Yanga na Klabu bingwa Africa kunani?

Yanga na Klabu bingwa Africa kunani?

Mimi ni Utopolo Lia Lia nauliza wachezaji na uongozi wa Yanga kunani mechi za Klabu bingwa Africa, kwanini hatufiki makundi? Kwanini tunafungwa na kutolewa mechi za awali? Mchawi ni nani?

Mwaka huu kipimo Cha mafanikio iwe sio kuchukua kombe la NBC premier league, Hilo ni Mali yetu tayari , mashabiki tunataka kombe la Klabu Bingwa Africa na tunaamini wachezaji wetu wakiamua tunaweza!

Kwanini Kila siku Simba wajisifie kuhusu hilo kuwa sisi hatuna ubavu kucheza Klabu bingwa Africa na tunajua Makolo timu hawana?

Sisi Utopolo tuna Kila kitu, tuna talented and motivated players, tuna uongozi wenye akili Eng Hersi, tuna mashabiki wanaojielewa wanaoshangilia makombe sio kibegi, Sasa shida Iko wapi?

Mwaka huu tunataka Yanga tucheze makundi Klabu bingwa Africa basi kama kombe ni ngumu kulibeba!

Nawasilisha!
Weekend njema wote!
Mwaka huu, ni mapema sana kufikisha malengo ya klabu bingwa mkuu kwasababu tumekubali kuanza na upya project. Laiti kama benchi lingebakia lile lile na wachezaji wote wa muhimu wangebakia pasina shaka Yanga ilikuwa haina wasiwasi kucheza makundi ilikuwa ni zaidi ya asilimia 85 na kucheza hatua ya robo fainali ilikuwa ni zaidi ya asilimia 70. Kuna kitu kilishajengeka kwa wachezaji kimwili na kiakili hivyo Yanga ilikuwa ni moja ya timu inayoweza kupata matokeo haijalishi nyumbani au ugenini. Ila ndio hivyo kwasasa timu inaundwa na upya, benchi lote jipya hadi mtu kocha wa viungo.
 
Lakini Bado tuna asilimia kubwa ya wachezaji waliotufikisha hapa kutawala soka la bongo, mfupa mgumu kuutafuna ni kufanya vizuri klabu bingwa Africa, je tufanye Nini zaidi , Makolo wanawezaje?
 
Wewe tumia akili jibu hoja Yanga haijiwezi klabu bingwa Africa huo ni ukweli weka ujinga mfukoni, lete mikakati
Wewe nwenye akili nitajie timu yoyote apa Africa mashariki si tu kuchukua kombe lolote la klabu bingwa Africa ata kombe la shirikisho Barani Africa.
Sija zungumzia timu za Tanzania tu, yoyote apa Afrika mashariki.
Sihitaji uniambie robo sijui nusu nataka kikombe mengine yote ni kujilisha upepo.

Kama kama historia ni upuuzitu, Yanga ndio klabu ya kwanza kutokea tanzania kucheza robo back to back mwaka 1969 na mwaka 1970, mwaka 1998 kalabu bingwa Afrika, Mwaka 1995 robo kombe la washindi.
2018 makundi shirkisho, 2023 final shirikisho iyo ni historia tu nahitaji kikombe.
 
Yanga tungekuwa na mashabiki wa hovyo kama huyu, hii timu isingefika hapa.
Wewe na mwenzako wote ni la nne B! Mashabiki maandazi mada ngumu sio zenu Bali udaku tu ndo saizi yenu!

Kwanza soma vizuri Mi nimeuliza wachezaji na viongozi nyie mnakurupuka kujibu tena ujinga mtupu! Hii nchi ni maskini kwa kuwa na kasumba ya mihemko ya kukataa kuambiwa Ukweli! Hata Mkataba mbovu wa DPW viongozi weusi wameshupaza shingo na ni kama wewe na mwenzako akili hamna!

Mwana JF aliekamilika husoma Uzi akaona hoja na kuzijibu, kama Hana hoja anapita kimya, kashfa huonesha ujinga ulionao, angalia usiwaambukize watoto wako ujinga, yaani mbu anakusumbua unachukua bunduki na kufyatua!
 
Wewe na mwenzako wote ni la nne B! Mashabiki maandazi mada ngumu sio zenu Bali udaku tu ndo saizi yenu!

Kwanza soma vizuri Mi nimeuliza wachezaji na viongozi nyie mnakurupuka kujibu tena ujinga mtupu! Hii nchi ni maskini kwa kuwa na kasumba ya mihemko ya kukataa kuambiwa Ukweli!

