Yanga na Mamelodi ndio timu pekee zinazoweza kurudisha heshima ya mtu mweusi katika Soka la Afrika kwenye mashindano ya CAF

Matokeo ya mechi za AFL ni ushahidi tosha kuwa Waarabu wanatawala sana soka la Afrika na kwa sasa ni timu za Yanga na Mamelodi pekee zinazoweza kuleta heshima ya mtu mweusi katika soka letu.

NB: Enyimba (timu jina kama ilivyo Simba) anaecheza na Wydad Casablanca muda huu, ameshakula tatu mpaka sasa wakati hata kipindi cha kwanza hakijaisha (aibu inatunyemelea)
Kama ulivyoamua huku kuitafuta furaha huku unaumia moyoni upande ule pia ungeitafuta furaha maana jezi zao wote ni migomba!
 
Akili za mashabiki wa Yanga za kisenge sana

Yani timu yao inatolewa klabu bingwa inaenda kucheza shirikisho wakihesabika ni losers wa klabu bingwa, wanafika fainali wanafungwa na timu ambayo haikuwa hata kwenye klabu bingwa USM Alger wanajiona bora

Ni dharau sana klabu iliyokuwa mashindano makubwa ya klabu bingwa kufungwa na klabu ambayo umeikuta kwenye shirikisho

Kwa maneno rahisi: Timu kubwa jinga(Yanga) alifungwa na katimu kadogo kashirikisho (USM Alger)
 
Matokeo ya mechi za AFL ni ushahidi tosha kuwa Waarabu wanatawala sana soka la Afrika na kwa sasa ni timu za Yanga na Mamelodi pekee zinazoweza kuleta heshima ya mtu mweusi katika soka letu.
Kwani Yanga inashiriki AFL? Itawezaje kurudisha heshima wakati haikuteuliwa kabisa kutokana na kutokuwa na vigezo? Yaani unaangalia mechi ya AFL, halafu unasema Yanga itarudisha heshima! Kweli huko wapo wawili tu!
 
Matokeo ya mechi za AFL ni ushahidi tosha kuwa Waarabu wanatawala sana soka la Afrika na kwa sasa ni timu za Yanga na Mamelodi pekee zinazoweza kuleta heshima ya mtu mweusi katika soka letu.

NB: Enyimba (timu jina kama ilivyo Simba) anaecheza na Wydad Casablanca muda huu, ameshakula tatu mpaka sasa wakati hata kipindi cha kwanza hakijaisha (aibu inatunyemelea)
Duhh...

Una hoja mkuu..

Usikilizwe.
 
Akili za mashabiki wa Yanga za kisenge sana

Yani timu yao inatolewa klabu bingwa inaenda kucheza shirikisho wakihesabika ni losers wa klabu bingwa, wanafika fainali wanafungwa na timu ambayo haikuwa hata kwenye klabu bingwa USM Alger wanajiona bora

Ni dharau sana klabu iliyokuwa mashindano makubwa ya klabu bingwa kufungwa na klabu ambayo umeikuta kwenye shirikisho

Kwa maneno rahisi: Timu kubwa jinga(Yanga) alifungwa na katimu kadogo kashirikisho (USM Alger)
Kolo...
 
Mbona unazungumzia mashindano 2 tofauti mkuu

Yanga alifika fainali ya shirikisho Simba robo fainali ya klabu bingwa Afrika

Ni sawa na uifananishe UEFA na EUROPA

Ni lini mara ya mwisho Yanga iliingia robo fainali ya klabu bingwa?
Wewe hiyo fainali ya Shirikisho umefika lini?
 
Heading inazungumzia CAF

Lini mara ya mwisho Yanga alifika robo fainali kwenye mashindano ya CAF Champions League kama Simba?

Hayo ndio mashindano makubwa hapa Africa

Nyie mlicheza fainali ya CAF Confederation Cup ambayo ni mashindano madogo ukilinganisha na CAF Champions league

Kimataifa Yanga bado sana kuzifikia rekodi za Simba
Rekodi zipi,hizi za kuloga mchana hadharani ugenini na kufa kiume?
 
Akili za mashabiki wa Yanga za kisenge sana

Yani timu yao inatolewa klabu bingwa inaenda kucheza shirikisho wakihesabika ni losers wa klabu bingwa, wanafika fainali wanafungwa na timu ambayo haikuwa hata kwenye klabu bingwa USM Alger wanajiona bora

Ni dharau sana klabu iliyokuwa mashindano makubwa ya klabu bingwa kufungwa na klabu ambayo umeikuta kwenye shirikisho

Kwa maneno rahisi: Timu kubwa jinga(Yanga) alifungwa na katimu kadogo kashirikisho (USM Alger)
Huyo timu ndogo Algers kamfunga bwana wako uliekufa kiume
 
Kwani Yanga inashiriki AFL? Itawezaje kurudisha heshima wakati haikuteuliwa kabisa kutokana na kutokuwa na vigezo? Yaani unaangalia mechi ya AFL, halafu unasema Yanga itarudisha heshima! Kweli huko wapo wawili tu!
Vigezo gani hivyo vilivyoanishwa au ndio hivi vya wakina Mazembe,Enyimba kufa nyingi na wewe ukifa kiume?
 
Back
Top Bottom