kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Yanga wamefanya maamuzi ya kitoto sana yote yamesababishwa na ombwe la uongozi sababu mpaka sasa hazijawekwa wazi wanachama na mashabiki wao kwakuwa ni empty up stairs wameshindwa kuhoji wala kutaka kujua sababu.
Tuionayo wengi ni kupoteza michezo miwili mfululizo wamesahau msimu uliopita walikuwa wakishinda tono tano mpaka wakina mama j wanatoa zawadi za ushindi,
Viongozi watoe sababu kwanini wanakimbia chamazi kama uongozi ni makini wangesema wanaelekeza kujenga uwanja kama wanavyo jinasibu daily lakini kwa kuwa wanachama na mashabiki wao ni wawili tu kama alivyo wahi kusema manara wote wanakata viuno na kuselebuka,
Kesho kmc complex wakinyimwa kuchimbia mauganga yao ya mapaka matunguri na mafuvu ya watu,
Wakigomewa kujichoma sindano bila daktari wa muhimbili watataka kurudi chamazi.
Yanga ina viongozi wenye maamuzi na mawazo ya kitoto ni juzi tu wametoka kuweka mabango je ni kweli kuwa yanga inatumia njia zisizo halali kushinda mechi zake ni hujuma gani wanayofanyiwa azam complex watuweke wazi!