Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Upo sahihi. Ndo maana nikasema umuhimu wa hiyo mechi si kwa Yanga tu ila hata kwa CRB wanajua kupita kwao ni hapo tu iwapo watafungwa.sijawachukulia rahisi ila CRB ikitokea kafungwa na Ahly...Yanga game ya kwa mkapa wanaweza pambana kufa kupona coz wanajua wakimfunga CRB then Ahly akashina au kusuluu na Medeama Yanga na Ahly wanakuwa wamepita kabla ya mechi za mwisho za kumalizia kundi