Yanga inatoa wapi wachezaji? Inaniuma sana aisee, jana nimeshindwa kulala

Tutajie wachezaji wa waliokuwa wakitamba na kikosi cha Nabi wakati ule ambao hata sasa nado wapo? Maana hata Aziz Ki alikuwa siyo chaguo la kwanza la Nabi
 
Try Again amesema kile kikosi cha msimu huu thamani yake ni bil 7,kwa hiyo kuweni wapole, wapeni muda.
 
Yanga naifananisha na Barca ya Frank Rijkaard akaja kurithiwa na Pep. Kile kizazi Pep anamtoa mtu kama Toure na pengo lake halionekani, kilikuwa kizazi bora kabisa na kikakaa kwenye peak kwa muda mrefu mpaka kupotea.
Ishu sio kizazi ishu ni benchi bora la ufundi, kwani Pep ni kocha wa kawaida? Kizazi cha dhahabu bila kuwa na benchi zuri la ufundi wachezaji wanashuka viwango. Swala la msingi ni kuwa na management iliyo bora.
 
Upo sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…