Mwana JF aliekamilika husoma Uzi akaona hoja na kuzijibu, kama Hana hoja anapita kimya, kashfa huonesha ujinga ulionao, angalia usiwaambukize watoto wako ujinga, yaani mbu anakusumbua unachukua bunduki na kufyatua!
Moja ya ujinnga ulionao nikuamini timu iiyo shindwa kuvuka robo kwa mara tatu mfululizo na mwekezaji akisema ametumia bilioni 55 mpaka sasa ni mafanikio ya kujivunia.
 
Wewe nwenye akili nitajie timu yoyote apa Africa mashariki si tu kuchukua kombe lolote la klabu bingwa Africa ata kombe la shirikisho Barani Africa.
Sija zungumzia timu za Tanzania tu, yoyote apa Afrika mashariki.
Sihitaji uniambie robo sijui nusu nataka kikombe mengine yote ni kujilisha upepo.

Kama kama historia ni upuuzitu, Yanga ndio klabu ya kwanza kutokea tanzania kucheza robo back to back mwaka 1969 na mwaka 1970, mwaka 1998 kalabu bingwa Afrika, Mwaka 1995 robo kombe la washindi.
2018 makundi shirkisho, 2023 final shirikisho iyo ni historia tu nahitaji kikombe.
Kumbe watu weusi wajinga sana, aliekwambia kombe la Klabu Bingwa Africa Lina mmiliki ni nani? Kila timu inayoshiriki inayo nafasi ya kulibeba ni mikakati tu! Kweli watu weusi akili hamna.
Nani alifikiri Yanga itafika fainali Shirikisho Africa? Nani alifikiri Yanga itabeba NBC premier league misimu miwili mfululizo?

Kila kitu kinawezekana kwenye soka ni Mipango tu!
 
Mi nazungumzia Yanga kuonesha mikakati ya kuchukua kombe klabu bingwa Africa, sijasema chochote kuhusu uwekezaji wa mabilioni ya Mo huko Simba yanayoliwa na wajanja wa kariakoo, Simba ni genge tu la wahuni!
Moja ya ujinnga ulionao nikuamini timu iiyo shindwa kuvuka robo kwa mara tatu mfululizo na mwekezaji akisema anetumia bilioni 55 mpaka sasa ni mafanikio ya kujivunia.
 
Simba ni timu yenye wachezaji ambao ni Mo technicality kuliko timu YOYOTE TANZANIA.

HII haijaanza Jana Wala JUZI.
Ni miaka Mingi mno. Hawa akina chama UNAOWAONA Leo kulikoluwa na zaidi tangu ENZI za.....

Abdallah kibadeni.
Hamis Gaga
HARUNA Moshi.
Na wengineo wengi.

Yanga HAIJAWAHI kuwa ni timu ya Wachezaji WAZURI technically.
IMEKUWA na wachezaji WANACHEZA Jihad, Mbio NGUVU Nyingi mno nk.
Kwamba china siyo technical player,manara!?..kimanda ulimuona!?..ulishawahi ona beki technical Kama kimanda!?..lunyamila!?,Steven Musa,unajua kwa nini aliitwa 'master'!?..mpira umeanza kufuatilia lini!?
 
Mimi ni Utopolo Lia Lia nauliza wachezaji na uongozi wa Yanga kunani mechi za Klabu bingwa Africa, kwanini hatufiki makundi? Kwanini tunafungwa na kutolewa mechi za awali? Mchawi ni nani?

Mwaka huu kipimo Cha mafanikio iwe sio kuchukua kombe la NBC premier league, Hilo ni Mali yetu tayari , mashabiki tunataka kombe la Klabu Bingwa Africa na tunaamini wachezaji wetu wakiamua tunaweza!

Kwanini Kila siku Simba wajisifie kuhusu hilo kuwa sisi hatuna ubavu kucheza Klabu bingwa Africa na tunajua Makolo timu hawana?

Sisi Utopolo tuna Kila kitu, tuna talented and motivated players, tuna uongozi wenye akili Eng Hersi, tuna mashabiki wanaojielewa wanaoshangilia makombe sio kibegi, Sasa shida Iko wapi?

Mwaka huu tunataka Yanga tucheze makundi Klabu bingwa Africa basi kama kombe ni ngumu kulibeba!

Nawasilisha!
Weekend njema wote!
We kwanza sio Mwana Yanga maana shabiki wa Yanga hawezi kujiita jina hilo. Umbwa kabisa.
 
