Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
- Thread starter
-
- #101
Nisome vizuri ndio utanielewa.Wakati anakuja Yanga hao wanaomrubuni leo hawakumuona viunga vya Mchambawima? Wakati anakuja Yanga kipato alichokuwa anapata kilikuwa kikubwa kuliko alikokuwa kwenye timu za Zenji
Hakuna mtu (klabu) yoyote aliyesema anamtaka Feisal, lakini Feisal yeye mwenyewe alisema anataka kuvunja mkataba wake na Yanga ili akatafute maisha yake mengine. Huo ni uhuru wake, na mkataba wake ulionyesha hilo linawezekana.Hilo liko Wazi eng hersi alishasema wanaomtaka mchezaji Feisal waje meza ya mazungumzo ,lkn mpaka sasa hamna kiongoz yoyote aliyejitokeza kumtaka Feisal , Feisal mwenyewe haoneshi kutaka mazungumzo ya pande mbili ...
Yes linawezekana lakn mazungumzo hayakwepeki.. ingikeua ni hivyo bas wachezaji wengi wangevunja mikataba Yao pind wanapopata ofa na donge nonoHakuna mtu (klabu) yoyote aliyesema anamtaka Feisal, lakini Feisal yeye mwenyewe alisema anataka kuvunja mkataba wake na Yanga ili akatafute maisha yake mengine. Huo ni uhuru wake, na mkataba wake ulionyesha hilo linawezekana.
Mwambieni basi afuate kilichoandikwa kwenye mkataba, siyo kuchomoa tu mstari mmoja na kukomaa nao.Hakuna mtu (klabu) yoyote aliyesema anamtaka Feisal, lakini Feisal yeye mwenyewe alisema anataka kuvunja mkataba wake na Yanga ili akatafute maisha yake mengine. Huo ni uhuru wake, na mkataba wake ulionyesha hilo linawezekana.
Wamegoma kuachika 😅😅mautopolo yanatia aibu sanaHuenda kuna kitu sikifahamu au labda nimepitwa. Mchezaji Feitoto alishaamua kuachana na Yanga na akawaaga na mashabiki, lakini klabu yake ya Yanga imeendelea kumng'ang'ania lakini haiwezi kumtumia, haimchezeshi, haimwamini nk
Nini mantiki ya Yanga kuendelea kumng'ang'ania Feitoto?
Hujui kitu kuhusu release clause wewe, fatilia ishu ya Neymar, sio kila kuvunja mkataba eti lazima mkae mezaniYes linawezekana lakn mazungumzo hayakwepeki.. ingikeua ni hivyo bas wachezaji wengi wangevunja mikataba Yao pind wanapopata ofa na donge nono
Kipengele Cha yanga na Feisal kwenye release clause unakijua?Hujui kitu kuhusu release clause wewe, fatilia ishu ya Neymar, sio kila kuvunja mkataba eti lazima mkae mezani
Watu kina nani? TFF wamesema tarehe 6 March watatoa mwenendo wa kesi ulivyo kua by the way hii sio public case hata wasipotoa cha msingi wahusika wameridhika vitu vingine mnavikuzaTaasisi inaweza kukosea pia
Na ndio maana kwenye ishu ya Haier raisi wa Club amekiri kufanya kosa
Kinachotuacha njia panda kwenye hii kesi ni swala la TFF kuiweka confidential kuzuia watu wasiweze kujua sheria iliyokiukwa tofauti na mashauri mengine yaliyowahi kutolewa ufafanuzi na kutoa fursa kwa wadau kuuliza maswali
UmmaWatu kina nani? TFF wamesema tarehe 6 March watatoa mwenendo wa kesi ulivyo kua by the way hii sio public case hata wasipotoa cha msingi wahusika wameridhika vitu vingine mnavikuza
