Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwaka huu, ni mapema sana kufikisha malengo ya klabu bingwa mkuu kwasababu tumekubali kuanza na upya project. Laiti kama benchi lingebakia lile lile na wachezaji wote wa muhimu wangebakia pasina shaka Yanga ilikuwa haina wasiwasi kucheza makundi ilikuwa ni zaidi ya asilimia 85 na kucheza hatua ya robo fainali ilikuwa ni zaidi ya asilimia 70. Kuna kitu kilishajengeka kwa wachezaji kimwili na kiakili hivyo Yanga ilikuwa ni moja ya timu inayoweza kupata matokeo haijalishi nyumbani au ugenini. Ila ndio hivyo kwasasa timu inaundwa na upya, benchi lote jipya hadi mtu kocha wa viungo.Mimi ni Utopolo Lia Lia nauliza wachezaji na uongozi wa Yanga kunani mechi za Klabu bingwa Africa, kwanini hatufiki makundi? Kwanini tunafungwa na kutolewa mechi za awali? Mchawi ni nani?
Mwaka huu kipimo Cha mafanikio iwe sio kuchukua kombe la NBC premier league, Hilo ni Mali yetu tayari , mashabiki tunataka kombe la Klabu Bingwa Africa na tunaamini wachezaji wetu wakiamua tunaweza!
Kwanini Kila siku Simba wajisifie kuhusu hilo kuwa sisi hatuna ubavu kucheza Klabu bingwa Africa na tunajua Makolo timu hawana?
Sisi Utopolo tuna Kila kitu, tuna talented and motivated players, tuna uongozi wenye akili Eng Hersi, tuna mashabiki wanaojielewa wanaoshangilia makombe sio kibegi, Sasa shida Iko wapi?
Mwaka huu tunataka Yanga tucheze makundi Klabu bingwa Africa basi kama kombe ni ngumu kulibeba!
Nawasilisha!
Weekend njema wote!
Lakini Bado tuna asilimia kubwa ya wachezaji waliotufikisha hapa kutawala soka la bongo, mfupa mgumu kuutafuna ni kufanya vizuri klabu bingwa Africa, je tufanye Nini zaidi , Makolo wanawezaje?Mwaka huu, ni mapema sana kufikisha malengo ya klabu bingwa mkuu kwasababu tumekubali kuanza na upya project. Laiti kama benchi lingebakia lile lile na wachezaji wote wa muhimu wangebakia pasina shaka Yanga ilikuwa haina wasiwasi kucheza makundi ilikuwa ni zaidi ya asilimia 85 na kucheza hatua ya robo fainali ilikuwa ni zaidi ya asilimia 70. Kuna kitu kilishajengeka kwa wachezaji kimwili na kiakili hivyo Yanga ilikuwa ni moja ya timu inayoweza kupata matokeo haijalishi nyumbani au ugenini. Ila ndio hivyo kwasasa timu inaundwa na upya, benchi lote jipya hadi mtu kocha wa viungo.
Wewe nwenye akili nitajie timu yoyote apa Africa mashariki si tu kuchukua kombe lolote la klabu bingwa Africa ata kombe la shirikisho Barani Africa.Wewe tumia akili jibu hoja Yanga haijiwezi klabu bingwa Africa huo ni ukweli weka ujinga mfukoni, lete mikakati
Wewe na mwenzako wote ni la nne B! Mashabiki maandazi mada ngumu sio zenu Bali udaku tu ndo saizi yenu!Yanga tungekuwa na mashabiki wa hovyo kama huyu, hii timu isingefika hapa.
Moja ya ujinnga ulionao nikuamini timu iiyo shindwa kuvuka robo kwa mara tatu mfululizo na mwekezaji akisema ametumia bilioni 55 mpaka sasa ni mafanikio ya kujivunia.Wewe na mwenzako wote ni la nne B! Mashabiki maandazi mada ngumu sio zenu Bali udaku tu ndo saizi yenu!
Kwanza soma vizuri Mi nimeuliza wachezaji na viongozi nyie mnakurupuka kujibu tena ujinga mtupu! Hii nchi ni maskini kwa kuwa na kasumba ya mihemko ya kukataa kuambiwa Ukweli!
