Yanga ndiyo club ya kwanza duniani yenye mkopo na bado ikapata faida ya million 500

Yanga ndiyo club ya kwanza duniani yenye mkopo na bado ikapata faida ya million 500

Kwani deni ni hasara au sehemu ya mtaji?
Deni ni sehemu ya mtaji, sasa huwezi kusema umeanza kupata faida wakati bado mtaji haujarudi.

Ulikuwa na 50,000. Ukaomba mkopo wa 30,000 ili kuendesha biashara. Ukipata fedha za mauzo 70,000 huwezi kuiita profit sababu bado mtaji haujaruda.

Turudi pale pale ktk tafsir ya faida, faida ni nini?
 
Yanga wameweka financial statements report yao juzi kwenye mkutano wao mkuu.

Ila kwa sisi wana uchumi wa brat na trap kuna sehemu haijaeleweka na tena viongozi wao wanajisifu kabisa.

Ni kwamba kwa mwaka wa fedha 2022/23 wameingiza faida ya million 500.

View attachment 2669309

Ukiangalia kwenye mapato yao wana deni la zaidi ya billion 4.8 ambalo ni sawa na 26.9% ya jumla ya mapato yao ya mwaka uliopita wa fedha.

Na ukiangalia hapo kwneye matumizi deni halijalipwa. Yaani ni nje ya mkopo mapato yao hayakuweza kutoshea matumizi yao so wakakopa. Kwa hiyo hiyo 500 millions ni kiasi kilichobaki kwenye mkopo.

Nnajua humu kuna wahasibu na wazoefu wa hesabu za fedha naomba kujuzwa hapa.

Ukiwa na deni unaweza kusema una faida ilhali deni hilo halijalipwa?

Au ni kujisahulisha tu lakini lazima deni liipwe mwaka mwingine wa fedha.

kama uta post taatifa yote ya fedha tutakuelewesha , kwa mfano huo mkopo ni wa muda Gani? gharama za mkopo(Riba+rejesho la mkopo)?
 
Ni kweli inawezekana mkopo usilipwe kwa mkupuo kutokana na makubaliano. Kwahiyo kwenye matumizi wangeonyesha at least wamelipa 100M then wakasema wamepata faida ya 400M kidogo tungeelewa, kuliko kutangaza faida ya 500M wakati mwaka mzima hawajapunguza deni.
Tutumie akili tu ya kimaisha ya kawaida, una 50,000 ya kuuza mayai kama mtaji, umezunguka mtaani ukarudi na mauzo ya 20,000 Utasema kuwa umepata faida ya 20,000? Faida tunaanza kuihesabu pale ambapo kile ulichowekeza kimepitwa na mauzo, kile kilichozidi kutoka kwenye mauzo ndio faida.
 
labda kama msimu ujao hawakopi tena, vinginevyo wanajidanganya!

umekopa mil 4, ukachanganya na zako toka vyanzo vingine, jumla una mil 17... ukapeleka kwenye kilimo, ukivuna mavuno ukapata milioni 17.5......

umeondoa matumizi yote, ukabakiwa na laki 5, utasema ni faida wakati hio deni hujaondoa?.....

ndio mana nasema labda kama huo mkopo ni uwekezaji (kwa case hapo juu ununuzi wa shamba), ndio utashangilia
Deni linaingiza sehem ya source of income, likilipwa linaingia kama liability, ni matumizi, ni pesa imetoka.

Huwezi kusema umepata faida wakati mauzo hayajafikia na kuzidi chanzo cha mapato.
 
Tutumie akili tu ya kimaisha ya kawaida, una 50,000 ya kuuza mayai kama mtaji, umezunguka mtaani ukarudi na mauzo ya 20,000 Utasema kuwa umepata faida ya 20,000? Faida tunaanza kuihesabu pale ambapo kile ulichowekeza kimepitwa na mauzo, kile kilichozidi kutoka kwenye mauzo ndio faida.
Au tutumie mfano huu.
Nimekusanya 100000
Matumizi yangu ni 125000
Kwa hiyo nikakopa 25000 ili matumizi yangu niweze kutimiza.

Katika kutumia hayo matumizi nikatumia 120000
Ikabaki 5000.
Je hiyo 5000 iliyobaki tunaweza kusema ni faida?
Kumbuka ile 25000 niliyokopa sijarudisha.
 
