Mkweche II
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 4,160
- 5,793
Uzi wa kizuzu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo kama heading inazungumzia CAF je mashindano ya kombe ya shirikisho ambayo Yanga ilicheza fainali dhidi ya USMA ni ya UEFA?Heading inazungumzia CAF
Lini mara ya mwisho Yanga alifika robo fainali kwenye mashindano ya CAF Champions League kama Simba?
Hayo ndio mashindano makubwa hapa Africa
Nyie mlicheza fainali ya CAF Confederation Cup ambayo ni mashindano madogo ukilinganisha na CAF Champions league
Kimataifa Yanga bado sana kuzifikia rekodi za Simba
Kwani Al Ahly alivyofungwa na hawa USMA kwenye CAF super cup je USMA walikuwa wapo kwenye klabu bingwa? Yaani hapo unajiona ndio una akili kabisaAkili za mashabiki wa Yanga za kisenge sana
Yani timu yao inatolewa klabu bingwa inaenda kucheza shirikisho wakihesabika ni losers wa klabu bingwa, wanafika fainali wanafungwa na timu ambayo haikuwa hata kwenye klabu bingwa USM Alger wanajiona bora
Ni dharau sana klabu iliyokuwa mashindano makubwa ya klabu bingwa kufungwa na klabu ambayo umeikuta kwenye shirikisho
Kwa maneno rahisi: Timu kubwa jinga(Yanga) alifungwa na katimu kadogo kashirikisho (USM Alger)
Jumapili siyo mbaliNi suala la muda tu
Shirikisho Simba ilifika fainali 1993S
Simba mashindano gani Kati championship au confederation. Alifika angalau nusu fainali tu, huku kwenye fainali Ni mbali, Nusu tu
Kwahiyo mwaka 1993 uliyocheza fainali ya shirikisho dhidi ya nani? bingwa akawa ni nani wa hilo kombe la shirikisho? Na je huyo bingwa alicheza dhidi ya nani katika CAF super cup ili kuanza kwa msimu mpya wa mashindano ya CAF?1993
Hilo swali hakuna mwanasimba anayeweza kukujibu kiufasahaKwahiyo mwaka 1993 uliyocheza fainali ya shirikisho dhidi ya nani? bingwa akawa ni nani wa hilo kombe la shirikisho? Na je huyo bingwa alicheza dhidi ya nani katika CAF super cup ili kuanza kwa msimu mpya wa mashindano ya CAF?
Shirikisho Simba ilifika fainali 1993
Nyie uto ni lini mlifika hata robo fainali ya klabu bingwa Afrika?
Naona unajidanganya waziwaziHii hawataki kusikia..Nadhani wengi ni wale wa 2000s
Sizungumzii jumapili...subiri makundi yaanzeJumapili siyo mbali
Hilo mimi nimefurahi kulisikia na ningeomba kufahamishwa na nye wahenga wa 1960sHii hawataki kusikia..Nadhani wengi ni wale wa 2000s
Pro max version 15Mbumbumbu
Mwaka gani?Mwiko nyuma leta ushahidi?Kwenye mechi ipi na lini?Ihefu ndio tumaini lenu? Hata Manchester City aliwahi kufungwa na timu inayoshiriki daraja la pili Preston
Sahihi mkuuHii hawataki kusikia..Nadhani wengi ni wale wa 2000s
3-0Hivi Enyimba alikufa ngapi jana?
Mashudu Abiola Cup1993
Nilishindwa kumfunga au nilikosa Ubingwa kwa kanuni?Lakini mlikutana shirikisho mbona ulishindwa kumfunga?
Hajui tofauti ya kufunga na kushindaMkuu uliangalia mechi zote mbili??