Yanga ndiyo club ya kwanza duniani yenye mkopo na bado ikapata faida ya million 500

Yanga ndiyo club ya kwanza duniani yenye mkopo na bado ikapata faida ya million 500

Ya kihasibu kutoka kwenye vyanzo vipi? Sioni hapo risiti au references za mapato na matumizi zaidi ya ushabiki.

Sasa ina tofauti gani na hii 23bil bajeti, huku mwakezaji akinunua timu kwa 20bil au hapa uhasibu hauingii.
Chanzo ni rais wa Yanga kwenye mkutano mkuu.
Wala siyo siri mkuu.
Mkopo siyo mapato.
Mkopo ni liability.
 
Attachments

  • Screenshot_20230626-125200.jpg
    Screenshot_20230626-125200.jpg
    159.4 KB · Views: 2
Hapo number 2 deni si linalipwa mda wa marejesho ukifika? hio 500M ni sehemu ya mtaji
Mtaji upi wakati kiasi kilichobaki kwemye mkopo.?
Kosa lililoko hapo ni kwamba mkopo haupaswi kuwepo kwenye imcome and expense sheet.
Kwa sababu mkopo ni liabiity.
Kiuhalisia yanga walikusanya billion 13
Matumizi yao yakafikia bilion 17.3
Kwa hiyo wakakopa bilion 4.8
Kwenye kujibana ndo ikabaki 500 million.

Sasa mtaji hapo hamna kiichobaki ni sdhemu ya mkopo.

Kwa hiyo kiustaarabu 500 wakilipa saiv ni wamepunguza deni.

Tungesema wamepata faida kama wamgekusanya billion 22. Alafu wakalipa hilo deni. Kiasi kilichobaki tungesema ni faida.
Ila hapo hakuna kitu kama hicho.
 
Habari ya kigoma ndugu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chanzo ni rais wa Yanga kwenye mkutano mkuu.
Wala siyo siri mkuu.
Mkopo siyo mapato.
Mkopo ni liability.
Sasa chanzo kama rais wa Yanga,hata mimi chanzo nilicholeta nimekitoa kwa CEO wa Simba vip kwa hesabu za kihasibu zipo sawa thamani ya timu ni ndogo kuliko bajeti ya msimu mmojawa timu au hii haikuhusu sababu ni ya Simba au ndio tuichunie.

Mimi sio muhasibu, ila kwenye kukopa haina maana faida yote utairudisha kwenye kulipa mkopo, kwani hata huo mkopo unalipwa kwa awamu.Halafu uhasibu ni hesabu za kawaida ndio hatujui Asset,ledger,trial balance ila ni vitu vina eleweka hamna mule Calcus, Trigometry au complex numbers.

Ila unataka kufanya mambo makubwa.
 
Mimi nimesoma financial management nikiwa Diploma, lete facts tuzijadili hapa. Mkopo ukiingia kama sehemu ya mapato, unapaswa uonekane upate wa matumizi vile vile wakati wa kulipwa.

Tuongee kwa hoja tuweke ushabiki pembeni.
kwanza we msomi nikuulize swali mkopo wa yanga ni

1. Term loan
2. Overdraft
3. Long term invedtment loan?
ni ai gani ya mkopo?

Je yanga anapaswa kulipa mkopo huo kwa muda gani?

Pia naomba utuambia cashflow ya Yanga ikoje maana mtu akilewa juice ya miwa iliyochachuka huwa kumbukumbu zinapotea
 
Ya kihasibu kutoka kwenye vyanzo vipi? Sioni hapo risiti au references za mapato na matumizi zaidi ya ushabiki.

Sasa ina tofauti gani na hii 23bil bajeti, huku mwakezaji akinunua timu kwa 20bil au hapa uhasibu hauingii.
Tofauti ni kubwa sana.
Labda useme haumuamini rais wako kwa sababu ndo aliyeweka hadharani.
Na huko mtandaoni viongozi waanajinasibu sana kuwa wana faida.
Mkopo siyo revenue.
Mkopo ni liability.
 
