Upo sahihi. Ndo maana nikasema umuhimu wa hiyo mechi si kwa Yanga tu ila hata kwa CRB wanajua kupita kwao ni hapo tu iwapo watafungwa.sijawachukulia rahisi ila CRB ikitokea kafungwa na Ahly...Yanga game ya kwa mkapa wanaweza pambana kufa kupona coz wanajua wakimfunga CRB then Ahly akashina au kusuluu na Medeama Yanga na Ahly wanakuwa wamepita kabla ya mechi za mwisho za kumalizia kundi
Vipi Makirikiri walio pindindua matokea ya mbili bila kwa Mkapa...... au nyie mnaichukulia poa au Galaxy hawa iangalii hiyo mechi yenu kama ya muhimu,kumbuka hapa kwa Mkapa walimpa tatu,acheni mda uamue.CRB kumfunga Ahly si rahisi ila asichukuliwe poa kuwa lazima afungwe kwa mkapa. Kwao nao wanaiangalia hiyo mechi kama mechi muhimu. Hautakuwa mchezo mwepesi kwa timu zote. Atakayekosea ndiye atakayeadhibiwa.
Ndugu mbumbumbu kule tuna angalia point sio nafasi.Mashabiki wa Yanga wanashangilia, wanaweza wasielewe hili kutokana na ndio hivyo tena mnajua, mambo ya uelewa tena
Ila ni kuwa CRB akicheza na Ahly watarudi kwenye nafasi yao halali
Huyo akili zake ndogo, hajui chochote.Kwa hiyo na hao wapinzani wake wangecheza, angekuwa nafasi ya ngapi?
Una uhakika gani? We matokeo ya Al Ahly na CR umeishayajua tayari? Kweli mbumbumbu.Mashabiki wa Yanga wanashangilia, wanaweza wasielewe hili kutokana na ndio hivyo tena mnajua, mambo ya uelewa tena
Ila ni kuwa CRB akicheza na Ahly watarudi kwenye nafasi yao halali
Wale waarabu wamepanga kubebana, sielewi kwanini kila siku wanamtanguliza yanga aanze kuchezaMashabiki wa Yanga wanashangilia, wanaweza wasielewe hili kutokana na ndio hivyo tena mnajua, mambo ya uelewa tena
Ila ni kuwa CRB akicheza na Ahly watarudi kwenye nafasi yao halali
Kwani uongo ofsa?Aliyewaita Makolo aliona mbali hamna msimamo mmoja kuhusu Yanga sasa wimbo wa bahasha hakuna, mnacheza ligi ya vibonde hakuna na nyinginezo kazi kushif upande Tu..
Jinga kama wewe huwezi jua, wachambuzi tunaojua mpira baadhi ya matokeo tunayajua kabla hata ya mechi kuchezwa...utarudi hapa utopolo watakapokuwa nafasi ya 3 baada ya wiki chache zijazoUna uhakika gani? We matokeo ya Al Ahly na CR umeishayajua tayari? Kweli mbumbumbu.
KOLO HILI LINATESEKA UKO[emoji1787][emoji1787][emoji1787]MAMAAEMashabiki wa Yanga wanashangilia, wanaweza wasielewe hili kutokana na ndio hivyo tena mnajua, mambo ya uelewa tena
Ila ni kuwa CRB akicheza na Ahly watarudi kwenye nafasi yao halali
Kwani uongo ofsa?
Picha za bodaboda mi za nini sasa?
Ninachosema si mchezo mwepesi kwa timu zote mbili sababu hesabu za mwarabu kuvuka iwapo atapoteza kwa mwarabu mwenzie ni hiyo ya Yanga na Yanga nae anapiga hesabu hizo hizo.Vipi Makirikiri walio pindindua matokea ya mbili bila kwa Mkapa...... au nyie mnaichukulia poa au Galaxy hawa iangalii hiyo mechi yenu kama ya muhimu,kumbuka hapa kwa Mkapa walimpa tatu,acheni mda uamue.
Naunga mkono hojaAliyewaita Makolo aliona mbali hamna msimamo mmoja kuhusu Yanga sasa wimbo wa bahasha hakuna, mnacheza ligi ya vibonde hakuna na nyinginezo kazi kushif upande Tu..
Mechi bado hata haijapangwa tarehe rasmiAl Ahly na CRB wanacheza leo?