We kwanza sio Mwana Yanga maana shabiki wa Yanga hawezi kujiita jina hilo. Umbwa kabisa.
UMbwa ni wewe, Dad yako ni pig, na Bimkubwa wako ni mbuzi, familia yenu ni ya nyumbu!
Hebu kwanza niambie maana ya Utopolo? Wewe unajua au unakasirika kwa ujinga tu ukiitwa jina Hilo?

Ngoja nikupe elimu kidogo ya kisaikolojia, ni hivi mtu, akikuita jina ambalo hupendi mfano we shotii, au sura mbaya au utopolo , Wala usichukie, lipokee likubali na ulitumie Wala halitakuuma Wala kukukasirisha!

Remmy Ongala alilalamika kuwa mshindi wa shindano la sura mbaya Sultan Masudi alipendelewa, yaani alipaswa kuwa yeye Remmy Ongala ndio mshindi, unajua kwanini? Sababu Remmy alijikubali na ikawa poa tu! Nyie ndio timu ikifungwa mnapiga watoto na mke, makasirikio ya Nini ndugu kilaza! Hivi mbona vilaza wengi sana bongo kama alivyosema yule msomi! Jina limenitoka!
 
Lakini Bado tuna asilimia kubwa ya wachezaji waliotufikisha hapa kutawala soka la bongo, mfupa mgumu kuutafuna ni kufanya vizuri klabu bingwa Africa, je tufanye Nini zaidi , Makolo wanawezaje?
Makolo huwa hawakutani na waarabu kwenye mtoano,wao hukutana dynamo,jwaneng,libolo,ud songo,lakini yanga tangu siku za manji wakivuka hatua ya kwanza ya pili ni mwarabu,Al ahly, Morocco..hamna hamna Sudan,msimu huu wakivuka hatua ya kwanza wanakitana na mareikh..wakaze korodani wasiruhusu goli nyumbani
 
Lakini Bado tuna asilimia kubwa ya wachezaji waliotufikisha hapa kutawala soka la bongo, mfupa mgumu kuutafuna ni kufanya vizuri klabu bingwa Africa, je tufanye Nini zaidi , Makolo wanawezaje?
Kama mchezaji aliyesajiliwa kuziba nafasi ya Mayele, atakuwa na uwezo kama Mayele au zaidi ya Mayele basi timu inaweza kuvuka. Kwa jinsi nilivyoona mechi ya dhidi ya Kaizer chief, timu haiko vibaya isipokuwa kuna tatizo tu la umaliziaji hivyo kinachotakiwa tuwe tumeziba pengo la aliyeondoka.

Kuhusu Simba kuweza, siwezi kielezea kiundani wanawezaje ila nadhani kikubwa ni kujipanga kwa kila angle. Hata msimu ulioisha Yanga waliweza pale ambapo Simba hawakuweza kufika kwa miaka mingi Japokuwa haikuwa ni klabu bingwa.

Simba tayari wameshakuwa wamejitengeneza DNA ya kufika hatua fulani kwenye michuano ya ya CAF, hivyo nadhani hata viongozi wa Yanga watakuwa wanapata uzoefu mbalimbali wa kuifanya timu iwe na DNA ya mashindano ya CAF na wataset plan zao ya namna ya kufanya vizuri klabu bingwa. Hata msimu uliopita hakuna aliyeweza kufikiria Yanga ingekuwa timu isiyotabirika vile lakini ilijengwa ikajengeka na ikawa timu ya kupata matokeo uwanja wowote ule.
 
Makolo huwa hawakutani na waarabu kwenye mtoano,wao hukutana dynamo,jwaneng,libolo,ud songo,lakini yanga tangu siku za manji wakivuka hatua ya kwanza ya pili ni mwarabu,Al ahly, Morocco..hamna hamna Sudan,msimu huu wakivuka hatua ya kwanza wanakitana na mareikh..wakaze korodani wasiruhusu goli nyumbani
Kama Yanga itacheza na Al Merrikh, Yanga wataanzia away sio nyumbani
 
Kumbe ni kweli wenye akili ni wawili, Kikwete na Sunday Manara, badala ya kukubali Ukweli na watu kuleta mikakati Yanga tufike mbali klabu bingwa hapa nasoma comments zote ni makasirikio , ushamba, na pumba tupu kutoka mashabiki maandazi watupu, sijaona shabiki mwenye akili bado! Wote vilaza!
Rage mumjengee sanamu lake aisee,ile kuwaita mbu3 akukosea
 
Mwambieni rais aache kuwalawiti players,labda laana itawaachia,pia badilini jina hamuwezi kujiira young africa kisha mkatarajia kuwa bigger africa.
 
