Yanga kuna ombwe kubwa la uongozi,maamuzi yao ni dhahiri wenye akili ni wawili watuweke wazi ni hujuma gani ziliwakimbiza Chamazi!

Kwa nini chamazi waikimbie kisa kufungwa mechi mbili???
 
 
Closed circuit television camera......Wala sielewi maana yake na kazi za hiyo kitu.
 
Huu ndio upuuzi unao wapa Simba kichwa, Yanga ipo kabla ya Simba Kila mnalo Fanya tunalijua ndio maana tuna Mataji mengi kuwazidi.
Mambo ya kipuuzi wafanyieni wageni ila si Yanga, yaani mkimaliza vikao vyenu fail lote tunakua nalo.
Waliokuwepo yanga baadhi yao ndio hao hao waliojitoa na kwenda kuanzisha simbo so hata simba inawajua vizuri yanga. Hilo suala la nyuma mwiko kutuzidi mataji kila mtu anajua so sio stori mpya hapa mjini suala la nyuma mwiko kupigwa tatu na tabora ndio habari ya mjinzi tuanzie hapo.
 
Nyuma mwiko a.k.a amber rutty fc wazee wa kutoa kiboga fc wanasema azam inashirikiana na simba kuwahujumu. Halafu yalivyokuwa majinga yamemfuata simba anayewahujumu kmc complex, sasa kama simba ana mechi leo halafu wao kesho wana mechi si ndo atawahujumu zaidi? Au wamekua akili wameziacha matakoni? Haya maamuzi ni non logical. Ama kweli nyuma mwiko wenye akili wawili baba sope na mzee wa msoga.
 
Tukupe sababu wewe kama nani? Tumehama uwanja na hakuna wa kutufanya chochote. Mtaongea mkikalia kuisema Yanga. Tukichukua ubingwa, muanze kelele za bahasha, mbeleko. Tukutane kwenye Ubingwa wa Yanga 2024/2025.
 
hivi simba aliweka wazi sababu za kukimbia viwanja zaidi ya vitatu msimu uliopita kama aliziweka emu tukumbushe hizo sababu hapa ili tujue nyie mbumbumbu au mmesingiziwa na RAGE
 
Tulieni umbwa nyie 5imba Thiiimbaaaa Guvu Moya janja2.
 
Sababu zilizowafanya makolo wahame msimu ulipita ndiozilizowafanya yanga wabadili uwanja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…