Jamani kuna somo la financial literacy (tafsiri isiyo rasmi huduma za fedha) yanafundishwa bure tusome kidogo itakusaidia kuepuka aibu kama ya hii post
Mimi nimesoma financial management nikiwa Diploma, lete facts tuzijadili hapa. Mkopo ukiingia kama sehemu ya mapato, unapaswa uonekane upate wa matumizi vile vile wakati wa kulipwa.

Tuongee kwa hoja tuweke ushabiki pembeni.
 
Wamewalaghai. mkopo hauwekwi kwenye mapato ili kuangalia faida. Mkopo unatakiwa kuonekana kwenye balance sheet ambayo inaonesha mali zinazomilikiwa na club dhidi ya madeni ya club.
Kiujumla wamewapiga na kitu kizito kwenye utosi
Hata hapo hapo ingeweza tu kuonesha, sio lazima iwe balance sheet. Kwenye difference in accounts ilipaswa kusoma NEGATIVE na sio positive.
 
kama uta post taatifa yote ya fedha tutakuelewesha , kwa mfano huo mkopo ni wa muda Gani? gharama za mkopo(Riba+rejesho la mkopo)?
Hizi taarifa ndo viongozi waangepaswa wazionyeshe.
 
Mfanyabiashara mwnye deni la milion 10 benki hana haki ya kufurahia faida ya lako mbili mpaka amalize deni au siyo??sometimes tufiche ujinga wetu,mkopo haulipwi mara moja,
Sasa kama una akili timamu unafurahi vipi wakati una deni? Huu upumbavu wa kiwango cha lami.
 
1.HILO DENI LITALIPWA NDANI YA MIAKA MINGAPI NA KWA MAREJESHO YA SHINGAPI KWA KILA AWAMU.
.
2.DENI LINATAKIWA KULIPWA KWENYE MWAKA UPI WA FEDHA .
.
APO ME NADHANI DENI LITALIPWA KWENYE MWAKA WA FEDHA UNAOFUATA (BADO ITAKUWA NI MWAKA HUU WA 2023).

MTOA MADA UNGEULIZA KWANZA KULIKO KUKURUPUKIA FANI ZA WATU
Hujajibu swali ila umepiga ramli.
 
Yanga wameweka financial statements report yao juzi kwenye mkutano wao mkuu.

Ila kwa sisi wana uchumi wa brat na trap kuna sehemu haijaeleweka na tena viongozi wao wanajisifu kabisa.

Ni kwamba kwa mwaka wa fedha 2022/23 wameingiza faida ya million 500.

View attachment 2669309

Ukiangalia kwenye mapato yao wana deni la zaidi ya billion 4.8 ambalo ni sawa na 26.9% ya jumla ya mapato yao ya mwaka uliopita wa fedha.

Na ukiangalia hapo kwneye matumizi deni halijalipwa. Yaani ni nje ya mkopo mapato yao hayakuweza kutoshea matumizi yao so wakakopa. Kwa hiyo hiyo 500 millions ni kiasi kilichobaki kwenye mkopo.

Nnajua humu kuna wahasibu na wazoefu wa hesabu za fedha naomba kujuzwa hapa.

Ukiwa na deni unaweza kusema una faida ilhali deni hilo halijalipwa?

Au ni kujisahulisha tu lakini lazima deni lilipwe mwaka mwingine wa fedha.

Sasa tuingie kwenye elimu ya finance and accounting.

Swali la msingi hapa
IS LOAN A REVENUE?
No, a loan is not a revenue. Revenue is the income that a company generates from its normal business activities, such as selling goods or services. A loan is a liability, which is a debt that a company owes to another party. The interest that is paid on a loan is an expense, not a revenue.

Hitimisho: MKOPO SIYO MAPATO.

Mnapata tabu Mwenyekiti wenu huko Kolo FC kasema bajeti ya timu msimu huu ni bil 23,huku thamani ya Simba ni bil 20.

Vp hapa hebu tuchambulie yaani bajeti ya msimu mmoja inazidi thamani ya timu.
 
Mnapata tabu Mwenyekiti wenu huko Kolo FC kasema bajeti ya timu msimu huu ni bil 23,huku thamani ya Simba ni bil 20.

