Interlacustrine E
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 3,397
- 6,015
Siasa zinakufaa lakini huku una-hang hang tu yani unapwaya.Yanga nawapongeza kwa kidogo mlichopata, lakini naona kama mmesahau mpo kombe la Shirikisho baada ya kushindwa kwenye kombe la Mabingwa, ambapo ndio Simba ilipo
Yanga haijawahi kucheza hatua ya Makundi kombe la CAF Champions League tangu mwaka 1997...Think about That
Ni kama mashindano ya Europa Leaugue wanapocheza akina Sevilla, Westham, Villarreal vs Mashindano ya UEFA Champions League wanapocheza Real Madrid na Bayern Munich, ni vitu viwili vyenye quality ya tofauti kabisa
Nawakumbusha tu
Inakuhusu nini hata kama YANGA FC wakiwa na miaka 200 bila ya kufika robo fainali au kubeba kombe lolote la Klabu Bingwa Africa?Mimi sihitaji msaada, nyie ndio mnatakiwa msaidiwe maana ni kama mmesahau mna miaka 25 kushiriki katika Champions League
Tunekusikia, mnyama 🤔Yanga nawapongeza kwa kidogo mlichopata, lakini naona kama mmesahau mpo kombe la Shirikisho baada ya kushindwa kwenye kombe la Mabingwa, ambapo ndio Simba ilipo
Yanga haijawahi kucheza hatua ya Makundi kombe la CAF Champions League tangu mwaka 1997...Think about That
Ni kama mashindano ya Europa Leaugue wanapocheza akina Sevilla, Westham, Villarreal vs Mashindano ya UEFA Champions League wanapocheza Real Madrid na Bayern Munich, ni vitu viwili vyenye quality ya tofauti kabisa
Nawakumbusha tu
Mnariiiinga!!!!! Kisa tu kucheza makundi kombe la mabingwa!! TP-Mazembe wenye makombe kadhaa ya mabindwa na shirikisho wanacheza na kupigwa na Yanga kwenye kombe mnalolibeza waseme Nini, enyi kinyumenyume makolo? Sungura zilipomshinda alisema ni mbichi....!Hapo ni sawa na timu iliyoshinda ligi daraja la kwanza inajilinganisha na timu ilifungwa huko ligi kuu.
Bila kusahau huko ligi dalaja la kwanza ishachezea kichapo cha 2:0 mechi ya kwanza.
Yanga mfurahie tu ushindi wenu huko huko chini kwa walioshushwa dalaja.
Hasira za nini wakati nimewakumbusha tuInakuhusu nini hata kama YANGA FC wakiwa na miaka 200 bila ya kufika robo fainali au kubeba kombe lolote la Klabu Bingwa Africa?
Pili pili usiyoila inakuwashia nini we Makolokolo/Mbumbumbu/Malalamiko/Makelele/Kolowizards/Mikia/Ngada/Zuwena FC [emoji848][emoji38]
Club bingwa kwenyewe ndiko mnaingia kinyumenyume uwanjani ?Yanga nawapongeza kwa kidogo mlichopata, lakini naona kama mmesahau mpo kombe la Shirikisho baada ya kushindwa kwenye kombe la Mabingwa, ambapo ndio Simba ilipo
Yanga haijawahi kucheza hatua ya Makundi kombe la CAF Champions League tangu mwaka 1997...Think about That
Ni kama mashindano ya Europa Leaugue wanapocheza akina Sevilla, Westham, Villarreal vs Mashindano ya UEFA Champions League wanapocheza Real Madrid na Bayern Munich, ni vitu viwili vyenye quality ya tofauti kabisa
Nawakumbusha tu
Mmefunga hizo 3 mashindano gani ili ujilinganishe na Simba?Tumeshasema maneno kidogo, magoli mengi...
Haijalishi tuko wapi...
Mmepigwa 3 mzuka... tumepiga 3 mzuka nani ni nani?
Wewe kuna mahali ulisema Yanga hatashinda game hata moja kwenye haya mashindano the so called looser kwa kwenda mbali zaidi ukataka tuwekeane pesa nikakushauri kama hela unazo weka mkeka upate mara nyingi zaidi ya tutakazo wekeana sisi.
Kumbe hata ww ulikuwa huamini kama mtashinda basi mmebahatisha safari bado inaendelea weka akiba kidogo ya manenoWewe kuna mahali ulisema Yanga hatashinda game hata moja kwenye haya mashindano the so called looser kwa kwenda mbali zaidi ukataka tuwekeane pesa nikakushauri kama hela unazo weka mkeka upate mara nyingi zaidi ya tutakazo wekeana sisi.
Sijui kama umetekeleza hili?
Tumeshasema maneno kidogo, magoli mengi...
Haijalishi tuko wapi...
Mmepigwa 3 mzuka... tumepiga 3 mzuka nani ni nani?
Niliweza kushinda kwenye ardhi ya muarabu nije nishindwe kwenye ardhi yangu? Naiamini timu yangu wewe. Nilichokataa ni wewe ulitaka kunihamisha kutaka kuoneshana jeuri ya pesa kitu ambacho kwangu huwa hakina maana.Kumbe hata ww ulikuwa huamini kama mtashinda basi mmebahatisha safari bado inaendelea weka akiba kidogo ya maneno
Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Lakini Jumamosi iliyopita mmepigwa TAKO TATU pale kwa mkapa, nawakumbusha tu!Yanga nawapongeza kwa kidogo mlichopata, lakini naona kama mmesahau mpo kombe la Shirikisho baada ya kushindwa kwenye kombe la Mabingwa, ambapo ndio Simba ilipo
Hivi Yanga tayari mabingwa?Yanga nawapongeza kwa kidogo mlichopata, lakini naona kama mmesahau mpo kombe la Shirikisho baada ya kushindwa kwenye kombe la Mabingwa, ambapo ndio Simba ilipo
Yanga haijawahi kucheza hatua ya Makundi kombe la CAF Champions League tangu mwaka 1997...Think about That
Ni kama mashindano ya Europa Leaugue wanapocheza akina Sevilla, Westham, Villarreal vs Mashindano ya UEFA Champions League wanapocheza Real Madrid na Bayern Munich, ni vitu viwili vyenye quality ya tofauti kabisa
Nawakumbusha tu
Kwani nyinyi ni wa kwanza kushinda taifa au kushinda kwenye ardhi ya waarabuNiliweza kushinda kwenye ardhi ya muarabu nije nishindwe kwenye ardhi yangu? Naiamini timu yangu wewe. Nilichokataa ni wewe ulitaka kunihamisha kutaka kuoneshana jeuri ya pesa kitu ambacho kwangu huwa hakina maana.
Weka huo mkeka wako kama unaamini tumebahatisha
Kama unalijua hili in the first place usingesema hatutashinda game hata mojaKwani nyinyi ni wa kwanza kushinda taifa au kushinda kwenye ardhi ya waarabu
Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app