Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Ita unavyoita, the point is, kwenye kila jambo, ukifanikiwa zaidi ya ulipofanikiwa mara ya mwisho, furaha huwa kubwa. Hata kama kuna wengine walishavuka hapo ulipozidi leo, bado haiondoi furaha na ukweli kwamba umevunja rekodi yako wewe mwenyewe..!!Kumbe, kwa hiyo Simba wao wanaona kumfunga Mwarabu, kutinga robo fainali ni kitu cha kawaida tu ila Yanga wana furaha sana na kushangilia sana kushinda mechi yake ya kwanza CAFCL kwa miaka 25?
BTW, usisahau hao hao Yanga ndo walikupiga KONO LA NYANI..!!
Pitia na hii hapa chini uone jinsi mlivyo Mbumbumbu FC