Vp hapa hebu tuchambulie yaani bajeti ya msimu mmoja inazidi thamani ya timu.
Thamani ya Simba lini ilikuwa ni Bilioni 20?
 
Naomba kufahamu ukiwa na deni huwezi kupata faida? utalipa vipi deni kama biashara yako haina faida?
Kabla sijakujibu ngoja nikueleze kitu. Kuna makosa kwenye hii Revenue and expenditure sheet. Mkopo umewekwa kama revenue.
Kwenye finance and accounting hakuna kitu kama hiki ni makosa.
Kwa sababu ya definition ya loan
The term loan refers to a type of credit vehicle in which a sum of money is lent to another party in exchange for future repayment of the value or principal amount. In many cases, the lender also adds interest or finance charges to the principal value, which the borrower must repay in addition to the principal balance.
Kwa maana hii ni kwamba mkopo siyo mapato. Hapo kwa yanga wanaonyesha kuwa mkopo ni mapato.
Kitu ambacho hakipo kabisa katika hesabu za kifedha.

Mkopo unakuja kuonekana kama expense pale unapoanza kulipwa.
Kujibu swali lako la
Naomba kufahamu ukiwa na deni huwezi kupata faida?
Jibu ni ndiyo unaweza kupata faida.
Kwa case ya yanga wangetuambia wana faida kama wangelipa hilo deni la billion 4.8 kisha wakabakiwa na million 500 kitu ambacho hakipo.. Kulingana na hesabu yao.

Swali la pili.
utalipa vipi deni kama biashara yako haina faida?
Kwa case ya yanga wangeanza kupunguza hilo deni kwa kulipa hiyo 500 million ambayo wanatudanganya ni faida.
 
Attachments

  • 1687605095295.jpg
    1687605095295.jpg
    132.2 KB · Views: 2
Mnapata tabu Mwenyekiti wenu huko Kolo FC kasema bajeti ya timu msimu huu ni bil 23,huku thamani ya Simba ni bil 20.

Vp hapa hebu tuchambulie yaani bajeti ya msimu mmoja inazidi thamani ya timu.
Hii post iko ki uhasibu zaidi.
Kama unaleta ushabiki maandazi hapa utapata tabu.
Mkopo siyo mapato.
Mkopo ni liability.
 
Hii post iko ki uhasibu zaidi.
Kama unaleta ushabiki maandazi hapa utapata tabu.
Mkopo siyo mapato.
Mkopo ni liability.
Ya kihasibu kutoka kwenye vyanzo vipi? Sioni hapo risiti au references za mapato na matumizi zaidi ya ushabiki.

Sasa ina tofauti gani na hii 23bil bajeti, huku mwakezaji akinunua timu kwa 20bil au hapa uhasibu hauingii.
 
Kabla sijakujibu ngoja nikueleze kitu. Kuna makosa kwenye hii Revenue and expenditure sheet. Mkopo umewekwa kama revenue.
Kwenye finance and accounting hakuna kitu kama hiki ni makosa.
Kwa sababu ya definition ya loan
The term loan refers to a type of credit vehicle in which a sum of money is lent to another party in exchange for future repayment of the value or principal amount. In many cases, the lender also adds interest or finance charges to the principal value, which the borrower must repay in addition to the principal balance.
Kwa maana hii ni kwamba mkopo siyo mapato. Hapo kwa yanga wanaonyesha kuwa mkopo ni mapato.
Kitu ambacho hakipo kabisa katika hesabu za kifedha.

Mkopo unakuja kuonekana kama expense pale unapoanza kulipwa.
Kujibu swali lako la
Naomba kufahamu ukiwa na deni huwezi kupata faida?
Jibu ni ndiyo unaweza kupata faida.
Kwa case ya yanga wangetuambia wana faida kama wangelipa hilo deni la billion 4.8 kisha wakabakiwa na million 500 kitu ambacho hakipo.. Kulingana na hesabu yao.

Swali la pili.
utalipa vipi deni kama biashara yako haina faida?
Kwa case ya yanga wangeanza kupunguza hilo deni kwa kulipa hiyo 500 million ambayo wanatudanganya ni faida.
Hapo number 2 deni si linalipwa mda wa marejesho ukifika? hio 500M ni sehemu ya mtaji
 
Back
Top Bottom