mike2k
JF-Expert Member
- May 12, 2016
- 1,571
- 3,448
- Thread starter
- #181
Mkuu nikushukuru sana kwa kutupa elimu kuhusu mkopo. Mimi nadhani Yanga walipaswa watukabidhiHii ndio ukisikiaumuhimu wa shule ndio maswala kama haya.
Kwanza mkopo hauna uhusiano na faida ila unaweza kuwa na uhusiano nabhasara iwapo gharama za mkopo(riba) ni kubwa hivyo kampuni au taasisi inaweza kuwa na mkopo ikapata faida na hata kutoa gawio.
Pili sio kila mkopo unapaswa kulipika ndani ya mwaka wa fedha hasa mikopo ya uwekezaji inaweza kuwa wa miaka 6 au hata 10. Hivyo kila mwaka kuna faida shirika au kampuni inapata bado mkoo ukaonekana.
Mwisho kuna watu wamekuwa wakihesabu mikataba iliyoingiwa na kusema mbona wamepewa fedha kidogo. Niwape nao shule kidogo
1. Suala la muda wa mkataba. Vs Muda wa hesabu za clab: Mwaka wa fedha cluba kama unaanza 1 may na kuishia 30 April.. mkataba wowote ukiingia mwizo wa kwanza yaani January utahesabika ni mwezi wa kwanza. Hivyo club ikifunga hesabu zake April itakuwa imepokea fedha za miezi 4 tu hivyo waliotegemea kuona fedha za mwaka mzima hawataziona na watashangaa. Hii ni kwa sabau ya suala la muda mwaka wa pili ndio wataiona full amount.
2. Suala la disbursement(mtirirko wa utoaji fedha) inawezekana pia fedha kutolewa kwa vipindi mfano miezi 3 mitatu. Sasa kabla ya malipo fulani kuiva ikawa ndio mwisho wa hesabu za shirika inakuwa na fedha hazijapokelew hivyo kinaweza kuona kidogo sana au kingi kuliko uhalalisia.
Hivyo kama hatujui tuwaulize wataalamu badala ya kupotosha umma
the annual report and consolidated financial statements
Ili iweze kuelezea zaidi mkopo wao kinagaubaga.