Umma wa nini? Kwani hili ni shauri la Umma? pia usitegemee TFF wakuwekee hadharani kila kitu kumbuka hayo ni mambo yanayohusu masilahi ya mtu binafsi hata habari za kuutoa mshahara wa Feisal hadharani ni makosaUmma
Namimi najua tarehe 6 wanatoa ila kwa wahusika na kesi tu
Hata Morrison haikuwa public case lakini haikuzuia kutoa taarifa kwa umma kuelezea namna walivyo hukumu kesi
Kesi ya Morrison ilikuwa ya Umma?Umma wa nini? Kwani hili ni shauri la Umma? pia usitegemee TFF wakuwekee hadharani kila kitu kumbuka hayo ni mambo yanayohusu masilahi ya mtu binafsi hata habari za kuutoa mshahara wa Feisal hadharani ni makosa
Nilichgundua kwako unakaza fuvu tu mkuu,, jibu lipo wazi yanga haina nia ya kuwa na fei tena wala kumtumia ktk team yao ila wanachokisimamia yanga ni kulinda taasisi dhidi ya upumbavu.Katika hali ya kawaida, suala la ufanisi wa timu linategemea mahusiano ya hiari yaliyopo baina ya Timu na mchezaji husika. Timu ikimchoka mchezaji itatafuta namna ya kumuacha mchezaji na mchezaji akiichoka timu atatafuta namna ya kuondoka, kwa namna yoyote ile hiyo hali lazima ifikiwe.
Feitoto haitaki tena Yanga......
Yanga haina tena mpango wa kumtumia Feitoto.....
Sasa Yanga wanamng'ang'ania mchezaji wa namna hiyo wa nini?
Brother kesi ya Morrison ni moja ya mamia ya kesi hapo TFF unapo itumia kama reference labda uniambie kesi hizi zilikua public?Kesi ya Morrison ilikuwa ya Umma?
Wasi wasi wako ni nini hasa? umeambiwa tarehe 6 watatoa press release unaufahamu na mambo ya mahakama au unaleta ubishi wa vijiweni?Kesi ya Morrison ilikuwa ya Umma?
Point ilikuwa ni kukuonesha kuwa kesi ya mchezaji na Club haizuuii TFF kutoa ufafanuzi kwa UmmaBrother kesi ya Morrison ni moja ya mamia ya kesi hapo TFF unapo itumia kama reference labda uniambie kesi hizi zilikua public?
1. Ramadan Kesi Vs Simba
2. Emmanuel Okwi Vs Yanga
3.Yondani Vs Simba
Wewe ndio hujaelewa inaonekana hujasoma vizuri tangazo la TFFWasi wasi wako ni nini hasa? umeambiwa tarehe 6 watatoa press release unaufahamu na mambo ya mahakama au unaleta ubishi wa vijiweni?
Kwa kauli za bi mkubwa, sidhani aiseeDogo atakuwa amesha juta sana huko
Unafikiri kamati ya haki za wachezaji haina ethics mpaka wakaamua vile? Kimsingi watu wanachanganya mambo kwenye suala hili, hoja iko hapa kesi ilifunguliwa na Yanga sc wakiomba tff ithibitishe uvunjaji mkataba wa Feitoto ni halali?Kwani feitoto hajafuata mkataba?
Mkataba umeweka vigezo vya kuuvunja ni fei kulipa million 100 na mshahara wa miezi mitatu
Kuna utaratibu gani tena?
We jamaa ni mkali wa media?Unafikiri kamati ya haki za wachezaji haina ethics mpaka wakaamua vile? Kimsingi watu wanachanganya mambo kwenye suala hili, hoja iko hapa kesi ilifunguliwa na Yanga sc wakiomba tff ithibitishe uvunjaji mkataba wa Feitoto ni halali?
Na tff wamesema mara mbili mbili kuwa haikuwa halali bali feisal bado mchezaji wa Yanga.
Sasa mwenye hoja hapo aende huko fifa aombe Yanga imwachie feisal bure aende Club aitakayo tuone kama fifa nao watakubaliana na uhuni huo.?