Sasa chanzo kama rais wa Yanga,hata mimi chanzo nilicholeta nimekitoa kwa CEO wa Simba vip kwa hesabu za kihasibu zipo sawa thamani ya timu ni ndogo kuliko bajeti ya msimu mmojawa timu au hii haikuhusu sababu ni ya Simba au ndio tuichunie.

Mimi sio muhasibu, ila kwenye kukopa haina maana faida yote utairudisha kwenye kulipa mkopo, kwani hata huo mkopo unalipwa kwa awamu.Halafu uhasibu ni hesabu za kawaida ndio hatujui Asset,ledger,trial balance ila ni vitu vina eleweka hamna mule Calcus, Trigometry au complex numbers.

Ila unataka kufanya mambo makubwa.
Unataka kututoa kwenye ajenda kwa kuleta ushabiki wako maandazi hapa.
Msimamo ni huu huu mkopo siyo income.
Mkopo ni liability.
Mkopo hauwekwi kwenye income and expenses sheet.

A loan isn't revenue or income — it's an obligation, and so it will show up on a company's balance sheet as an obligation, while the payments on the loan will appear as a payment, specifically usually under the heading of interest expense, in the income statement.

Sisi tunachoangalia hapa ni faida ambayo haipo ya yanga 2022/23 wewe unaleta story za bajeti ya Simba ya 2023/24 ambayo bado haijawekwa hadharani Official.
Yanga wamekusanya billion 12. 5
Yanga wametumia billion 17.3
Yanga kwa kuona mapato hayatoshi wakakopa billion 4.8 ili matumizi yao yatimie vizuri.
Wakajibana ikabaki million 500.
Hii million 500 imebaki kwenye mkopo.
Huwezi kuita kiasi kiichobaki kwenye faida kuwa ni mkopo..
Mkopo siyo ufadhili.

Msimamo wa kwenye hesabu za fedha ni huu hapa
Mkopo siyo mapato.
Mkopo ni liability.
Mkopo siyo ufadhili.
 
labda kama msimu ujao hawakopi tena, vinginevyo wanajidanganya!

umekopa mil 4, ukachanganya na zako toka vyanzo vingine, jumla una mil 17... ukapeleka kwenye kilimo, ukivuna mavuno ukapata milioni 17.5......

umeondoa matumizi yote, ukabakiwa na laki 5, utasema ni faida wakati hio deni hujaondoa?.....

ndio mana nasema labda kama huo mkopo ni uwekezaji (kwa case hapo juu ununuzi wa shamba), ndio utashangilia
Ni hiyo laki 5 ni faida ndiyo.
 
Tofauti ni kubwa sana.
Labda useme haumuamini rais wako kwa sababu ndo aliyeweka hadharani.
Na huko mtandaoni viongozi waanajinasibu sana kuwa wana faida.
Mkopo siyo revenue.
Mkopo ni liability.
So inamaana ukiwa na mkopo faida itakayo ipata yote unaitreat kama ya mkopo? Mkopo ona phase za malipo, Mo ,Bakheresa nk wana mikopo kibao ila kila siku kwenye mahesabu yao watasema mwaka huu tumeingiza kiasi fulani, mfanyo kiwanda cha Sukari cha Bakheresa, unazani kajenga kwa hela yake ya mfukoni? Ila still kuna hela atakayo iingiza atahesabu kama faida na nyingine ataenda kulipa mkopo.

Mbona knowledge ya kawaida sio Calcus useme unatumia akili nyingi.
 
Unataka kututoa kwenye ajenda kwa kuleta ushabiki wako maandazi hapa.
Msimamo ni huu huu mkopo siyo income.
Mkopo ni liability.
Mkopo hauwekwi kwenye income and expenses sheet.

A loan isn't revenue or income — it's an obligation, and so it will show up on a company's balance sheet as an obligation, while the payments on the loan will appear as a payment, specifically usually under the heading of interest expense, in the income statement.

