Yanga ipo nafasi ya pili kwa sababu Wapinzani wao hawajacheza

Yanga ipo nafasi ya pili kwa sababu Wapinzani wao hawajacheza

Jinga kama wewe huwezi jua, wachambuzi tunaojua mpira baadhi ya matokeo tunayajua kabla hata ya mechi kuchezwa...utarudi hapa utopolo watakapokuwa nafasi ya 3 baada ya wiki chache zijazo
Wewe utakuwa kiongozi wa mbumbumbu sio Bure. Mechi haijachezwa unakuja na hadithi zako hapo. Basi tuambie nani ameshinda Al Ahly au CR.
 
Jinga kama wewe huwezi jua, wachambuzi tunaojua mpira baadhi ya matokeo tunayajua kabla hata ya mechi kuchezwa...utarudi hapa utopolo watakapokuwa nafasi ya 3 baada ya wiki chache zijazo
1703095434263.png
 
Mashabiki wa Yanga wanashangilia, wanaweza wasielewe hili kutokana na ndio hivyo tena mnajua, mambo ya uelewa tena

Ila ni kuwa CRB akicheza na Ahly watarudi kwenye nafasi yao halali
Hakuna cha uelewa hapo furaha ya ushindi lazima iwepo hawawezi kukaa km mazuzu ,( yanga has made a milestone) wanatakiwa wafanye hivyo kwa michezo mingine
 
Nafahamu sana kiwa All Alhy alikuwa na hizo mechi ila nilifikiri rat8ba imeshapangwa.
Ratiba ilipangwa na ilipaswa iwe jana ila ilipohairishwa bado haijawekwa wazi mpaka saizi.
 
Kumpiga Wydad kwa Mkapa na kujihakikishia nafasi kutinga robo haileti furaha!?
Furaha ni kupata zaidi ya ulichokipata mara ya mwisho..!! Una robo mara nne, na umeshawahi anzia robo na kuishia hapo hapo robo..!! Furaha ni kuvuka lengo na si kuishia unapoishia kila kukicha..!!!
 
Furaha ni kupata zaidi ya ulichokipata mara ya mwisho..!! Una robo mara nne, na umeshawahi anzia robo na kuishia hapo hapo robo..!! Furaha ni kuvuka lengo na si kuishia unapoishia kila kukicha..!!!
Kumbe, kwa hiyo Simba wao wanaona kumfunga Mwarabu, kutinga robo fainali ni kitu cha kawaida tu ila Yanga wana furaha sana na kushangilia sana kushinda mechi yake ya kwanza CAFCL kwa miaka 25?
 
Aliyewaita Makolo aliona mbali hamna msimamo mmoja kuhusu Yanga sasa wimbo wa bahasha hakuna, mnacheza ligi ya vibonde hakuna na nyinginezo kazi kushif upande Tu..
Yani Utopolo bana umenichekesha sana...umeumia sana...
Huu ndo utani tunatafuta penye upenyo tunapenyeza maumivu...
 
Jinga kama wewe huwezi jua, wachambuzi tunaojua mpira baadhi ya matokeo tunayajua kabla hata ya mechi kuchezwa...utarudi hapa utopolo watakapokuwa nafasi ya 3 baada ya wiki chache zijazo
Baada ya miezi 2 tena maan match zifuatazo ni feb23 ,2024
 
ili dua zako mbaya zitufikie muombee CRB amfunge Ahly akifungwa yeye pengine ndo imetoka hiyo,kwasababu kwa mkapa CRB atafungwa pia, means Yanga atakuwa na pnts 8 CRB pnts 4 ambapo utabaki mchezo mmoja ambao hauwezi kumsaidia kuzipita pnts 8 za Yanga...
Si lazima amfunge Al Ahly, hata wakitoka sare Yanga atakuwa kwenye wakati mgumu. Watalingana pointi na Yanga na kwa kanuni za caf, mkilingana pointi wanaangalia matokeo yenu head to head!! Usalama wa Yanga ni kushinda mechi zake zote zilizobaki!! Je anao ubavu huo? Anaweza kumfunga CRB kwa mkapa, lakini ni kwa goli ngapi? CRB siyo kama wale "mashujaa" wa kigoma aka Medeama mlioiwafunga leo! Yanga ku mfunga Al Ahly ugenini ni ndoto ya bafuni wakati mtu anaoga!!
 
Mashabiki wa Yanga wanashangilia, wanaweza wasielewe hili kutokana na ndio hivyo tena mnajua, mambo ya uelewa tena

Ila ni kuwa CRB akicheza na Ahly watarudi kwenye nafasi yao halali
hesabu ulicho nacho mkononi ndugu.
 
Si lazima amfunge Al Ahly, hata wakitoka sare Yanga atakuwa kwenye wakati mgumu. Watalingana pointi na Yanga na kwa kanuni za caf, mkilingana pointi wanaangalia matokeo yenu head to head!! Usalama wa Yanga ni kushinda mechi zake zote zilizobaki!! Je anao ubavu huo? Anaweza kumfunga CRB kwa mkapa, lakini ni kwa goli ngapi? CRB siyo kama wale "mashujaa" wa kigoma aka Medeama mlioiwafunga leo! Yanga ku mfunga Al Ahly ugenini ni ndoto ya bafuni wakati mtu anaoga!!
Shida yenu kila yanga inachokifanya mnaleta tena ujuaji, medeama watu walianza oooh moto wa medeama yanga mtauweza? Wamemfunga CR sijui mjiandae kisaikolojia haya tumekwenda huko kwako tumetoka sale, kaja hapa medeama huyo huyo aliyekuwa anasifiwa sanaaa katepeta nje ndani, sasa hivi mnaleta tena ushabiki eti mnamuweza CR Sijui mtamfunga kwa mkapa? Sasa makosa yaliyofanyika mara ya kwanza kule kwa CR unadhani yatajirudia? CR anakitu gani kikubwa cha kutokufungwa na Yanga? Shida yetu watanzani upumbavu umezidi yani mtu badala akubali yanga performance yao ipo vzr kila hatua anayopiga lazima aletewe dharau ya vikwazo oooh mnaweza kumfunga CR asifungike ye nani? Kwenye mechi za yanga zoote alizocheza yanga kuna mechi ambayo alizidiwa kabisa kashindwa kucheza? Yoyote ile? Ambayo ameperfom vibaya? Tuache ushabiki wakipumbavu na tuwe tunakubali vyakwetu hata kimya kimya, yanga ingekuwa niyazimbabwe hukoo mashabiki SIMBA mngeikubali Ila sababu ni ya Tanzania basi lazima muipe vikwazo. Hata kama hawatofungwa CR Ila msitegemee yanga itakuwa mdebwedo CR wapige kambumbu kweli kweli kama kafungwa na medeama ambae yanga kamchezesha kama mtoto CR ninani? Tuache stupid mindset kila siku kuongea kwa vikwazo bila kuikubali yanga performance yao ipo vzr sio mnyonge kwenye kundi wala haya mashindano yanga sio mnyonge wanaijua vzr tokea haya mashindano yalipoanza mwaka huu 2023, haijawa kinyonge sana kwenye performance. Na mechi yake yakwanza wangetoka suluhu na CR unadhani CR angekuwa kwenye wakati mgumu kiasi gani sema ni football tuu ukifanya mistake mpinzanj anatumia nafasi. nje na hapo nikiona mtu anaibeza au kutokuivalue yanga kwa performance yao kwenye haya mashundano basi namuona huyo mtu ni stupid na mindset yake imejaa upinzani tuu na sio reality ya mpira anaoupiga yanga kwa sass.
 
Back
Top Bottom