Mwana JF aliekamilika husoma Uzi akaona hoja na kuzijibu, kama Hana hoja anapita kimya, kashfa huonesha ujinga ulionao, angalia usiwaambukize watoto wako ujinga, yaani mbu anakusumbua unachukua bunduki na kufyatua!
Kumbe watu weusi wajinga sana, aliekwambia kombe la Klabu Bingwa Africa Lina mmiliki ni nani? Kila timu inayoshiriki inayo nafasi ya kulibeba ni mikakati tu! Kweli watu weusi akili hamna.Wewe nwenye akili nitajie timu yoyote apa Africa mashariki si tu kuchukua kombe lolote la klabu bingwa Africa ata kombe la shirikisho Barani Africa.
Sija zungumzia timu za Tanzania tu, yoyote apa Afrika mashariki.
Sihitaji uniambie robo sijui nusu nataka kikombe mengine yote ni kujilisha upepo.
Kama kama historia ni upuuzitu, Yanga ndio klabu ya kwanza kutokea tanzania kucheza robo back to back mwaka 1969 na mwaka 1970, mwaka 1998 kalabu bingwa Afrika, Mwaka 1995 robo kombe la washindi.
2018 makundi shirkisho, 2023 final shirikisho iyo ni historia tu nahitaji kikombe.
Moja ya ujinnga ulionao nikuamini timu iiyo shindwa kuvuka robo kwa mara tatu mfululizo na mwekezaji akisema anetumia bilioni 55 mpaka sasa ni mafanikio ya kujivunia.
Kwamba china siyo technical player,manara!?..kimanda ulimuona!?..ulishawahi ona beki technical Kama kimanda!?..lunyamila!?,Steven Musa,unajua kwa nini aliitwa 'master'!?..mpira umeanza kufuatilia lini!?Simba ni timu yenye wachezaji ambao ni Mo technicality kuliko timu YOYOTE TANZANIA.
HII haijaanza Jana Wala JUZI.
Ni miaka Mingi mno. Hawa akina chama UNAOWAONA Leo kulikoluwa na zaidi tangu ENZI za.....
Abdallah kibadeni.
Hamis Gaga
HARUNA Moshi.
Na wengineo wengi.
Yanga HAIJAWAHI kuwa ni timu ya Wachezaji WAZURI technically.
IMEKUWA na wachezaji WANACHEZA Jihad, Mbio NGUVU Nyingi mno nk.
We kwanza sio Mwana Yanga maana shabiki wa Yanga hawezi kujiita jina hilo. Umbwa kabisa.Mimi ni Utopolo Lia Lia nauliza wachezaji na uongozi wa Yanga kunani mechi za Klabu bingwa Africa, kwanini hatufiki makundi? Kwanini tunafungwa na kutolewa mechi za awali? Mchawi ni nani?
Mwaka huu kipimo Cha mafanikio iwe sio kuchukua kombe la NBC premier league, Hilo ni Mali yetu tayari , mashabiki tunataka kombe la Klabu Bingwa Africa na tunaamini wachezaji wetu wakiamua tunaweza!
Kwanini Kila siku Simba wajisifie kuhusu hilo kuwa sisi hatuna ubavu kucheza Klabu bingwa Africa na tunajua Makolo timu hawana?
Sisi Utopolo tuna Kila kitu, tuna talented and motivated players, tuna uongozi wenye akili Eng Hersi, tuna mashabiki wanaojielewa wanaoshangilia makombe sio kibegi, Sasa shida Iko wapi?
Mwaka huu tunataka Yanga tucheze makundi Klabu bingwa Africa basi kama kombe ni ngumu kulibeba!
Nawasilisha!
Weekend njema wote!
UMbwa ni wewe, Dad yako ni pig, na Bimkubwa wako ni mbuzi, familia yenu ni ya nyumbu!We kwanza sio Mwana Yanga maana shabiki wa Yanga hawezi kujiita jina hilo. Umbwa kabisa.
