Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
- Thread starter
-
- #41
Hivi nikuulize tena.Huu uswahili wenu kwenye mikataba ndiyo umesababisha mkamtoa Faisal chambo.
Muambieni huyo dogo ukweli kuwa mmemuingiza chaka afanye hima achutame.
Yanga inapomtia adabu Feitoto, ndio inapata faida kubwa?Hapo kwenye bila utaratibu ndio patakapo muumiza na ata umia kweli, mpka sasa Yanga hawana shida nae ila wanataka wamtie adabu
Wanapata hasara gani?Swali linabakia pale pale, Yanga wanapata faida gani kwa sasa kuendelea kumng'ang'ania Feitoto?
Jibu rahisi limeshatolewa comment number #3Hivi nikuulize tena.
Kuna namna yoyote kwa Yanga kuweza kumtumia uwanjani na kufaidika na Feitoto?
Ama Yanga inaona fahari kumkomoa Feitoto?
Swali linabakia pale pale, Yanga wanapata faida gani kwa sasa kuendelea kumng'ang'ania Feitoto?
Kuna Namna na taratibu za kuaga na kuondoka kwa amani ndugu mleta mada.
Nafikiri nguvu kubwa mngetumia kwenye kumuelewesha utaratibu sahihi wa kuondoka kama ataki kuendelea kufanya kazi na Yanga.
Sent from my Infinix X689C using JamiiForums mobile app
Tangulini utopolo wakawa watu wa kufuata utaratibu na kuheshimu mikataba? Chukulia tuu ya sportpesa kwavile tarimba ni mwanachama la sivyo kesi ingekua mahakamani, angalia ile ishu ya morrison
Nb utopolo ni watu wa hovyo hovyo
Huenda kuna kitu sikifahamu au labda nimepitwa. Mchezaji Feitoto alishaamua kuachana na Yanga na akawaaga na mashabiki, lakini klabu yake ya Yanga imeendelea kumng'ang'ania lakini haiwezi kumtumia, haimchezeshi, haimwamini nk
Nini mantiki ya Yanga kuendelea kumng'ang'ania Feitoto?
Faida ni kwamba, washahili wengine kwenye timu wataheshimu mikataba kwani wameshajua ukubwa wa taasisi na uzito wa mikataba waliyosaini.Hivi nikuulize tena.
Kuna namna yoyote kwa Yanga kuweza kumtumia uwanjani na kufaidika na Feitoto?
Ama Yanga inaona fahari kumkomoa Feitoto?
Swali linabakia pale pale, Yanga wanapata faida gani kwa sasa kuendelea kumng'ang'ania Feitoto?
Kwa kadri Yanga wanavyoendelea kumng'ang'ania Feitoto maana yake wanapaswa kumlipa haki zote (ikiwemo mishahara na marupurupu yake) na wakati huo huo hawamtumii.Wanapata hasara gani?
Kumuhodhi kunatoa nafasi ya ku-bargain hela zaidi ya kumuachia.
Good business decision on their part.
Labda nikuulize serikali inafaidika nini na wafungwa huko jela?Yanga inapomtia adabu Feitoto, ndio inapata faida kubwa?
Azam FC hawajui taratibu za kudai?Na wanadaiwa na Azam pesa ya GADIEL mpk leo!
Mchezaji anapovunja mkataba wake kinyume na utaratibu, klabu inapaswa kufaidika kimkataba (kupata faida za kipesa) na mchezaji kuumizwa kimkataba (kupoteza pesa), na sio kupotezeana muda au kukomoana.Faida ni kwamba, washahili wengine kwenye timu wataheshimu mikataba kwani wameshajua ukubwa wa taasisi na uzito wa mikataba waliyosaini.
Tukienda kiswahili-swahili kama mnavotaka hizi team zitabaki na wachezaji 6 tu.
Hili ni fundisho kwa kila mswahili.
Fei katoroka klabuni huku akiwa bado na mkataba hai, Yanga ikipotezea hili suala itageuka tabia ya kuiga siku zijazo kwa wachezaji wengine.Huenda kuna kitu sikifahamu au labda nimepitwa. Mchezaji Feitoto alishaamua kuachana na Yanga na akawaaga na mashabiki, lakini klabu yake ya Yanga imeendelea kumng'ang'ania lakini haiwezi kumtumia, haimchezeshi, haimwamini nk
Nini mantiki ya Yanga kuendelea kumng'ang'ania Feitoto?
Serikali moja kwa moja haiwezi kufaidika na wafungwa waliopo jela, lakini wafungwa wanafaidika kwa kuwepo jela kwa kuwa jela ni eneo la kuwarekebisha na kuwalinda dhidi ya jamii.Labda nikuulize serikali inafaidika nini na wafungwa huko jela?
Waliomtorosha walilipa...Anakula ugali na sukari
Anaenda kwenye mazoez na bodaboda
Je 100ml alitoa wapi ya kulipa utopolon??
Mchezaji mtoro unaendelea kumng'ang'ania wa nini?Fei katoroka klabuni huku akiwa bado na mkataba hai, Yanga ikipotezea hili suala itageuka tabia ya kuiga siku zijazo kwa wachezaji wengine.
ndiyo Fatma na Mama Fei wamekujaza hivi πππMchezaji anapovunja mkataba wake kinyume na utaratibu, klabu inapaswa kufaidika kimkataba (kupata faida za kipesa) na mchezaji kuumizwa kimkataba (kupoteza pesa), na sio kupotezeana muda au kukomoana.
Mikataba haiwezi kuheshimiwa kwa kukomoana bali kwa kuheshimiana kimkataba. Mchezo wa mpira ni mchezo wa kiuungwana na biashara.
Huo uungwana uano usema Fei anao?Mchezaji anapovunja mkataba wake kinyume na utaratibu, klabu inapaswa kufaidika kimkataba (kupata faida za kipesa) na mchezaji kuumizwa kimkataba (kupoteza pesa), na sio kupotezeana muda au kukomoana.
Mikataba haiwezi kuheshimiwa kwa kukomoana bali kwa kuheshimiana kimkataba. Mchezo wa mpira ni mchezo wa kiuungwana na biashara.
Basi mwacheni Feisal afaidike kwa kulipwa pesa ambazo hazifanyii kaziSerikali moja kwa moja haiwezi kufaidika na wafungwa waliopo jela, lakini wafungwa wanafaidika kwa kuwepo jela kwa kuwa jela ni eneo la kuwarekebisha na kuwalinda dhidi ya jamii.