Japkas
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 3,011
- 4,617
Utasumbuka bure mkuuHata kama sijasoma finance hapa unanidanganya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utasumbuka bure mkuuHata kama sijasoma finance hapa unanidanganya
Good. Hebu niambie hiyo 6 Trillion yenye Loans &advances ni nini? Tuanzie hapoNioneshe hapo hilo deniView attachment 2670276
Mo hajaweka 20B? mbona unanichanganya?thamani ya 20b kwa 49% ilikua ni mwaka 2018 (see attachment), ndio mwaka makubaliano yalipofanyika......
2021 alipoonesha hundi (hundi fake tuseme) ilikua na maana na upande wa club nao watakua wamemaliza mchakato wao wa uuzaji shares zile 51%......
kiuhalisia MO hajaweka hizo hela, kwa sababu upande wa wanachama bado hatujui nani anamiliki hizo 51% na kwa njia ipi........, lkn ikitokea mchakato ukakamilika upande wa wanachama MO atatakiwa kulipa 20b kwa 49% as per 2016-18 agreementView attachment 2670225
Wewe hujitambui na kujielewa.Good. Hebu niambie hiyo 6 Trillion yenye Loans &advances ni nini? Tuanzie hapo
Uko sahihi kabisa yawezekana niliangalia haraka ila bado ukweli uko palepale. Ni kwamba NMB ilikuwa na Liability ya 8. 55 Trillion wakati inapata faida ya 432 Billion. Hebu niambie wewe unayejitambua, je bado kampuni haiwezi kupata faida ikiwa na madeni?Wewe hujitambui na kujielewa.
Kaangalie kwenye liabilities kama kuna hicho ulichosema...
Hapo wameongelea mikopo waliyotoa wao
Afu nenda kaangalie kwenye borrowings zao
Pia unaweza tusaidia ilikuwaje NMB yenye borrowings za 749 Billion ikawa na faida ya 432 Billion. Au kuwa na Cash and cash equivalent ya 1. 2778 Trillion?Wewe hujitambui na kujielewa.
Kaangalie kwenye liabilities kama kuna hicho ulichosema...
Hapo wameongelea mikopo waliyotoa wao
Afu nenda kaangalie kwenye borrowings zao
We jamaa uelewa wako ni mdogo sana.Uko sahihi kabisa yawezekana niliangalia haraka ila bado ukweli uko palepale. Ni kwamba NMB ilikuwa na Liability ya 8. 55 Trillion wakati inapata faida ya 432 Billion. Hebu niambie wewe unayejitambua, je bado kampuni haiwezi kupata faida ikiwa na madeni?
Ndo tatizo la kudesaPia unaweza tusaidia ilikuwaje NMB yenye borrowings za 749 Billion ikawa na faida ya 432 Billion. Au kuwa na Cash and cash equivalent ya 1. 2778 Trillion?
Mimi shabiki wa Yanga lakini kwa hili wamekosea. Na hapo Tra wanawasuburia wapige panga lao! Ila ingekuwa sehemu ya liability pengine wangekuwa na nafasi ya kukwepa corporate tax.Mtaji upi wakati kiasi kilichobaki kwemye mkopo.?
Kosa lililoko hapo ni kwamba mkopo haupaswi kuwepo kwenye imcome and expense sheet.
Kwa sababu mkopo ni liabiity.
Kiuhalisia yanga walikusanya billion 13
Matumizi yao yakafikia bilion 17.3
Kwa hiyo wakakopa bilion 4.8
Kwenye kujibana ndo ikabaki 500 million.
Sasa mtaji hapo hamna kiichobaki ni sdhemu ya mkopo.
Kwa hiyo kiustaarabu 500 wakilipa saiv ni wamepunguza deni.
Tungesema wamepata faida kama wamgekusanya billion 22. Alafu wakalipa hilo deni. Kiasi kilichobaki tungesema ni faida.
Ila hapo hakuna kitu kama hicho.
Je hiyo deposit ya 7 trillion ni mali ya NMB ndugu mwenye uelewa mwingi?We jamaa uelewa wako ni mdogo sana.
Ukiangalia kwenye liabilities asilimia 95 ni deposits za wateja ambazo ni Trilioni 7
Hajaweka upande wa liability ameweka upande wa pesa zilizoingiaMimi shabiki wa Yanga lakini kwa hili wamekosea. Na hapo Tra wanawasuburia wapige panga lao! Ila ingekuwa sehemu ya liability pengine wangekuwa na nafasi ya kukwepa corporate tax.
Wafanyabiashara wengi hutumia mkopo kupunguza maumivu ya kodi
Exactlylabda kama msimu ujao hawakopi tena, vinginevyo wanajidanganya!
umekopa mil 4, ukachanganya na zako toka vyanzo vingine, jumla una mil 17... ukapeleka kwenye kilimo, ukivuna mavuno ukapata milioni 17.5......
umeondoa matumizi yote, ukabakiwa na laki 5, utasema ni faida wakati hio deni hujaondoa?.....
ndio mana nasema labda kama huo mkopo ni uwekezaji (kwa case hapo juu ununuzi wa shamba), ndio utashangilia
Naunga mkono hoja , tufanye hiviMimi ni shabiki wa Yanga, profession yangu ni BA. Kuna kitu hapo hakipo sawa, hakuna faida endapo kama bado una deni ambalo halioneshi ngazi za ulipwaje wake. Hapo deni ni 4B, deni lina riba kiasi gani? Mbona ni loss kubwa sana hapo.
Ndio maana iko kwenye liabilitiesJe hiyo deposit ya 7 trillion ni mali ya NMB ndugu mwenye uelewa mwingi?
Hapa faida sio hoja sana jambo la msingi vitabu vya mahesabu vimeandaliwa kihuni wakati CPA Haji class Mate yupo hapoNaomba kufahamu ukiwa na deni huwezi kupata faida? utalipa vipi deni kama biashara yako haina faida?
Hakuna faida.mkuu, kiuendeshaji Yanga hajapata faida, ila ana hasara ya bil 4.3+....
mapato yote ya yanga kibiashara (yaliyotokana na biashara wanayofanya) ni bil 13,
matumizi kwa mwaka husika ni bil 17.3......
sasa, baada ya kuona matumizi ni makubwa kuliko mapato, wamekopa bil 4.8... ili kufidia nakisi ya hio hesabu,......
haya, niambie, kibiashara kuna faida hapo?
Kwa hiyo liabilities sio madeni kwa taasisi? Basi sawa.Ndio maana iko kwenye liabilities