Yanga ndiyo club ya kwanza duniani yenye mkopo na bado ikapata faida ya million 500

Nmekusoma mkuu
 
Ujifunze ya nyoko,
Ungetaka kujifunza usingeanza na kuandika dharau kqa Yanga, ungeuliza inakuaje timu inadaiwa lakini inapata faida? Hapo ndio wataalam tungekuelimisha. Kolo wewe mwenye masikio kama upawa wa kuchotea makande.
Mkuu umenitukana bure tu.
Nimefanya ka uchunguzi kidogo tu kwa club za ulaya zenye madeni.
Kwenye financial statements report zao kwenye upande expenditure wameonyesha kuwa wamelipa deni la mkopo.
Sasa hii ya kwenu ni kituko kwa sababu mkopo hamjalipa alagu mnasema mmepata faida.

Uoni hapo pana shida. Coz mapato bila huo mkopo singeweza kufanya matumizi. Kwa hiyo hata hiyo million 500 ni mkopo umebaki ka kiasi hapo.. Alafu mnakaita ni faida.

Na issue nyingine ni kwamba hamjaosheshwa kiasi alichotoa GSM.
 
Mkuu umeeleweka vyema.
Kwa hiyo mkopo huu wa Yanga utaonekana kwenye hesabu zijazo.
 
Mfanyabiashara mwnye deni la milion 10 benki hana haki ya kufurahia faida ya lako mbili mpaka amalize deni au siyo??sometimes tufiche ujinga wetu,mkopo haulipwi mara moja,
Huu upuuzi ndo ulikuwa unafanywa na mashirika ya umma kipindi cha JPM.
WANAKOPA BENKI wanampelekea JPM kuwa ni faida.
Hiki kitu hakija kaa sawa.
Kukopa fedha alafu uiite ni faida.
Hii ni hesabu ya aina ghani?
 
😂😂😂 Mashabiki wa hizi timu zetu wanafanya kama watoto. Wamewawakea na mkopo Kama mapato ya club. Sasa fatilia huo mkopo wamepata kutoka wapi watashika kichwa kujua jamaa anawadai
 
Mkuu umeeleweka vyema.
Kwa hiyo mkopo huu wa Yanga utaonekana kwenye hesabu zijazo.
Mkuu huo mkopo muda wake ni miaka mingapi? Kama ni kumi utaendelea kuonekana next ten year. Kama ni miaka miwili maana yake utakoma baada ya hiyo miaka kuisha simple
 
Mfanyabiashara mwnye deni la milion 10 benki hana haki ya kufurahia faida ya lako mbili mpaka amalize deni au siyo??sometimes tufiche ujinga wetu,mkopo haulipwi mara moja,
Wamewalaghai. mkopo hauwekwi kwenye mapato ili kuangalia faida. Mkopo unatakiwa kuonekana kwenye balance sheet ambayo inaonesha mali zinazomilikiwa na club dhidi ya madeni ya club.
Kiujumla wamewapiga na kitu kizito kwenye utosi
 
Jamani kuna somo la financial literacy (tafsiri isiyo rasmi huduma za fedha) yanafundishwa bure tusome kidogo itakusaidia kuepuka aibu kama ya hii post
Mkopo kuwa sehemu ya mapato alafu haujaulipa unatuambia una faida.
Hiyo hata haiihitaji kusoma ni uongo wa kiwango cha makinikia.
Ndo ule upuuzi wa mashirika ya umma kipindi cha JPM. Yanakopa fedha bank alafu yanampelekea magufuli yanamwambia ni faida.
 
We kama hujui masuala ya fedha ni hujui yaani umeona viongozi wooote waliokaa na kuandika report ni mbulula kama wewe. Please give respect kwa taaluma za watu. Kama hujui omba ufahamishwe.

Simple hesabu tu. Nenda kwenye kampuni yeyote kubwa soma financial report kama unajua kuzisoma. Kwenye Profit and loss angalia sehemu ya faida je wamepata faida.

Kisha nenda kwenye balance sheet sehemu ya financed by utaona mkopo walionao.

Kampuni kubwa zotezina mikopo na zinatengeneza faida.

Narudia tena heshimuni taaluma za watu nawe utaheshimiwa katika taaluma yako
 
Mimi ni shabiki wa Yanga, profession yangu ni BA. Kuna kitu hapo hakipo sawa, hakuna faida endapo kama bado una deni ambalo halioneshi ngazi za ulipwaje wake. Hapo deni ni 4B, deni lina riba kiasi gani? Mbona ni loss kubwa sana hapo.
 
Mfanyabiashara mwnye deni la milion 10 benki hana haki ya kufurahia faida ya lako mbili mpaka amalize deni au siyo??sometimes tufiche ujinga wetu,mkopo haulipwi mara moja,
Unajua maana ya deni na kwa nini ulikopa kwa ajili ya biashara? Unajua maana ya faida ktk biashara mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…