Yanga komaeni kushinda mechi zenu: Hii ndoto ya kutaka Al Ahly amfunge CRB ugenini ni ndoto ya bafuni wakiwa wanaoga!!

Mpira wa kule wanakaba nafasi huku wanakaba mtu na nafasi ndio maana Al Ahly na hata Man City utawaona wanacheza vizuri mno ila njoo uwaweke na Timu za Afrika nao wanatafuta sare kwa kupoteza muda...
Yap upo sahihi lakini Al ahly si mgeni wa Hilo soka la Afrika yeye ndo bingwa wa kihistoria...

Nakumbuka nusu fainali ya CAF champions League iliyoisha dhidi ya Esperance game ya Kwanza Cairo Al ahly alikabwa koo game ikiisha Kwa Al ahly kushinda Goli moja Kwa mbinde lakini game ya marudiano Esperance alikaangwa kwake Bao tatu bila mtungi na hii siku nahisi ndo ilimpa Yule msouth trophy
 
Esperance na Wydad walikua hawapo kwenye Ubora hilo kombe alipita vichochoroni kulichukua hao ndugu zake wote atawafunga sasa hivi mpira umerudi kusini kidogo na Petro huko Angola...hata Tanzania mpira upo tofauti na miaka ya nyuma kwa kuwa tuna wachezaji wengi kutoka Nchi za Magharibi wanakojua mpira kwa hiyo kwenye makaratasi Al Ahly anashinda ila wakiweka kabumbu chini lolote linaweza kutokea mkuu ila hao CRB sio wazuri kivile kwa kuweza kuwazuia hao Al Ahly hata mechi ya Mkapa watafungwa pia...
 
Kushinda mechi zake tu haitoshi
Lazima waombe CRB afungwe na Al Ahly
Simba ndio wanatakiwa kushinda mechi zao bila kuangalia matokeo ya wengine
Yanga hata akishinda mechi zake zote zilizobakia anafuzu bila kuombea fulani afungwe. Isipokuwa kinachoombwa CRB afungwe ni kuifanya Yanga ifuzu kabla hata ya kucheza mechi ya mwisho vs Al Ahly.
 
Wapuuzi nyie mtuache na Yanga yetu hatujaomba ushauri. Ila watu wa Simba wehu kweli,yaani Mpira unaochezwa na pacome unalinganisha na butua butua ya Kapombe si uwehu.

Yaani Yanga hii yeyote aje anapigwa popote mzee, Al Ahal kwake anakufa.Tunawaza tutachezaje fainali CL.
Hakika ujinga wa uzeeni lazima utakufa nao tu
 
Esperance na Wydad walikua hawapo kwenye Ubora hilo kombe alipita vichochoroni kulichukua hao ndugu zake wote atawafunga sasa hivi mpira umerudi kusini kidogo na Petro huko Angola...hata Tanzania mpira upo tofauti na miaka ya nyuma kwa kuwa tuna wachezaji wengi kutoka Nchi za Magharibi wanakojua mpira kwa hiyo kwenye makaratasi Al Ahly anashinda ila wakiweka kabumbu chini lolote linaweza kutokea mkuu ila hao CRB sio wazuri kivile kwa kuweza kuwazuia hao Al Ahly hata mechi ya Mkapa watafungwa pia...
Upo sahihi mkuu sahivi mambo yamebadilika Sana pia ukuaji wa tekinolojia umepunguza hujuma za waarabu kubebwa na kushinda game kirahisi ndo maana wanafungika hata kwao...
Sipati picha Ile game ya Yanga na Alger kama ingekua n miaka ya 90 nini kingetokea Kwa zile figisu...

Lakini tukirudi kwenye hoja still Al ahly ni Bora Sana kuliko Belouizdad so kumpiga wala sio stori kubwa...
 
Mkuu mpira una matokeo ya kikatili mno unakumbuka Uganda walilalamika kuwa tumepanga game ya Algeria hapa ili tufuzu wao waliamini sisi tutafungwa kirahisi ili wao wapite cha msingi Yanga akomae na gemu zake tuache kuhesabia vidole...
 
Wamesahau kilicho watokea kwa Jwaneng Galaxy
 
FB_IMG_17031147824036915.jpg
 
Mkuu mpira una matokeo ya kikatili mno unakumbuka Uganda walilalamika kuwa tumepanga game ya Algeria hapa ili tufuzu wao waliamini sisi tutafungwa kirahisi ili wao wapite cha msingi Yanga akomae na gemu zake tuache kuhesabia vidole...
Ngoja tusubiri Ila still karata Yangu ipo Kwa Ahly kutokana na ubora wao pia na umuhimu wa game maana kupigwa hiyo game ni kuanzisha presha isiyo na maana hasa akizingatia alivofuzu mwaka jana Kwa mbinde.
 
Yanga inahitaji ushindi dhidi ya Belouizdad huku ikimuomba Al Ahly impige Medeama na Belouizdad
 
Nmeanza kuamini kua kweli mashabiki wa simba hawana akili nzuri!

Hivi inaijua football?

Angalia game yetu na mc alger hapa tumepigwa 2
Kwao tukamfunga moja!

Haya club africain tulitoka nae draw hapa
Kile kimchambuzi kilichovimba mashavu kikasema game imeisha
Nadhani uliona kilichotokea

Mkuu mpira ni mchezo wa makosa na sio mchezo wa timu moja
Anaefanya makosa anaadhibiwa over!

Sio yanga,simba,wydad au yoyote anakosea anafungwa

Acheni chuki na upumbavu kuanzisha nyuzi ambazo baadae mnakuja mnazikimbia
 
Yanga hata akishinda mechi zake zote zilizobakia anafuzu bila kuombea fulani afungwe. Isipokuwa kinachoombwa CRB afungwe ni kuifanya Yanga ifuzu kabla hata ya kucheza mechi ya mwisho vs Al Ahly.
siyo kweli!! Kusonga mbele kwa yanga kunategemea matokeo ya mechi ya timu zingine!!
 
Una uhakika? Haya njoo na hesabu zako uniambie ni vipi Yanga akishinda mechi zake zote zilizobakia, kufuzu kwake kutategemea na wengine.
Yanga akishinda mechi zake zote atakuwa na point 11. nipe mazingira ambayo itamfanya point 11 za Yanga zisiweze kumsongesha mbele
 
Back
Top Bottom