Yanga mngependa kukutana na timu gani kati ya hizi tatu kwenye robo fainali ya kombe la losers? Rivers United, USM Alger au Pyramids

Yanga mngependa kukutana na timu gani kati ya hizi tatu kwenye robo fainali ya kombe la losers? Rivers United, USM Alger au Pyramids

Mazembe na lupopo nani kibonde kongo?
Mazembe ni kibonde, na mwakani inaweza ikakosa hata nafasi ya kushiriki shirikisho (sio Klabu Bingwa), maana hata anayemfuatia anaweza akamtoa kwnye nafasi ya nne

1680553513553.png
 
Kwa faida tu ya wasomaji wa uzi huu

Mwaka 2019 Yanga ilikutana na Pyramids fc ktk kombe hilihili la shirikisho, ikaambulia kipigo cha goli tatu ktk uwanja wa kirumba na kisha ikaenda kucharazwa goli 2 pale alexandria...ikawa imetolewa kwa jumla ya goli 5-1
Na kikosi chetu sisi Yanga tulikisajili kwa nguvu ya bukubuku.
 
Taarifa kutoka vyanzo vyangu vya kuaminika nchini misri, zinasema mashabiki wa Pyramids wanaombea CAF iwapangie Yanga ili waweze kusonga hatua ya nusu fainali
Kama ambavyo timu zote zinaombea kukutana na simbwa ili wajipimie urojo wowote wanaoutaka
 
Chei chei!

Timu ya Yanga inakwenda kuumaliza mwendo katika kombe la waliofeli kwani wanakwenda kukutana na miamba mitatu ambayo isingependa kukutana nayo...
yanga wanaonekana kabisa wapo siriaz na ubingwa na si robo fainali mnayoringiaga nayo miaka hii minne,subirini uiheshimishe nchi kwa vikombe
 
Kwa faida tu ya wasomaji wa uzi huu

Mwaka 2019 Yanga ilikutana na Pyramids fc ktk kombe hilihili la shirikisho, ikaambulia kipigo cha goli tatu ktk uwanja wa kirumba na kisha ikaenda kucharazwa goli 2 pale alexandria...ikawa imetolewa kwa jumla ya goli 5-1
Kwa akili zako timamu, Yanga ya 2019 ni sawa na hii Yanga ya 2023?
 
Chei chei!

Timu ya Yanga inakwenda kuumaliza mwendo katika kombe la waliofeli kwani wanakwenda kukutana na miamba mitatu ambayo isingependa kukutana nayo...
Acha wivu wewe🦁,kama mwarabu kakaa,vijana wa Moise Katumbi wamekaa nje ndani,achilia watani zetu,tumewakalisha misimu karibia mitatu,mfuatano,ndio mnaigeria,au mualgeria atutishe🤔
 
Sasa tukubaliane hasa aya yako ya mwisho kuwa, hizo timu ni wakali na wajanja wake yanga, tusije kusikia tena huko mbele habari za vibonde wale, pindi watakapopigwa goli za kutosha.
Naiscreenshot hii reply ili wasijewaksbadili kauli huko mbeleni
 
Dhana ya kuchagua timu dhaifu ni kuogopa mashindano kama timu inaamini ina ubora aje yoyote watu wanapiga kazi.
 
Baadae utasikia pyramid hii sio Ile ya zamani!utafikiri wao walikutana na berkane ya zamani
 
Hizo timu tatu zote zilishawaadabisha utopolo ndani ya miaka 5 tu iliyopita..leo hii mnakataa historia pindi inapowahukumu
 
Back
Top Bottom