joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Kazi za watu waliokaa darasani ndio wenye uwezo wa kutoa thamani halisi ya club, kama wataalamu wa Simba walivyo kaa wakaona thamani ya hisa 49% ni bil 20.Kwahiyo kama yanga haijaingia kwenye mambo ya hisa maana yake haina thamani? Tupe value ya yanga kwa wakati huu tuliopo? Au huijui?
So hata mimi na subiri wataalam wakae then watupe thamani halisi ya club ya Yanga, naweza kusema kwa mahaba ni bil 100,ila watalam wakaja kusema 40 au 50bil so tuwachie wenyewe.
Ila hii ya bajeti ya club kwa mwaka kuwa ina karibia hana na nusu ya thamani ya club,hii ipo Simba tu sijawahi kuona kwengine labda kama ww umeona utaniambia.