joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Kazi za watu waliokaa darasani ndio wenye uwezo wa kutoa thamani halisi ya club, kama wataalamu wa Simba walivyo kaa wakaona thamani ya hisa 49% ni bil 20.Kwahiyo kama yanga haijaingia kwenye mambo ya hisa maana yake haina thamani? Tupe value ya yanga kwa wakati huu tuliopo? Au huijui?
Bado una kicha kigumu, bajeti ya simba ya mwaka huu unalinganisha na value ya klabu miaka ya nyuma, subiri unaowaita wataalam waje wavalue klabu mwaka huu tuone imekaribiana vipiKazi za watu waliokaa darasani ndio wenye uwezo wa kutoa thamani halisi ya club, kama wataalamu wa Simba walivyo kaa wakaona thamani ya hisa 49% ni bil 20.
So hata mimi na subiri wataalam wakae then watupe thamani halisi ya club ya Yanga, naweza kusema kwa mahaba ni bil 100,ila watalam wakaja kusema 40 au 50bil so tuwachie wenyewe.
Ila hii ya bajeti ya club kwa mwaka kuwa ina karibia hana na nusu ya thamani ya club,hii ipo Simba tu sijawahi kuona kwengine labda kama ww umeona utaniambia.
Hata leo ukisema utizame thamani ya club kubwa ulaya 2021,halafu uangalie na bajeti za club 2023 haiwezi kuwa inakaribiana na nusu ya thamani ya club kwa mwaka 2021.Bado una kicha kigumu, bajeti ya simba ya mwaka huu unalinganisha na value ya klabu miaka ya nyuma, subiri unaowaita wataalam waje wavalue klabu mwaka huu tuone imekaribiana vipi
Ulaya klabu zimeendelea kitambo, embu leta bajeti ya yanga ya kocha zahera na sasa uone tofauti.Hata leo ukisema utizame thamani ya club kubwa ulaya 2021,halafu uangalie na bajeti za club 2023 haiwezi kuwa inakaribiana na nusu ya thamani ya club kwa mwaka 2021.
Kwani huu mfumo wa hisa Simba wame adapt wapi si ulaya? Au ndio tumeadapt mfumo ila mambo tuna yapeleka kivyetuvuetu?Ulaya klabu zimeendelea kitambo, embu leta bajeti ya yanga ya kocha zahera na sasa uone tofauti.
Kama unajua bajeti zimatajwa mwaka huu kwanini ulinganishe na value ya klabu ya miaka iliyopita?Kwani huu mfumo wa hisa Simba wame adapt wapi si ulaya? Au ndio tumeadapt mfumo ila mambo tuna yapeleka kivyetuvuetu?
Simba na Yanga mara ya mwisho kiwasikia wanatangaza bajeti zao ni lini kama sio mwaka huu? Sikumbuki lini Simba na Yanga walitangaza bajeti zao zaidi ya mwaka huu,maana Simba Jan 23 walisema bajeti ya msimu ujao wanategemea kuwa 13bil,juzi wakasema 23bil na Yanga nao ni 20bil ndizo nilizo sikia.
Ya Zahera kama ulisikia labda ni ww mimi sijawahi kusikia,Simba ya Zahera au ya Kibadeni ikitangaza bajeti ya club rasmi kama mwaka huu.
Kuna kitu kinaitwa directly proportional na inversely proportional hesabu tu za 4m2 ambazo zinaweza kukupa just approximately value, if ukiwa INITIAL VALUE, Yanga hana ila ila Simba tayari 2021 alithaminisha value yake (Initial value) kwa 49% ni 20bil.Kama unajua bajeti zimatajwa mwaka huu kwanini ulinganishe na value ya klabu ya miaka iliyopita?
Ndio maana kuna kitu nimehighlight INITIAL VALUE, inakiwezesha kufanya projection.Kama unajua bajeti zimatajwa mwaka huu kwanini ulinganishe na value ya klabu ya miaka iliyopita?
ADUI MUOMBEE NJAANdio maana kuna kitu nimehighlight INITIAL VALUE, inakiwezesha kufanya projection.
Halafu kwenye mfumo wa hisa kila mwaka lazima watoe thamani ya club husika, ushajiuliza why Simba baada ya 21 hawakutoa value halisi ya club yao.
Tufanye simba wamepigwa na Mo haya tulia na roho yako ifurahiKuna kitu kinaitwa directly proportional na inversely proportional hesabu tu za 4m2 ambazo zinaweza kukupa just approximately value, if ukiwa INITIAL VALUE, Yanga hana ila ila Simba tayari 2021 alithaminisha value yake (Initial value) kwa 49% ni 20bil.
Au hata zile hesabu za shamba,za darasa la VII.
Uzuri roho yangu inafurahi kila siku hata kabla ya Mo kuwekeza Simba, so ni mwendelezo tu wa hiko ulicho kiongea.Tufanye simba wamepigwa na Mo haya tulia na roho yako ifurahi