Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Mzee si usubiri hata ikauke mbona Una haraka [emoji1787]Mashabiki wa Yanga wanashangilia, wanaweza wasielewe hili kutokana na ndio hivyo tena mnajua, mambo ya uelewa tena
Ila ni kuwa CRB akicheza na Ahly watarudi kwenye nafasi yao halali
Aijalishi wewe pilipili usiyoila inakuwashia Nini? Mambo ya yanga ayakuhusu wao wanajua kuliko unavyojijua kwaiyo kaa kwa kutulia acha mbambamba!Mashabiki wa Yanga wanashangilia, wanaweza wasielewe hili kutokana na ndio hivyo tena mnajua, mambo ya uelewa tena
Ila ni kuwa CRB akicheza na Ahly watarudi kwenye nafasi yao halali
Bwahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa....[emoji1732][emoji2]Kama unaumia vaa chupi uondoke
ili dua zako mbaya zitufikie muombee CRB amfunge Ahly akifungwa yeye pengine ndo imetoka hiyo,kwasababu kwa mkapa CRB atafungwa pia, means Yanga atakuwa na pnts 8 CRB pnts 4 ambapo utabaki mchezo mmoja ambao hauwezi kumsaidia kuzipita pnts 8 za Yanga...Mashabiki wa Yanga wanashangilia, wanaweza wasielewe hili kutokana na ndio hivyo tena mnajua, mambo ya uelewa tena
Ila ni kuwa CRB akicheza na Ahly watarudi kwenye nafasi yao halali
Kwa hiyo na hao wapinzani wake wangecheza, angekuwa nafasi ya ngapi?Mashabiki wa Yanga wanashangilia, wanaweza wasielewe hili kutokana na ndio hivyo tena mnajua, mambo ya uelewa tena
Ila ni kuwa CRB akicheza na Ahly watarudi kwenye nafasi yao halali
Sawa. Endelea kuugulia goli 5Mashabiki wa Yanga wanashangilia, wanaweza wasielewe hili kutokana na ndio hivyo tena mnajua, mambo ya uelewa tena
Ila ni kuwa CRB akicheza na Ahly watarudi kwenye nafasi yao halali
CRB kumfunga Ahly si rahisi ila asichukuliwe poa kuwa lazima afungwe kwa mkapa. Kwao nao wanaiangalia hiyo mechi kama mechi muhimu. Hautakuwa mchezo mwepesi kwa timu zote. Atakayekosea ndiye atakayeadhibiwa.ili dua zako mbaya zitufikie muombee CRB amfunge Ahly akifungwa yeye pengine ndo imetoka hiyo,kwasababu kwa mkapa CRB atafungwa pia, means Yanga atakuwa na pnts 8 CRB pnts 4 ambapo utabaki mchezo mmoja ambao hauwezi kumsaidia kuzipita pnts 8 za Yanga...
sijawachukulia rahisi ila CRB ikitokea kafungwa na Ahly...Yanga game ya kwa mkapa wanaweza pambana kufa kupona coz wanajua wakimfunga CRB then Ahly akashina au kusuluu na Medeama Yanga na Ahly wanakuwa wamepita kabla ya mechi za mwisho za kumalizia kundiCRB kumfunga Ahly si rahisi ila asichukuliwe poa kuwa lazima afungwe kwa mkapa. Kwao nao wanaiangalia hiyo mechi. Hautakuwa mchezo mwepesi kwa timu zote.
Hata Kolobwanji hatujui msimamo wa kundi lake utakuwaje baada ya me ya Tano.Mashabiki wa Yanga wanashangilia, wanaweza wasielewe hili kutokana na ndio hivyo tena mnajua, mambo ya uelewa tena
Ila ni kuwa CRB akicheza na Ahly watarudi kwenye nafasi yao halali
ili dua zako mbaya zitufikie muombee CRB amfunge Ahly akifungwa yeye pengine ndo imetoka hiyo,kwasababu kwa mkapa CRB atafungwa pia, means Yanga atakuwa na pnts 8 CRB pnts 4 ambapo utabaki mchezo mmoja ambao hauwezi kumsaidia kuzipita pnts 8 za Yanga...
CRB anahitaji draw na Ahly tu kumzidi Yanga, na anaweza, kwa sababu alishatoa nae draw tena Ahly akiwa nyumbaniCRB kumfunga Ahly si rahisi ila asichukuliwe poa kuwa lazima afungwe kwa mkapa. Kwao nao wanaiangalia hiyo mechi kama mechi muhimu. Hautakuwa mchezo mwepesi kwa timu zote. Atakayekosea ndiye atakayeadhibiwa.
hata pyramid aliweza kutoa roo kule south,kilichowatokea jana!!!CRB anahitaji draw na Ahly tu kumzidi Yanga, na anaweza, kwa sababu alishatoa nae draw tena Ahly akiwa nyumbani