Mimi ni Utopolo Lia Lia nauliza wachezaji na uongozi wa Yanga kunani mechi za Klabu bingwa Africa, kwanini hatufiki makundi? Kwanini tunafungwa na kutolewa mechi za awali? Mchawi ni nani?

Mwaka huu kipimo Cha mafanikio iwe sio kuchukua kombe la NBC premier league, Hilo ni Mali yetu tayari , mashabiki tunataka kombe la Klabu Bingwa Africa na tunaamini wachezaji wetu wakiamua tunaweza!

Kwanini Kila siku Simba wajisifie kuhusu hilo kuwa sisi hatuna ubavu kucheza Klabu bingwa Africa na tunajua Makolo timu hawana?

Sisi Utopolo tuna Kila kitu, tuna talented and motivated players, tuna uongozi wenye akili Eng Hersi, tuna mashabiki wanaojielewa wanaoshangilia makombe sio kibegi, Sasa shida Iko wapi?

Mwaka huu tunataka Yanga tucheze makundi Klabu bingwa Africa basi kama kombe ni ngumu kulibeba!

Nawasilisha!
Weekend njema wote!
Naam Zuga nataka nikupe majibu ya maswali yako kama ulivouliza kua kwanini Yanga hua hatufanyi vizuri kwenye CAF champions League...

Kwanza sitaki Sana kuzungumzia historia ya huko zamani at least nitaanzia miaka ya 2015..! Kipindi kile cha Yanga ya Manji na Quality group....

Kile ndo kilikua kipindi cha Yanga ku-shine kimataifa Ila tatizo lilikua ni moja Tu, tulilidhika na vitu vidogo... Kama unakumbuka tuliingia makundi ya shirikisho barani Afrika mara mbili lakini hatukufua dafu hata mbele ya jirani zetu Gor Mahia wa hapo Kenya, walitupa za uso. Kwa sasabu tulihisi tayari tilishafanikiwa na kama unakumbuka zaidi media za bongo zilitujaza sifa na kutuita "Wakimataifa" lakini ulikua ni ujinga tu hakuna cha maana chochote.

Nirudi kwenye hoja yako kwanini Simba wao hua kuingia makundi ni rahisi Tu hata kama Wana kikosi ambacho hua tunaona ni dhaifu.. Iko hivi baada ya Mo kuwekeza pale msimbazi mambo yalibadirika Mo ndoto yake kubwa ilikua kuifanya Simba iwe brand kubwa, sio Tu kwakua anaipenda but hii ingem-push Sana kibiashara.. waswahili walisema penye Nia Pana njia.. Miaka ya nyuma Simba kuingia makundi ilikua changamoto kubwa Hadi pale Walipofanikiwa kufuzu Kwa mara ya Kwanza baada ya kuitoa Nkana ya Zambia.

Kuna kitu inabidi ujue unapofanya vizuri hii michuano mwaka unaofuata tayari unakua na advantage mbili... Kwanza tayari hata wapinzani wako kwenye hatua ya awali wanakua wanakuogopa kutokana na rekodi zako hizo unashinda Tu kizembe... Pili hata CAF pia wanakupa favour ya kuanzia ugenini, hii Kwa mpira wa Afrika Ina maana kubwa Sana. Mfano mechi Kati ya Yanga na Al Hilal laiti Yanga angeazia ugenini niamini mimi asingetolewa... Hata Ile Fainali na Us Alger pia Yanga angeazia ugenini sahivi angekua bingwa mtetezi... Mcheza kwao hutuzwa...

Sasa mwaka huu ukitazama ratiba ilivo kuna ahueni kubwa Sana kwa Yanga, ni rahisi Tu kuingia makundi labda sasa alete uzembe mkubwa... Hii ni kutokana na sababu nilizokupa hapo juu.. Kwanza wapinzani lazima wanaigopa Yanga kulinga na kufika Fainali ya shirikisho pia mechi zote ataanzia ugenini na pia ukiangalia wapinzani wake "anawamudu" vizuri tu.

Kwa kumalizia niseme wakati ulikua haujafika...But this time around naiona Yanga ikifanya poa kuliko kawaida...

Mwisho
 
Back
Top Bottom