Yanga ipo nafasi ya pili kwa sababu Wapinzani wao hawajacheza

Mashabiki wa Yanga wanashangilia, wanaweza wasielewe hili kutokana na ndio hivyo tena mnajua, mambo ya uelewa tena

Ila ni kuwa CRB akicheza na Ahly watarudi kwenye nafasi yao halali
Aijalishi wewe pilipili usiyoila inakuwashia Nini? Mambo ya yanga ayakuhusu wao wanajua kuliko unavyojijua kwaiyo kaa kwa kutulia acha mbambamba!
 
Mashabiki wa Yanga wanashangilia, wanaweza wasielewe hili kutokana na ndio hivyo tena mnajua, mambo ya uelewa tena

Ila ni kuwa CRB akicheza na Ahly watarudi kwenye nafasi yao halali
ili dua zako mbaya zitufikie muombee CRB amfunge Ahly akifungwa yeye pengine ndo imetoka hiyo,kwasababu kwa mkapa CRB atafungwa pia, means Yanga atakuwa na pnts 8 CRB pnts 4 ambapo utabaki mchezo mmoja ambao hauwezi kumsaidia kuzipita pnts 8 za Yanga...
 
CRB kumfunga Ahly si rahisi ila asichukuliwe poa kuwa lazima afungwe kwa mkapa. Kwao nao wanaiangalia hiyo mechi kama mechi muhimu. Hautakuwa mchezo mwepesi kwa timu zote. Atakayekosea ndiye atakayeadhibiwa.
 
CRB kumfunga Ahly si rahisi ila asichukuliwe poa kuwa lazima afungwe kwa mkapa. Kwao nao wanaiangalia hiyo mechi. Hautakuwa mchezo mwepesi kwa timu zote.
sijawachukulia rahisi ila CRB ikitokea kafungwa na Ahly...Yanga game ya kwa mkapa wanaweza pambana kufa kupona coz wanajua wakimfunga CRB then Ahly akashina au kusuluu na Medeama Yanga na Ahly wanakuwa wamepita kabla ya mechi za mwisho za kumalizia kundi
 
Mashabiki wa Yanga wanashangilia, wanaweza wasielewe hili kutokana na ndio hivyo tena mnajua, mambo ya uelewa tena

Ila ni kuwa CRB akicheza na Ahly watarudi kwenye nafasi yao halali
Hata Kolobwanji hatujui msimamo wa kundi lake utakuwaje baada ya me ya Tano.
 
ili dua zako mbaya zitufikie muombee CRB amfunge Ahly akifungwa yeye pengine ndo imetoka hiyo,kwasababu kwa mkapa CRB atafungwa pia, means Yanga atakuwa na pnts 8 CRB pnts 4 ambapo utabaki mchezo mmoja ambao hauwezi kumsaidia kuzipita pnts 8 za Yanga...
CRB kumfunga Ahly si rahisi ila asichukuliwe poa kuwa lazima afungwe kwa mkapa. Kwao nao wanaiangalia hiyo mechi kama mechi muhimu. Hautakuwa mchezo mwepesi kwa timu zote. Atakayekosea ndiye atakayeadhibiwa.
CRB anahitaji draw na Ahly tu kumzidi Yanga, na anaweza, kwa sababu alishatoa nae draw tena Ahly akiwa nyumbani
 
Back
Top Bottom