Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Wameshaanza ila ukweli ndio huo.Umesema ukweli ,wakina MwakaRobo watakuja kukutukana.
Naunga mkono hojaMatokeo ya mechi za AFL ni ushahidi tosha kuwa Waarabu wanatawala sana soka la Afrika na kwa sasa ni timu za Yanga na Mamelodi pekee zinazoweza kuleta heshima ya mtu mweusi katika soka letu.
NB: Enyimba (timu jina kama ilivyo Simba) anaecheza na Wydad Casablanca muda huu, ameshakula tatu mpaka sasa wakati hata kipindi cha kwanza hakijaisha (aibu inatunyemelea)
Mbona unazungumzia mashindano 2 tofauti mkuuSimba aliaminiwa na WaAfricka ila ameewaangusha sana ,timu gani kila msimu ni Robo tu miaka nenda rudi hawajifunzi makosa ?
Yanga msimu wa kwanza baada ya miaka mingi kaingia fainali na msimu huu si ajabu akaishia nusu ama kutwaa kombe kabisa.
Uzi unasema soka la Afrika na mashindano ya CAF ,sasa shirikisho nalo ni miongoni mwa hayo mashindano.Mbona unazungumzia mashindano 2 tofauti mkuu
Yanga alifika fainali ya shirikisho Simba robo fainali ya klabu bingwa Afrika
Ni sawa na uifananishe UEFA na EUROPA
Ni lini mara ya mwisho Yanga iliingia robo fainali ya klabu bingwa?
Jibu zuri sanaUzi unasema soka la Afrika na mashindano ya CAF ,sasa shirikisho nalo ni miongoni mwa hayo mashindano.
Simba iliwahi kushiriki shirikisho na kutolewa Robo fainal kama kawaida yake na kusifiwa amekufa kiume kwa Kaizer Chiefs .
Heading inazungumzia CAFUzi unasema soka la Afrika na mashindano ya CAF ,sasa shirikisho nalo ni miongoni mwa hayo mashindano.
Simba iliwahi kushiriki shirikisho na kutolewa Robo fainal kama kawaida yake na kusifiwa amekufa kiume kwa Kaizer Chiefs .
UnayoijuaYanga ipi
Hii hii ya TzUnayoijua
Ihefu ndio tumaini lenu? Hata Manchester City aliwahi kufungwa na timu inayoshiriki daraja la pili PrestonYanga hii hii ya kunyonyolewa na Ihefu au kuna nyingine ipo mbioni kuanzishwa????
Hiyo hiyoHii hii ya Tz
fainali ipi mkuu?Simba aliaminiwa na WaAfricka ila ameewaangusha sana ,timu gani kila msimu ni Robo tu miaka nenda rudi hawajifunzi makosa ?
Yanga msimu wa kwanza baada ya miaka mingi kaingia fainali na msimu huu si ajabu akaishia nusu ama kutwaa kombe kabisa.