Yanga kumficha ndani Kambole kama 'msukule' siyo sawa!

Huyu mpuuzi anaboa! Yeye Simba ila kila siku issue za ajabu za Yanga! Akili ndogo
Huyo ana mahaba mazito na Yanga.... Wamatumbi wana msemo wao mmoja "Too much Hate means Love"..... Tumpe muda tu atavaa jezi ya njano na kijani
 
Huyo ana mahaba mazito na Yanga.... Wamatumbi wana msemo wao mmoja "Too much Hate means Love"..... Tumpe muda tu atavaa jezi ya njano na kijani
Umenifurahisha bibie! Wengine tungelikuwa na attitude kama yako wala tusingekuwa na tatizo la BP
 
Juha mwenye platinum beji wa jf!?
 
Amekuomba uje umsemee humu jukwaani?
 
Luc eymael hakukosea kuwaita manyani mambwa mnabweka bweka hivyo yaani mleta mada kaleta topic nzuri tu ya kudiscus ujinga wa viongozi wenu mnakuja kumtusi humu
 
Ni zezeta tu ndio ataamini taarifa zako, sasa kama amefungiwa huko avic town sisi tufanyaje? Ulitaka ufungiwe nae room moja? Ili iwe nini? We si mtoto wa kiume? Au ndio mchele....
Kwani uongo? Huyo alizungushiwa duara si kambole
Au kwa vile pesa ya usajili sasa hivi hampitishi bakuli haiwaumi ila muda unakuja kukiwaka moto hapo utopoloni tutakuja kuongeza kuni uwake vizuri
 
Makolo yanaongoza kwa kuanzisha threads zinazoihusu Yanga kuliko zinazoihusu Makolo yenyewe...

Cha ajabu zaidi, asilimia kubwa ya threads zao ni propaganda... yaani propaganda kwenye soccer!! What a pity!!

Mkija kutandikwa na Mayele mnakimbilia kusema "hawa hawana wanachowaza zaidi ya kuwafunga Simba"!

Mtafahamu vipi strenghs na weakness ya klabu yenu wakati kila siku mnafuatilia taarifa za klabu nyingine!!! Mnakuwa busy kuifuatilia Yanga kuliko mnavyoifuatilia klabu yenu!
 
Tunapenda sana mnavyoteseka utopolo
 
Mkeka mreeefu,lakini nje ya mada. Haya rudi kwenye mada sasa
 
Tunapenda sana mnavyoteseka utopolo
Eti tunavyoteseka... hivi huoni anayeteseka ni yule ambae kila siku anamwongelea mwenzake?!

Kama Wana-Yanga waliona ni bora Kisinda kuliko Kambole, ni nani atakayeteseka kuona picha lilivyochezwa kama sio Makolo?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…