Makolo huwa hawakutani na waarabu kwenye mtoano,wao hukutana dynamo,jwaneng,libolo,ud songo,lakini yanga tangu siku za manji wakivuka hatua ya kwanza ya pili ni mwarabu,Al ahly, Morocco..hamna hamna Sudan,msimu huu wakivuka hatua ya kwanza wanakitana na mareikh..wakaze korodani wasiruhusu goli nyumbaniLakini Bado tuna asilimia kubwa ya wachezaji waliotufikisha hapa kutawala soka la bongo, mfupa mgumu kuutafuna ni kufanya vizuri klabu bingwa Africa, je tufanye Nini zaidi , Makolo wanawezaje?
Kama mchezaji aliyesajiliwa kuziba nafasi ya Mayele, atakuwa na uwezo kama Mayele au zaidi ya Mayele basi timu inaweza kuvuka. Kwa jinsi nilivyoona mechi ya dhidi ya Kaizer chief, timu haiko vibaya isipokuwa kuna tatizo tu la umaliziaji hivyo kinachotakiwa tuwe tumeziba pengo la aliyeondoka.Lakini Bado tuna asilimia kubwa ya wachezaji waliotufikisha hapa kutawala soka la bongo, mfupa mgumu kuutafuna ni kufanya vizuri klabu bingwa Africa, je tufanye Nini zaidi , Makolo wanawezaje?
Kama Yanga itacheza na Al Merrikh, Yanga wataanzia away sio nyumbaniMakolo huwa hawakutani na waarabu kwenye mtoano,wao hukutana dynamo,jwaneng,libolo,ud songo,lakini yanga tangu siku za manji wakivuka hatua ya kwanza ya pili ni mwarabu,Al ahly, Morocco..hamna hamna Sudan,msimu huu wakivuka hatua ya kwanza wanakitana na mareikh..wakaze korodani wasiruhusu goli nyumbani
Rage mumjengee sanamu lake aisee,ile kuwaita mbu3 akukoseaKumbe ni kweli wenye akili ni wawili, Kikwete na Sunday Manara, badala ya kukubali Ukweli na watu kuleta mikakati Yanga tufike mbali klabu bingwa hapa nasoma comments zote ni makasirikio , ushamba, na pumba tupu kutoka mashabiki maandazi watupu, sijaona shabiki mwenye akili bado! Wote vilaza!
Naam Zuga nataka nikupe majibu ya maswali yako kama ulivouliza kua kwanini Yanga hua hatufanyi vizuri kwenye CAF champions League...Mimi ni Utopolo Lia Lia nauliza wachezaji na uongozi wa Yanga kunani mechi za Klabu bingwa Africa, kwanini hatufiki makundi? Kwanini tunafungwa na kutolewa mechi za awali? Mchawi ni nani?
Mwaka huu kipimo Cha mafanikio iwe sio kuchukua kombe la NBC premier league, Hilo ni Mali yetu tayari , mashabiki tunataka kombe la Klabu Bingwa Africa na tunaamini wachezaji wetu wakiamua tunaweza!
Kwanini Kila siku Simba wajisifie kuhusu hilo kuwa sisi hatuna ubavu kucheza Klabu bingwa Africa na tunajua Makolo timu hawana?
Sisi Utopolo tuna Kila kitu, tuna talented and motivated players, tuna uongozi wenye akili Eng Hersi, tuna mashabiki wanaojielewa wanaoshangilia makombe sio kibegi, Sasa shida Iko wapi?
Mwaka huu tunataka Yanga tucheze makundi Klabu bingwa Africa basi kama kombe ni ngumu kulibeba!
Nawasilisha!
Weekend njema wote!
Usijesahau kwamba mwaka huu Hakuna mtelezo kwenda shirikisho. Mkipigwa mnarudi bongo kugawa bahasha.Ombeni CAF wawaandalie makolo kombe la robo fainali.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Mliitwa mazuzu. Kwani aliewaita alikosea?Msimu huu Fainali nyingine inafikiwa na wananchi! Ni fainali ya klabu bingwa Afrika! Nyie bakini na robo zenu!