Yanga mjiandae kisaikolojia na kadi nyekundu kesho toka kwa refa

Hii game ilianza ukakasi tangu huyo refa alichaguliwa yeye kuchezesha na kazi yake ilikuwa ni moja tu, yaani kuwatoa mchezoni wachezaji wa Yanga
 
Yanga haijafungwa, amefungwa Haji Manara! Na atalijua jiji! Hata hao GSM hawawezi kumwamini! Nyoka ni nyoka tu. huwezi kumwamini nyoka eti kwa kuwa kamuuma hasimu wako! GSM watamtenga Manara kimya kimya!!
 
Achana na kiwiko kuna buti la tumbo kampiga mchezaji wa Simba lakini refa hakumfanya kitu.
Hata bocco alistahili red kabisa angalia alivyoingia kabla ya kupigwa kiwiko



Swemba kubebwa bebwa Tu
 
Hata bocco alistahili red kabisa angalia alivyoingia kabla ya kupigwa kiwiko



Swemba kubebwa bebwa Tu
Boko aliingia vibaya sawa lakini hiyo sio faulo la kupewa red card boko labda kama unazungumzia gemu ya kwanza ile nakubaliana na wewe ila sio hii ya leo. Alichokifanya Mukoko sio uungwana kabisa
 
sema kama redcard haikustahili..Refa kaibeba sana Yanga
Simba maelekezo na makandokando mkuu, hajawahi kutoka na kulijua hilo mkaamua mcheze na referee mapema coz huyo ndo favorite kwa timu yenu, straight redcard wakati sisi kuna matukio tunafanyiwa lakini anapeta
 
Tuambie Mukoko alipewa maelekezo gani boss? Na wewe ulikula ngapi?

Naona uchawi wenu umewarudia wenyewe leo
 
Kuna tukio linakuja kwa huyu referee labda asitangaze [emoji190][emoji190][emoji190][emoji190]
 
Mmebebwa sana leo utopolo mwamnyeto alicheza faulo ya Red card refa akapeta
Sawa wazee wa maelekezo na makandokando ndo ushindi wenu ulipo, ukitaka uone hilo Derby ya Dar Bocco alifanya madhambi ya redcard ila alikaushiwa, mpira ni mchezo wa contact, straight red card Final game maaana yake unaimaliza game mapema kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…