Yanga ndiyo club ya kwanza duniani yenye mkopo na bado ikapata faida ya million 500

Yanga ndiyo club ya kwanza duniani yenye mkopo na bado ikapata faida ya million 500

thamani ya 20b kwa 49% ilikua ni mwaka 2018 (see attachment), ndio mwaka makubaliano yalipofanyika......

2021 alipoonesha hundi (hundi fake tuseme) ilikua na maana na upande wa club nao watakua wamemaliza mchakato wao wa uuzaji shares zile 51%......

kiuhalisia MO hajaweka hizo hela, kwa sababu upande wa wanachama bado hatujui nani anamiliki hizo 51% na kwa njia ipi........, lkn ikitokea mchakato ukakamilika upande wa wanachama MO atatakiwa kulipa 20b kwa 49% as per 2016-18 agreementView attachment 2670225
Mo hajaweka 20B? mbona unanichanganya?
 
Good. Hebu niambie hiyo 6 Trillion yenye Loans &advances ni nini? Tuanzie hapo
Wewe hujitambui na kujielewa.

Kaangalie kwenye liabilities kama kuna hicho ulichosema...

Hapo wameongelea mikopo waliyotoa wao

Afu nenda kaangalie kwenye borrowings zao
 
Wewe hujitambui na kujielewa.

Kaangalie kwenye liabilities kama kuna hicho ulichosema...

Hapo wameongelea mikopo waliyotoa wao

Afu nenda kaangalie kwenye borrowings zao
Uko sahihi kabisa yawezekana niliangalia haraka ila bado ukweli uko palepale. Ni kwamba NMB ilikuwa na Liability ya 8. 55 Trillion wakati inapata faida ya 432 Billion. Hebu niambie wewe unayejitambua, je bado kampuni haiwezi kupata faida ikiwa na madeni?
 
Wewe hujitambui na kujielewa.

Kaangalie kwenye liabilities kama kuna hicho ulichosema...

Hapo wameongelea mikopo waliyotoa wao

Afu nenda kaangalie kwenye borrowings zao
Pia unaweza tusaidia ilikuwaje NMB yenye borrowings za 749 Billion ikawa na faida ya 432 Billion. Au kuwa na Cash and cash equivalent ya 1. 2778 Trillion?
 
Uko sahihi kabisa yawezekana niliangalia haraka ila bado ukweli uko palepale. Ni kwamba NMB ilikuwa na Liability ya 8. 55 Trillion wakati inapata faida ya 432 Billion. Hebu niambie wewe unayejitambua, je bado kampuni haiwezi kupata faida ikiwa na madeni?
We jamaa uelewa wako ni mdogo sana.

Ukiangalia kwenye liabilities asilimia 95 ni deposits za wateja ambazo ni Trilioni 7
 
Pia unaweza tusaidia ilikuwaje NMB yenye borrowings za 749 Billion ikawa na faida ya 432 Billion. Au kuwa na Cash and cash equivalent ya 1. 2778 Trillion?
Ndo tatizo la kudesa
 
Mtaji upi wakati kiasi kilichobaki kwemye mkopo.?
Kosa lililoko hapo ni kwamba mkopo haupaswi kuwepo kwenye imcome and expense sheet.
Kwa sababu mkopo ni liabiity.
Kiuhalisia yanga walikusanya billion 13
Matumizi yao yakafikia bilion 17.3
Kwa hiyo wakakopa bilion 4.8
Kwenye kujibana ndo ikabaki 500 million.

Sasa mtaji hapo hamna kiichobaki ni sdhemu ya mkopo.

Kwa hiyo kiustaarabu 500 wakilipa saiv ni wamepunguza deni.

Tungesema wamepata faida kama wamgekusanya billion 22. Alafu wakalipa hilo deni. Kiasi kilichobaki tungesema ni faida.
Ila hapo hakuna kitu kama hicho.
Mimi shabiki wa Yanga lakini kwa hili wamekosea. Na hapo Tra wanawasuburia wapige panga lao! Ila ingekuwa sehemu ya liability pengine wangekuwa na nafasi ya kukwepa corporate tax.