Sisi tunachoangalia hapa ni faida ambayo haipo ya yanga 2022/23 wewe unaleta story za bajeti ya Simba ya 2023/24 ambayo bado haijawekwa hadharani Official.
Yanga wamekusanya billion 12. 5
Yanga wametumia billion 17.3
Yanga kwa kuona mapato hayatoshi wakakopa billion 4.8 ili matumizi yao yatimie vizuri.
Wakajibana ikabaki million 500.
Hii million 500 imebaki kwenye mkopo.
Huwezi kuita kiasi kiichobaki kwenye faida kuwa ni mkopo..
Mkopo siyo ufadhili.

Msimamo wa kwenye hesabu za fedha ni huu hapa
Mkopo siyo mapato.
Mkopo ni liability.
Mkopo siyo ufadhili.
Nikutoe kwenye agenda ipi na bookkeeping yako ya kuunga unga. Kampuni zote zina mikopo,hata hao wakina Bakheresa wana mikopo mikubwa ila still bado kuna hela ataiccount kama faida,akiondoa za matumizi yake na ndani ya matumizi ndipo kuna hela ya kulipa huo mkopo. Hesabu za kawaida za kibiashara.
 
Yanga wameweka financial statements report yao juzi kwenye mkutano wao mkuu.

Ila kwa sisi wana uchumi wa brat na trap kuna sehemu haijaeleweka na tena viongozi wao wanajisifu kabisa.

Ni kwamba kwa mwaka wa fedha 2022/23 wameingiza faida ya million 500.

View attachment 2669309

Ukiangalia kwenye mapato yao wana deni la zaidi ya billion 4.8 ambalo ni sawa na 26.9% ya jumla ya mapato yao ya mwaka uliopita wa fedha.

Na ukiangalia hapo kwneye matumizi deni halijalipwa. Yaani ni nje ya mkopo mapato yao hayakuweza kutoshea matumizi yao so wakakopa. Kwa hiyo hiyo 500 millions ni kiasi kilichobaki kwenye mkopo.

Nnajua humu kuna wahasibu na wazoefu wa hesabu za fedha naomba kujuzwa hapa.

Ukiwa na deni unaweza kusema una faida ilhali deni hilo halijalipwa?

Au ni kujisahulisha tu lakini lazima deni lilipwe mwaka mwingine wa fedha.

Sasa tuingie kwenye elimu ya finance and accounting.

Swali la msingi hapa
IS LOAN A REVENUE?
No, a loan is not a revenue. Revenue is the income that a company generates from its normal business activities, such as selling goods or services. A loan is a liability, which is a debt that a company owes to another party. The interest that is paid on a loan is an expense, not a revenue.

Hitimisho: MKOPO SIYO MAPATO.
Masuala yanayohusu taaluma tunashauri mkae kimya kuliko kujichotea aibu. Hebu tuambie wewe Msomi wa uchumi BRAT
ni nini?
 
Yaani hapa shida iko kwenye kujua mambo yanahusika kwenye income statement na Cashflow statement.

Ukiandaa Cashflow statement huwezi iacha pesa uliyoipata kupitia mkopo kwa kuwa inaathiri matumizi ya taasisi. Cashflow stement inaonyesha pesa zote zilizoingia bila kujali zilitoka wapi dhidi ya matumizi kwa kipindi husika. Baada ya hapo mtaonyesha Kama mlitumia ZAIDI au PUNGUFU ya kile mlichokuwa nacho kwenye hazina yenu

Income statement inaonyesha mapato dhidi ya ghalama za uendeshaji wa taasisi. Sasa huku pesa ya Loan haiwi Kama sehemu ya mapato ya taasisi ila Liability na interest kuwa Kama operating expenses.

Ili wajumbe waelewe pesa zilizopatikana zilitumikaje ni vizuri ukawasomea CASHFLOW STATEMENT. Hapo ndio utaona kuna UPUNGUFU au ZIADA.

Ukiwa na mkopo unaingiza faida au hasara. Itategemea na shughuli yenu inaendaje. Kama huna matarajio ya kupata faida huwezi kopesheka maana namna ya kulipa mkopo itakuwa ngumu.
 
