Yanga kumficha ndani Kambole kama 'msukule' siyo sawa!

Yanga kumficha ndani Kambole kama 'msukule' siyo sawa!

Habari zako zote ni uongo. Umepoteza credibility hapa jukwaani. Ulianza na Djuma Shaban hawezi kutua Yanga, mara Aziz Ki kanyakuliwa na Simba, ukaja na suala la Nabi, bado unataka uendelee kuaminiwa?
Bado habari hizi ni za uongo?
 
Ni zezeta tu ndio ataamini taarifa zako, sasa kama amefungiwa huko avic town sisi tufanyaje? Ulitaka ufungiwe nae room moja? Ili iwe nini? We si mtoto wa kiume? Au ndio mchele....
Hii ilikuwa tetesi ambayo ilizungumzwa kutoka vyanzo vikubwa ikiwemo Wasafi kwenye kipindi cha michezo

Leo imethibitika kuwa Kambale yupo we unafikiri zile habari za kuwa anafichwa zilikuwa uongo?
 
Mkuu hebu tafuta content za msingi walau za kujenga soka letu we kila siku ni kuongelea majungu , umbea umbea tu.

Kama una taarifa sahihi nenda nazo TFF pale kafwatilie utapata ufafanuzi haya maswala ya kila siku kulalamika kwanza unajishushia uweledi.
Mkuu bado hii habari unaiona haina authentication?
 
Habari zako zote ni uongo. Umepoteza credibility hapa jukwaani. Ulianza na Djuma Shaban hawezi kutua Yanga, mara Aziz Ki kanyakuliwa na Simba, ukaja na suala la Nabi, bado unataka uendelee kuaminiwa?
Bado unabsha?
 
Niliumia sana hao jamaa kumbadilisha Kambole na Kisinda yaani hawawaoni Wazambia wana vyocheza mpira wa akili...nimesikia kuwa atakuwepo kwenye usajiri wa January ila walichokifanya sio sawa Kambole ni mtu na nusu sio huyo Kisinda Madarali wametuharibia radha iliyotakiwa kuwepo pale wacha tuendelee kuwaangalia...
Ndomn wamemtoa january hii
 
Yuko vipers huyoooo walisema
Viper ya wapi?

Wamemuweka ndani nusu mwaka kama mwali afu sijui hata kama walikuwa wanamlipa mshahara

Na usikute pamoja na kukaa ndani miezi yote alikuwa anapokea mshahara mkubwa kuliko Feisal
 
Back
Top Bottom