Wafanyabiashara wengi hutumia mkopo kupunguza maumivu ya kodi
 
We jamaa uelewa wako ni mdogo sana.

Ukiangalia kwenye liabilities asilimia 95 ni deposits za wateja ambazo ni Trilioni 7
Je hiyo deposit ya 7 trillion ni mali ya NMB ndugu mwenye uelewa mwingi?
 
Mimi shabiki wa Yanga lakini kwa hili wamekosea. Na hapo Tra wanawasuburia wapige panga lao! Ila ingekuwa sehemu ya liability pengine wangekuwa na nafasi ya kukwepa corporate tax.

Wafanyabiashara wengi hutumia mkopo kupunguza maumivu ya kodi
Hajaweka upande wa liability ameweka upande wa pesa zilizoingia
 
labda kama msimu ujao hawakopi tena, vinginevyo wanajidanganya!

umekopa mil 4, ukachanganya na zako toka vyanzo vingine, jumla una mil 17... ukapeleka kwenye kilimo, ukivuna mavuno ukapata milioni 17.5......

umeondoa matumizi yote, ukabakiwa na laki 5, utasema ni faida wakati hio deni hujaondoa?.....

ndio mana nasema labda kama huo mkopo ni uwekezaji (kwa case hapo juu ununuzi wa shamba), ndio utashangilia
Exactly
Wewe ndo umeonge kielimu zaidi tena elimu ya asili kabisa sio ya macpa
 
Mimi ni shabiki wa Yanga, profession yangu ni BA. Kuna kitu hapo hakipo sawa, hakuna faida endapo kama bado una deni ambalo halioneshi ngazi za ulipwaje wake. Hapo deni ni 4B, deni lina riba kiasi gani? Mbona ni loss kubwa sana hapo.
Naunga mkono hoja , tufanye hivi

Kama Yanga alikopa 4B na anatakiwa kurejesha kila mwaka milion 700 kwa miaka 10 na akawa amelipa hiyo 700 ya mkopo maana yake ni kwamba angepata milion 500 ya ziada baada ya matumizi basi ingehesabika amepata faida ya mil 500 kwa mwaka huu ila kitendo cha mkopo kuonekana upo na haujaoneshwa ulilipwa kiasi gani na wanatangaza eti wamepata faida kuna walakini.

Pia najiuliza Bajeti yao ni Bil 20 ila kwenye hizo Bilion wanadai tayari milion 500 wanazo (faida) hii Je,wana vyanzo vya mapato kwa msimu ujao kuipata hiyo bilion 19.5 bila mkopo? Nahisi kuna anguko huko mbele .Let us tune on tuombe uzima tu ila sioni kama Yanga watasave kikombe cha ukata huko mbele kwa madeni haya maana naaminini hata mwakani watakopa na kukopa tena na hiyo itawaweka kwenye risk kubwa zaidi ya kushindwa kuiendesha club vema maana madeni yana balaa lake yakilimbikizwa
 
Naomba kufahamu ukiwa na deni huwezi kupata faida? utalipa vipi deni kama biashara yako haina faida?
Hapa faida sio hoja sana jambo la msingi vitabu vya mahesabu vimeandaliwa kihuni wakati CPA Haji class Mate yupo hapo
 
mkuu, kiuendeshaji Yanga hajapata faida, ila ana hasara ya bil 4.3+....

mapato yote ya yanga kibiashara (yaliyotokana na biashara wanayofanya) ni bil 13,
matumizi kwa mwaka husika ni bil 17.3......

sasa, baada ya kuona matumizi ni makubwa kuliko mapato, wamekopa bil 4.8... ili kufidia nakisi ya hio hesabu,......

haya, niambie, kibiashara kuna faida hapo?
Hakuna faida.
 
Hapa faida sio hoja sana jambo la msingi vitabu vya mahesabu vimeandaliwa kihuni wakati CPA Haji class Mate yupo hapo
Kuna shida kwenye hii hesabu mkuu.
Mashabiki wanaleta tu ushabiki ila ni kweli kuna shida.
 
Back
Top Bottom