Yanga mjiandae kisaikolojia na kadi nyekundu kesho toka kwa refa

Hongereni simba kwa kuimaliza game mapema sana kwa kupitia maelekezo kwa Referee coz mlijua kabisa bila redcard leo Hamuwezi kushinda kama sio Mukoko ilikuwa lazima itoke kwa mchezaji yeyote yule
Poleni sana, ila ukumbuke tulishawagonga 4-1 mkiwa kamili uwanjani, hii maana yake Yanga kufungwa na Simba SC bao nyingi ni kawaida.

Msalimie Manara.
 
Sasa hilo tukio hata kadi ya njano hakupewa
We umesema tukio sio la kiungwana kapewa nyekundu je lile tuliiteje manake matukio ambayo siyo ya kiungwana unakula red, je lile linaitwaje......... manake refa alishatoa maamuzi faulo.
 
Hongereni simba kwa kuimaliza game mapema sana kwa kupitia maelekezo kwa Referee coz mlijua kabisa bila redcard leo Hamuwezi kushinda kama sio Mukoko ilikuwa lazima itoke kwa mchezaji yeyote yule
Nandio ishatokea kwa mkoko na nihalali kabsa
 
Kwa hiyo mkuu kama straight red card kwenye game ya final unaitafsiri ni maelekezo, vipi kuhusu ile red card aliyopewa Happyboy wa Kaizer Chiefs, tena game ya final league ya mabingwa na yenyewe ilikua ni maelekezo ama??
 
We umesema tukio sio la kiungwana kapewa nyekundu je lile tuliiteje manake matukio ambayo siyo ya kiungwana unakula red, je lile linaitwaje......... manake refa alishatoa maamuzi faulo.
Ili uifunge yanga,lazima mchezaji mmoja umpunguze kwa hiraaa😂😂😂 pamoja nakuwa pungufu kikosi kipana kimehaha na kupotezapoteza mda!!!
 
Huu ni udhaifu wa REFA, hii nayo ni red card lakini haiondoi uhalali wa redcard ya Mukoko.
Ishu ya Onyango uliona ni nani aliyeamza kusukuma mwenzake lakini mkuu

Pale Yacouba ndio alianza kumsukuma karibu mara mbili Miquissone, Onyango ndio akakasirika akaenda kumsukuma Yacouba, na referee ameviona vitendo vyote ndio maana akaamua kukaushia tu
 
Poleni sana, ila ukumbuke tulishawagonga 4-1 mkiwa kamili uwanjani, hii maana yake Yanga kufungwa na Simba SC bao nyingi ni kawaida.

Msalimie Manara.
Ili uifunge yanga,lazima mchezaji mmoja umpunguze kwa hiraaa😂😂😂 pamoja nakuwa pungufu kikosi kipana kimehaha na kupotezapoteza mda!!!

Yale ya goli nne ile ilikuwa biashara, Tshishimbi Kauza game ile, yaani ninyi makando kando hamtoki
 
Au sio, Refa akaamua kukaushia hahahaha
 
Ili uifunge yanga,lazima mchezaji mmoja umpunguze kwa hiraaa😂😂😂 pamoja nakuwa pungufu kikosi kipana kimehaha na kupotezapoteza mda!!!
Tatizo wachezaji wa yanga wana viwiko vikubwa mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…