Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,359
- 6,568
- Thread starter
-
- #21
Shika adabu yako nimeanza kufatilia mpira wewe bado hujaacha ziwa la mama yako!...Mazembe na lupopo nani kibonde kongo?
Nyie watoto mliozaliwa 2010 mna matatizo kabisa
Mazembe ni kibonde, na mwakani inaweza ikakosa hata nafasi ya kushiriki shirikisho (sio Klabu Bingwa), maana hata anayemfuatia anaweza akamtoa kwnye nafasi ya nneMazembe na lupopo nani kibonde kongo?
Na kikosi chetu sisi Yanga tulikisajili kwa nguvu ya bukubuku.Kwa faida tu ya wasomaji wa uzi huu
Mwaka 2019 Yanga ilikutana na Pyramids fc ktk kombe hilihili la shirikisho, ikaambulia kipigo cha goli tatu ktk uwanja wa kirumba na kisha ikaenda kucharazwa goli 2 pale alexandria...ikawa imetolewa kwa jumla ya goli 5-1
Kama ambavyo timu zote zinaombea kukutana na simbwa ili wajipimie urojo wowote wanaoutakaTaarifa kutoka vyanzo vyangu vya kuaminika nchini misri, zinasema mashabiki wa Pyramids wanaombea CAF iwapangie Yanga ili waweze kusonga hatua ya nusu fainali
yanga wanaonekana kabisa wapo siriaz na ubingwa na si robo fainali mnayoringiaga nayo miaka hii minne,subirini uiheshimishe nchi kwa vikombeChei chei!
Timu ya Yanga inakwenda kuumaliza mwendo katika kombe la waliofeli kwani wanakwenda kukutana na miamba mitatu ambayo isingependa kukutana nayo...
Kwa akili zako timamu, Yanga ya 2019 ni sawa na hii Yanga ya 2023?Kwa faida tu ya wasomaji wa uzi huu
Mwaka 2019 Yanga ilikutana na Pyramids fc ktk kombe hilihili la shirikisho, ikaambulia kipigo cha goli tatu ktk uwanja wa kirumba na kisha ikaenda kucharazwa goli 2 pale alexandria...ikawa imetolewa kwa jumla ya goli 5-1
Acha wivu wewe🦁,kama mwarabu kakaa,vijana wa Moise Katumbi wamekaa nje ndani,achilia watani zetu,tumewakalisha misimu karibia mitatu,mfuatano,ndio mnaigeria,au mualgeria atutishe🤔Chei chei!
Timu ya Yanga inakwenda kuumaliza mwendo katika kombe la waliofeli kwani wanakwenda kukutana na miamba mitatu ambayo isingependa kukutana nayo...
Naiscreenshot hii reply ili wasijewaksbadili kauli huko mbeleniSasa tukubaliane hasa aya yako ya mwisho kuwa, hizo timu ni wakali na wajanja wake yanga, tusije kusikia tena huko mbele habari za vibonde wale, pindi watakapopigwa goli za kutosha.
Nishaiscreenshot hii post na replies zote za wanasimbaTukipita msianze story za team dhaifu
AhahahaaBaadae utasikia pyramid hii sio Ile ya zamani!utafikiri wao walikutana na berkane ya zamani
Wacha habari zako za kungojea meli airport...kwa timu gani uliyonayo ya kumfunga pyramids?Baadae utasikia pyramid hii sio Ile ya zamani!utafikiri wao walikutana na berkane ya zamani
AahaaaaHizo timu tatu zote zilishawaadabisha utopolo ndani ya miaka 5 tu iliyopita..leo hii mnakataa historia pindi inapowahukumu
Kwa maana ya timu zote kwa ujumla wake...ila rivers ilikuwa mwaka 2021/2022 tu hapaAahaaaa
Kumbe miaka mitano iliyopita