Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga wamefanya maamuzi ya kitoto sana yote yamesababishwa na ombwe la uongozi sababu mpaka sasa hazijawekwa wazi wanachama na mashabiki wao kwakuwa ni empty up stairs wameshindwa kuhoji wala kutaka kujua sababu.
Tuionayo wengi ni kupoteza michezo miwili mfululizo wamesahau msimu uliopita walikuwa wakishinda tono tano mpaka wakina mama j wanatoa zawadi za ushindi,
Viongozi watoe sababu kwanini wanakimbia chamazi kama uongozi ni makini wangesema wanaelekeza kujenga uwanja kama wanavyo jinasibu daily lakini kwa kuwa wanachama na mashabiki wao ni wawili tu kama alivyo wahi kusema manara wote wanakata viuno na kuselebuka,
Kesho kmc complex wakinyimwa kuchimbia mauganga yao ya mapaka matunguri na mafuvu ya watu,
Wakigomewa kujichoma sindano bila daktari wa muhimbili watataka kurudi chamazi.
Yanga ina viongozi wenye maamuzi na mawazo ya kitoto ni juzi tu wametoka kuweka mabango je ni kweli kuwa yanga inatumia njia zisizo halali kushinda mechi zake ni hujuma gani wanayofanyiwa azam complex watuweke wazi!
Waliokuwepo yanga baadhi yao ndio hao hao waliojitoa na kwenda kuanzisha simbo so hata simba inawajua vizuri yanga. Hilo suala la nyuma mwiko kutuzidi mataji kila mtu anajua so sio stori mpya hapa mjini suala la nyuma mwiko kupigwa tatu na tabora ndio habari ya mjinzi tuanzie hapo.Huu ndio upuuzi unao wapa Simba kichwa, Yanga ipo kabla ya Simba Kila mnalo Fanya tunalijua ndio maana tuna Mataji mengi kuwazidi.
Mambo ya kipuuzi wafanyieni wageni ila si Yanga, yaani mkimaliza vikao vyenu fail lote tunakua nalo.
hivi simba aliweka wazi sababu za kukimbia viwanja zaidi ya vitatu msimu uliopita kama aliziweka emu tukumbushe hizo sababu hapa ili tujue nyie mbumbumbu au mmesingiziwa na RAGEYanga wamefanya maamuzi ya kitoto sana yote yamesababishwa na ombwe la uongozi sababu mpaka sasa hazijawekwa wazi wanachama na mashabiki wao kwakuwa ni empty up stairs wameshindwa kuhoji wala kutaka kujua sababu.
Tuionayo wengi ni kupoteza michezo miwili mfululizo wamesahau msimu uliopita walikuwa wakishinda tono tano mpaka wakina mama j wanatoa zawadi za ushindi,
Viongozi watoe sababu kwanini wanakimbia chamazi kama uongozi ni makini wangesema wanaelekeza kujenga uwanja kama wanavyo jinasibu daily lakini kwa kuwa wanachama na mashabiki wao ni wawili tu kama alivyo wahi kusema manara wote wanakata viuno na kuselebuka,
Kesho kmc complex wakinyimwa kuchimbia mauganga yao ya mapaka matunguri na mafuvu ya watu,
Wakigomewa kujichoma sindano bila daktari wa muhimbili watataka kurudi chamazi.
Yanga ina viongozi wenye maamuzi na mawazo ya kitoto ni juzi tu wametoka kuweka mabango je ni kweli kuwa yanga inatumia njia zisizo halali kushinda mechi zake ni hujuma gani wanayofanyiwa azam complex watuweke wazi!
Tulieni umbwa nyie 5imba Thiiimbaaaa Guvu Moya janja2.Yanga wamefanya maamuzi ya kitoto sana yote yamesababishwa na ombwe la uongozi sababu mpaka sasa hazijawekwa wazi wanachama na mashabiki wao kwakuwa ni empty up stairs wameshindwa kuhoji wala kutaka kujua sababu.
Tuionayo wengi ni kupoteza michezo miwili mfululizo wamesahau msimu uliopita walikuwa wakishinda tono tano mpaka wakina mama j wanatoa zawadi za ushindi,
Viongozi watoe sababu kwanini wanakimbia chamazi kama uongozi ni makini wangesema wanaelekeza kujenga uwanja kama wanavyo jinasibu daily lakini kwa kuwa wanachama na mashabiki wao ni wawili tu kama alivyo wahi kusema manara wote wanakata viuno na kuselebuka,
Kesho kmc complex wakinyimwa kuchimbia mauganga yao ya mapaka matunguri na mafuvu ya watu,
Wakigomewa kujichoma sindano bila daktari wa muhimbili watataka kurudi chamazi.
Yanga ina viongozi wenye maamuzi na mawazo ya kitoto ni juzi tu wametoka kuweka mabango je ni kweli kuwa yanga inatumia njia zisizo halali kushinda mechi zake ni hujuma gani wanayofanyiwa azam complex watuweke wazi!
Sababu zilizowafanya makolo wahame msimu ulipita ndiozilizowafanya yanga wabadili uwanjaYanga wamefanya maamuzi ya kitoto sana yote yamesababishwa na ombwe la uongozi sababu mpaka sasa hazijawekwa wazi wanachama na mashabiki wao kwakuwa ni empty up stairs wameshindwa kuhoji wala kutaka kujua sababu.