Yanga kwa sasa inafaidika nini na kumng'ang'ania Feitoto?

Yanga kwa sasa inafaidika nini na kumng'ang'ania Feitoto?

Zanzibar-ASP

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2013
Posts
11,550
Reaction score
40,697
Huenda kuna kitu sikifahamu au labda nimepitwa. Mchezaji Feitoto alishaamua kuachana na Yanga na akawaaga na mashabiki, lakini klabu yake ya Yanga imeendelea kumng'ang'ania lakini haiwezi kumtumia, haimchezeshi, haimwamini nk

Nini mantiki ya Yanga kuendelea kumng'ang'ania Feitoto?
 
Huenda wanaogopa wakimuachia bila yeye kufuata taratibu basi wachezaji wengine pia wanaweza kuja kufanya hivyo,

So, hapo ni sawa na kuwa wanatuma msg kuwa taratibu lazima zifuatwe.

Wataalamu wataelezea zaidi, mimi mimeandika mawazo yangu tu.
 
Kuna Namna na taratibu za kuaga na kuondoka kwa amani ndugu mleta mada.

Nafikiri nguvu kubwa mngetumia kwenye kumuelewesha utaratibu sahihi wa kuondoka kama ataki kuendelea kufanya kazi na Yanga.

Sent from my Infinix X689C using JamiiForums mobile app
 
Huenda wanaogopa wakimuachia bila yeye kufuata taratibu basi wachezaji wengine pia wanaweza kuja kufanya hivyo,

So, hapo ni sawa na kuwa wanatuma msg kuwa taratibu lazima zifuatwe.

Wataalamu wataelezea zaidi, mimi mimeandika mawazo yangu tu.
Exactly ujakozea lolote mwamba,kwa ujumla yule dogo fei Ni mpuuzi ,mjinga ,anafikiria swala la mkataba Ni Kam kula ugali na sukari ndio mikataba

Shule Ni muhimu Sana Ina lowasa voice

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Huenda kuna kitu sikifahamu au labda nimepitwa. Mchezaji Feitoto alishaamua kuachana na Yanga na akawaaga na mashabiki, lakini klabu yake ya Yanga imeendelea kumng'ang'ania lakini haiwezi kumtumia, haimchezeshi, haimwamini nk

Nini mantiki ya Yanga kuendelea kumng'ang'ania Feitoto?
jifunze kuhusu sheria kabla hujaharisha
 
Investment namba moja ya Club yoyote ya mpira duniani ni wachezaji. Miaka mitatu iliyopita Club imemlipa Sh. 100 Milioni ili atumikie mpaka 2024. Club inamnunua mchezaji kwa malengo makuu mawili yenye uzito sawa. Kwanza aisaidie timu uwanjani na pili aje kuuzwa kwa bei nzuri Club ipate faida. Mpira ulisha hama kwenye mentality za kijamaa muda mrefu na ndiyo maana tunaona matajiri mananunua sana Club za mpira; siyo kujifurahisha bali ni biashara kweli kweli. Sasa Yanga ndio wanajua thamani ya Investment yao, ng'ombe hawezi mpangia mfungaji bei ya kumwuza kisa tu anampa mfugaji maziwa.
 
Huenda kuna kitu sikifahamu au labda nimepitwa. Mchezaji Feitoto alishaamua kuachana na Yanga na akawaaga na mashabiki, lakini klabu yake ya Yanga imeendelea kumng'ang'ania lakini haiwezi kumtumia, haimchezeshi, haimwamini nk

Nini mantiki ya Yanga kuendelea kumng'ang'ania Feitoto?
Hili Jambo tukieleza Kisheria tunaonekana mashabiki wa Yanga. Lakini Hakuna popote duniani timu/Taasisi itaruhusu mchezaji/mwajiwake aache kazi anavyojisikia bila kufuata taratibu kisa tu kalipa hela ya kununuliwa au mshahara wa mwezi mmoja.
 
Huenda kuna kitu sikifahamu au labda nimepitwa. Mchezaji Feitoto alishaamua kuachana na Yanga na akawaaga na mashabiki, lakini klabu yake ya Yanga imeendelea kumng'ang'ania lakini haiwezi kumtumia, haimchezeshi, haimwamini nk

Nini mantiki ya Yanga kuendelea kumng'ang'ania Feitoto?
Kwa hali ilivyo sasa na hili sakata lake, hata akirudi sidhani kama anaweza kuwa na ile hali ambayo mashabiki wamezoea kuiona
 
Sheria za boli zinambana Fei. Hapa utopoloni kwetu Yanga hatoshinda maana club ni kubwa kuliko mtu Hilo Fei hakujua sababu ya umri mdogo , majivuno, kiburi na kukosa vidato.

