Wewe unaelewa kwenye account ya Tp Mazembe kuna shilingi ngapi? Unaonyesha mweupe sana kwenye hii kitu mkuu. Katumbi alifukuzwa Congo na Kabila miaka 3 alikua uhamishoni, Vp Mazembe walitembeza Bakuli?
Unafikiri MO anajitolea pale Simba? Mkiambiwa mpo nyuma hamkubali. Dunia inaenda mbele achaneni na story za timu ya wananchi. Simba inaenda kwenye mifumo ya club za dunia ya sasa. Ukienda club kubwa kwa sasa unakutana na majina kama Abromovich, Glazier, Kroenke, Katumbi n.k
Kipindi kile Manji anataka kubadilisha mfumo wa Uendeshaji Yanga akina Akilimali walileta kelele anawapora timu, Vp mpo wapi now na timu yenu?
Mnashindwa hata na KMC. Mnadaiwa na wachezaji, makocha. Hamjui hata mkivuka round ya sasa CAF nauli mtapata wapi.
Simba ikienda hivi miaka mitano mbeleni itakua level nyingine.