P Pig unit JF-Expert Member Joined Mar 27, 2023 Posts 248 Reaction score 288 Nov 2, 2023 #101 adriz said: Simba aliaminiwa na WaAfricka ila ameewaangusha sana ,timu gani kila msimu ni Robo tu miaka nenda rudi hawajifunzi makosa ? Yanga msimu wa kwanza baada ya miaka mingi kaingia fainali na msimu huu si ajabu akaishia nusu ama kutwaa kombe kabisa. Click to expand... Kwamba Yanga ni mara ya kwanza inashiriki mashindano ya africa? Kwamba haijawah fuzu kucheza mashindano ya africa??
adriz said: Simba aliaminiwa na WaAfricka ila ameewaangusha sana ,timu gani kila msimu ni Robo tu miaka nenda rudi hawajifunzi makosa ? Yanga msimu wa kwanza baada ya miaka mingi kaingia fainali na msimu huu si ajabu akaishia nusu ama kutwaa kombe kabisa. Click to expand... Kwamba Yanga ni mara ya kwanza inashiriki mashindano ya africa? Kwamba haijawah fuzu kucheza mashindano ya africa??
S Salary Slip Platinum Member Joined Apr 3, 2012 Posts 49,390 Reaction score 152,301 Nov 12, 2023 Thread starter #102 Kwa Mamelodi yametimia, bado Yanga.
S Salary Slip Platinum Member Joined Apr 3, 2012 Posts 49,390 Reaction score 152,301 Feb 24, 2024 Thread starter #103 Mtoto halali na hela said: Yanga ipi Click to expand... Leo unasemaje?