Yanga kucheza mechi 4 ndani ya Siku 9

Hizo mechi 2 za ligi sio muhimu watacheza kina johore na bryson maana hata tukifungwa hatuna cha kupoteza.

Tukimaliza final mechi muhimu ni ya Azam tu
 
Mchimba shimo huingia mwenyewe. Hii ratiba ninyi ndio waasisi wake. Mlipinga sana kipindi Simba anapewa ahueni ilifikia wakati Simba anacheza J3 anapumzika J4 kisha J5 yuko uwanjani
 
Mchimba shimo huingia mwenyewe. Hii ratiba ninyi ndio waasisi wake. Mlipinga sana kipindi Simba anapewa ahueni ilifikia wakati Simba anacheza J3 anapumzika J4 kisha J5 yuko uwanjani
Hawa mbwa wanajiona wao ni special sana
 
Sio mbaya, baada ya tarehe 3 wachezaji muhimu watapumzika kujiandaa na fainali tarehe 12,hizo mechi 2 za ligi hazina umuhimu kwa yanga ndo maaana zimelundikwa hapo kti
Licha ya kuwa hazina umuhimu je tff wametenda haki??? Na kama hazina umuhimu kwetu sisi kwa wapinzani zina umuhimu unafikiri mbeya city akikutana na yanga b nn kitatokea huoni kama mbeya city atapata faida tff wajitathimini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…