KimpaGhasha
JF-Expert Member
- Jun 21, 2020
- 327
- 459
Si amekuambia upe mpira heshima yake, sa unataka aseme nn tenaKwahiyo unataka kusemaje??[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yap upo sahihi lakini Al ahly si mgeni wa Hilo soka la Afrika yeye ndo bingwa wa kihistoria...Mpira wa kule wanakaba nafasi huku wanakaba mtu na nafasi ndio maana Al Ahly na hata Man City utawaona wanacheza vizuri mno ila njoo uwaweke na Timu za Afrika nao wanatafuta sare kwa kupoteza muda...
Esperance na Wydad walikua hawapo kwenye Ubora hilo kombe alipita vichochoroni kulichukua hao ndugu zake wote atawafunga sasa hivi mpira umerudi kusini kidogo na Petro huko Angola...hata Tanzania mpira upo tofauti na miaka ya nyuma kwa kuwa tuna wachezaji wengi kutoka Nchi za Magharibi wanakojua mpira kwa hiyo kwenye makaratasi Al Ahly anashinda ila wakiweka kabumbu chini lolote linaweza kutokea mkuu ila hao CRB sio wazuri kivile kwa kuweza kuwazuia hao Al Ahly hata mechi ya Mkapa watafungwa pia...Yap upo sahihi lakini Al ahly si mgeni wa Hilo soka la Afrika yeye ndo bingwa wa kihistoria...
Nakumbuka nusu fainali ya CAF champions League iliyoisha dhidi ya Esperance game ya Kwanza Cairo Al ahly alikabwa koo game ikiisha Kwa Al ahly kushinda Goli moja Kwa mbinde lakini game ya marudiano Esperance alikaangwa kwake Bao tatu bila mtungi na hii siku nahisi ndo ilimpa Yule msouth trophy
Timu ikifuzu haitaki ushindi si ndio? last season Simba kachakazwa bao 3 na Raja wakiwa tayari washa fuzu au umesahau?Walishafuzu
Wanahitaji point moja tu wawe na uhakika wa kuwa wa kwanza kwenye group
Yanga hata akishinda mechi zake zote zilizobakia anafuzu bila kuombea fulani afungwe. Isipokuwa kinachoombwa CRB afungwe ni kuifanya Yanga ifuzu kabla hata ya kucheza mechi ya mwisho vs Al Ahly.Kushinda mechi zake tu haitoshi
Lazima waombe CRB afungwe na Al Ahly
Simba ndio wanatakiwa kushinda mechi zao bila kuangalia matokeo ya wengine
Hakika ujinga wa uzeeni lazima utakufa nao tuWapuuzi nyie mtuache na Yanga yetu hatujaomba ushauri. Ila watu wa Simba wehu kweli,yaani Mpira unaochezwa na pacome unalinganisha na butua butua ya Kapombe si uwehu.
Yaani Yanga hii yeyote aje anapigwa popote mzee, Al Ahal kwake anakufa.Tunawaza tutachezaje fainali CL.
Upo sahihi mkuu sahivi mambo yamebadilika Sana pia ukuaji wa tekinolojia umepunguza hujuma za waarabu kubebwa na kushinda game kirahisi ndo maana wanafungika hata kwao...Esperance na Wydad walikua hawapo kwenye Ubora hilo kombe alipita vichochoroni kulichukua hao ndugu zake wote atawafunga sasa hivi mpira umerudi kusini kidogo na Petro huko Angola...hata Tanzania mpira upo tofauti na miaka ya nyuma kwa kuwa tuna wachezaji wengi kutoka Nchi za Magharibi wanakojua mpira kwa hiyo kwenye makaratasi Al Ahly anashinda ila wakiweka kabumbu chini lolote linaweza kutokea mkuu ila hao CRB sio wazuri kivile kwa kuweza kuwazuia hao Al Ahly hata mechi ya Mkapa watafungwa pia...
Mkuu mpira una matokeo ya kikatili mno unakumbuka Uganda walilalamika kuwa tumepanga game ya Algeria hapa ili tufuzu wao waliamini sisi tutafungwa kirahisi ili wao wapite cha msingi Yanga akomae na gemu zake tuache kuhesabia vidole...Upo sahihi mkuu sahivi mambo yamebadilika Sana pia ukuaji wa tekinolojia umepunguza hujuma za waarabu kubebwa na kushinda game kirahisi ndo maana wanafungika hata kwao...
Sipati picha Ile game ya Yanga na Alger kama ingekua n miaka ya 90 nini kingetokea Kwa zile figisu...
Lakini tukirudi kwenye hoja still Al ahly ni Bora Sana kuliko Belouizdad so kumpiga wala sio stori kubwa...
Wamesahau kilicho watokea kwa Jwaneng GalaxyMkuu mpira una matokeo ya kikatili mno unakumbuka Uganda walilalamika kuwa tumepanga game ya Algeria hapa ili tufuzu wao waliamini sisi tutafungwa kirahisi ili wao wapite cha msingi Yanga akomae na gemu zake tuache kuhesabia vidole...
Hata Timu ya Miskson iliwatoa wakati kule ilikua 0:0..Wamesahau kilicho watokea kwa Jwaneng Galaxy
Ngoja tusubiri Ila still karata Yangu ipo Kwa Ahly kutokana na ubora wao pia na umuhimu wa game maana kupigwa hiyo game ni kuanzisha presha isiyo na maana hasa akizingatia alivofuzu mwaka jana Kwa mbinde.Mkuu mpira una matokeo ya kikatili mno unakumbuka Uganda walilalamika kuwa tumepanga game ya Algeria hapa ili tufuzu wao waliamini sisi tutafungwa kirahisi ili wao wapite cha msingi Yanga akomae na gemu zake tuache kuhesabia vidole...
Yanga inahitaji ushindi dhidi ya Belouizdad huku ikimuomba Al Ahly impige Medeama na BelouizdadNgoja tusubiri Ila still karata Yangu ipo Kwa Ahly kutokana na ubora wao pia na umuhimu wa game maana kupigwa hiyo game ni kuanzisha presha isiyo na maana hasa akizingatia alivofuzu mwaka jana Kwa mbinde.
Kwa iyo watacheza ili wapate sare sio?Walishafuzu
Wanahitaji point moja tu wawe na uhakika wa kuwa wa kwanza kwenye group
Madeama Hana lolote hapo mpinzani ni Belouizdad tuYanga inahitaji ushindi dhidi ya Belouizdad huku ikimuomba Al Ahly impige Medeama na Belouizdad
Upo sahihi Al Ahly ana tatu mkononi za Madeama hata wacheze popote..Madeama Hana lolote hapo mpinzani ni Belouizdad tu
Simba ndio watacheza ili wapate sareKwa iyo watacheza ili wapate sare sio?
siyo kweli!! Kusonga mbele kwa yanga kunategemea matokeo ya mechi ya timu zingine!!Yanga hata akishinda mechi zake zote zilizobakia anafuzu bila kuombea fulani afungwe. Isipokuwa kinachoombwa CRB afungwe ni kuifanya Yanga ifuzu kabla hata ya kucheza mechi ya mwisho vs Al Ahly.
Una uhakika? Haya njoo na hesabu zako uniambie ni vipi Yanga akishinda mechi zake zote zilizobakia, kufuzu kwake kutategemea na wengine.siyo kweli!! Kusonga mbele kwa yanga kunategemea matokeo ya mechi ya timu zingine!!