Mimi ni shabiki wa Yanga, profession yangu ni BA. Kuna kitu hapo hakipo sawa, hakuna faida endapo kama bado una deni. Na kwanini deni halijalipwa hata kidogo? Hapo deni ni 4B, deni lina riba kiasi gani? Mbona ni loss kubwa sana hapo.
Sasa huko shule ulienda kusomea nn maskin nchi yangu
 
Unataka kututoa kwenye ajenda kwa kuleta ushabiki wako maandazi hapa.
Msimamo ni huu huu mkopo siyo income.
Mkopo ni liability.
Mkopo hauwekwi kwenye income and expenses sheet.

A loan isn't revenue or income — it's an obligation, and so it will show up on a company's balance sheet as an obligation, while the payments on the loan will appear as a payment, specifically usually under the heading of interest expense, in the income statement.

Sisi tunachoangalia hapa ni faida ambayo haipo ya yanga 2022/23 wewe unaleta story za bajeti ya Simba ya 2023/24 ambayo bado haijawekwa hadharani Official.
Yanga wamekusanya billion 12. 5
Yanga wametumia billion 17.3
Yanga kwa kuona mapato hayatoshi wakakopa billion 4.8 ili matumizi yao yatimie vizuri.
Wakajibana ikabaki million 500.
Hii million 500 imebaki kwenye mkopo.
Huwezi kuita kiasi kiichobaki kwenye faida kuwa ni mkopo..
Mkopo siyo ufadhili.

Msimamo wa kwenye hesabu za fedha ni huu hapa
Mkopo siyo mapato.
Mkopo ni liability.
Mkopo siyo ufadhili.
Au mfano maana kuna wengine bila scenario hamu helewi.Mfano umekopa sh 100,unatakiwa ulipe 120 baada ya miaka mitano, huku 20 ni riba yake na kila PHASE natakiwa kulipa 25 per Yr.

So biashara zako kwa mwaka unaingiza 50,kwa hiyo 25 ni ya mkopo assume 15 ni kwa ajili ya matumizi mengine,hivi hiyo 10 iliyobaki utaitreat kama nini?
 
kwanza we msomi nikuulize swali mkopo wa yanga ni

1. Term loan
2. Overdraft
3. Long term invedtment loan?
ni ai gani ya mkopo?

Je yanga anapaswa kulipa mkopo huo kwa muda gani?

Pia naomba utuambia cashflow ya Yanga ikoje maana mtu akilewa juice ya miwa iliyochachuka huwa kumbukumbu zinapotea
1. Sidhani kama Yanga imetoa taarifa za kina juu ya huo mkopo, mimi sikusikiliza hiyo hotuba. Sidhani kama ni rahisi kujua huo mkopo ni aina ipi kati ya hizo 3 ulizoziweka hapo, japo inaonekana inaweza ikadondokea namba 1.

2. Uongozi ndo ulipaswa kutoa taarifa za namna ya kurejeshwa kwa mkopo huo. Sisi tutajuaje wakati hata huo mkataba wa mkopo hatuufahamu, jina la tu aliyetukopesha hatulijui. Kuna shida mahali, tuacheni ushabiki wa Simba na Yanga, hizi pesa hawa jamaa wanatuibia sana, ndo maana hizi timu hazina maendeleo yao.

3. Narudia tena, kama pesa inaonesha iliingia, na sio accrual account, hii sio bajeti pia bali ni real income. Ilipaswa ioneshe matumizi yake au laah kwenye kufunga hesabu, tungeona negative ya 4B ambayo ingetokana na deni ambalo tunalo.
 
Au mfano maana kuna wengine bila scenario hamu helewi.Mfano umekopa sh 100,unatakiwa ulipe 120 baada ya miaka mitano, huku 20 ni riba yake na kila PHASE natakiwa kulipa 25 per Yr.

So biashara zako kwa mwaka unaingiza 50,kwa hiyo 25 ni ya mkopo assume 15 ni kwa ajili ya matumizi mengine,hivi hiyo 10 iliyobaki utaitreat kama nini?
Milioni 500 ndicho kilichobaki ktk club yetu ya Yanga, sasa pesa iliyobaki after matumizi sio lazima ndo iwe faida. Rais amekuja kutupiga changa la macho hapo.
 
Back
Top Bottom