Nadhani Shangazi Fatma ni mzuri mno kwani English yake Huwa ni first class na anaijua Sheria ndani nje halafu Yuko smart sana upstairs , I propose yeye Fatma na mwanae Fei waende CAS au FIFA wataeleweka and watapata haki yao.

Mbona Msuva alishinda kesi na Wydad. Fei unakwama wapi?

Wanayanga tuna haki ya kujua ni nani aliempa Fei Ile millioni 100 ya kulipa. Kuna mganga kiboko wa kushughulikia vivuruge!
 
Yanga wanajaribu kulinda heshima yao.
Kama mkataba upo, ufuatwe.

Hakuna kitu kibaya, kwenye maswala ya mikataba ya wachezaji.
Kama Timu itaruhusu, mchezaji kuchezea mkataba.

Inatengeneza picha mbaya.
Kwani feitoto hajafuata mkataba?
Mkataba umeweka vigezo vya kuuvunja ni fei kulipa million 100 na mshahara wa miezi mitatu
Kuna utaratibu gani tena?
 
Kwani feitoto hajafuata mkataba?
Mkataba umeweka vigezo vya kuuvunja ni fei kulipa million 100 na mshahara wa miezi mitatu
Kuna utaratibu gani tena?
Hujauona mkataba wa Fei waliuweka humu jf Wewe ulikuwa Bado unanyonya!

Mkataba niliusoma humu JF ni very tight na umefungwa na kufuli la Solex na key iko Jangwani , yaani kwa Fei Mwenye elimu ya Madrasa Jambiani na elimu ya msingi Mfereji wa Wima primary mara Sijui form four Mchambawima skuli basi alisaini bila kuuelewa kama stori ya Chief Mangungo au sisi wabongo tunaotekeleza siasa ya ujamaa bila kuifahamu kuwa it is something Utopian , bullshit, bogus and unrealistic!

Mkataba unasema Feitoto anatakiwa akishalipa hizo pesa 100m za usajili na mishahara 3 kisha ataje na sababu "za maana" za kuvunja mkataba km kutopangwa, kutotibiwa, kutolipwa , sababu ambazo kiukweli Hana hata moja na hakutaja na mkataba unasema Yanga Wana haki kisheria ya kuzikubali au kuzikataa sababu za Fei-kubwa maana dogo keshaota mapembe ATI. Yaani hata angetaja sababu za kutoka mbinguni Yanga bado wangesema "Si za maana" na wangetoa sababu zingine na wangeshinda kesi , Fei ni Mtoto mdogo asie na elimu ya sheria msaidieni kwa kumwambia awalete warubuni wake Mezani walipe hiyo bei ya kumuuza ni 1B wasepe nae kwa Mpalanger, Fei na wachezaji wengine wanapaswa kujua uhuni Huwa Hauna nafasi mbele ya sheria!

Wanayanga ni vizuri tutajiwe aliempa Feitoto Ile milioni 100 ni haki yetu wanautopolo kumjua in exchange with our paying members subscription fee and coming to support our team pale Chamazi. Kuna mganga Pemba wa kushughulikia vivuruge hawa.

Hivi Utopoloni kuchukua makombe yote miaka miwili mfululizo na kupiga BOLI la kideoni kuzidi hata Brazil mbona Makolo inawauma sana yani imewashinda kabisa kumeza hawatulii hawapoi Kila kukicha wanafanya njama za kuibomoa Yanga. Kwa Dickson Job wamefeli, Mayele wamegonga mwamba basi walipomrubuni Fei maana ni Mtoto walirukaruka wakijua wameimaliza Yanga mara kaletwa Mudathir na Musonda Ngoma Inogile!

Yanga bin Utopoloni tunapanda juu kileleni mara paaap tunapishana na Simba bin Mikia aka Zuwena wanashuka chini , Utopoloni tunasalimia Makolo nayo hata kupokea salamu tu hayataki! Mikia mtakufa Bure na presha za kujitakia , kubalini tu this is Utopolo Era wengine Wote mnatusindikiza na kutupepea.

Fei katuparura nasi twamparura, jino kwa jino!!
 
Back
Top Bottom