Mayay Tembele, wewe hata kama hujui kusoma hata picha huezi kutambua.
Sio ally mayay alioandika hiyo makalaNgoja nisome kwanza Mtani. Ila naona itakuwa umekoshwa sana na maneno ya humo. [emoji3]