Yanga ndiyo club ya kwanza duniani yenye mkopo na bado ikapata faida ya million 500

Yanga ndiyo club ya kwanza duniani yenye mkopo na bado ikapata faida ya million 500

Milioni 500 ndicho kilichobaki ktk club yetu ya Yanga, sasa pesa iliyobaki after matumizi sio lazima ndo iwe faida. Rais amekuja kutupiga changa la macho hapo.
So pesa iliyo baki baada ya matumizi kwa mujibu wako unaiitaje?

Maana hata hili halii hitaji degree labda kama unataka ligi.Maana kiswahili kila siku kinakua unaweza kuongeza msamiati mwengine.
 
Au mfano maana kuna wengine bila scenario hamu helewi.Mfano umekopa sh 100,unatakiwa ulipe 120 baada ya miaka mitano, huku 20 ni riba yake na kila PHASE natakiwa kulipa 25 per Yr.

So biashara zako kwa mwaka unaingiza 50,kwa hiyo 25 ni ya mkopo assume 15 ni kwa ajili ya matumizi mengine,hivi hiyo 10 iliyobaki utaitreat kama nini?
Mkopo hauwekwi kwenye income and expenses statement sheet. Kwa sababu mkopo ni liability.
Unataka mifano ili uelewe...
Hii ni annual report and consolidated financial statements ya mwaka 2022 ya liverpool.
Tutumie template kama mfano

Angalia Loans (debt) iko kwenye section ghn katika balance sheet.

Hii hesabu haijakaa sawa bado inazalisha maswali.
Ukweli ambao wangewaambia mashabiki zao ni walikusanya b 12.5 wakatumia 17.3
Kwa sababu walichokusanya hakitoshi wakakopa b 4.8 ili waweze kutimiza matumizi yao kama club.
Lakink kwenye mkopo kikabaki kiasi kidogo.
Huwezi kuita kiasi kilichobaki kwenye mkopo kuwa ni faida.

Labda wangetueleza aina ya mkopo waliochukua ni shortterm au longterm.

Kama ni mkopo wa muda mrefu nakuabaliana na wewe kuwa hiyo m 500 ni faida kwa sasa. Na faida hii imepatikana kutoka kwenye kilichobaki katika mkopo huo.
Lakini bado anasisitiza kuwa kwenye profit and loss statement sheet hatuweki mkopo.
 
1. Sidhani kama Yanga imetoa taarifa za kina juu ya huo mkopo, mimi sikusikiliza hiyo hotuba. Sidhani kama ni rahisi kujua huo mkopo ni aina ipi kati ya hizo 3 ulizoziweka hapo, japo inaonekana inaweza ikadondokea namba 1.

2. Uongozi ndo ulipaswa kutoa taarifa za namna ya kurejeshwa kwa mkopo huo. Sisi tutajuaje wakati hata huo mkataba wa mkopo hatuufahamu, jina la tu aliyetukopesha hatulijui. Kuna shida mahali, tuacheni ushabiki wa Simba na Yanga, hizi pesa hawa jamaa wanatuibia sana, ndo maana hizi timu hazina maendeleo yao.

3. Narudia tena, kama pesa inaonesha iliingia, na sio accrual account, hii sio bajeti pia bali ni real income. Ilipaswa ioneshe matumizi yake au laah kwenye kufunga hesabu, tungeona negative ya 4B ambayo ingetokana na deni ambalo tunalo.
Mkuu na hiki ndo ambacho najiuliza nikiweka ushabiki pembeni.
Hii hapa UEFA annual report and consolidated financial statements ambayo inatumiwa na club zote za ulaya kuwasilisha hesabu zao za mwaka.
 
Mtaji upi wakati kiasi kilichobaki kwemye mkopo.?
Kosa lililoko hapo ni kwamba mkopo haupaswi kuwepo kwenye imcome and expense sheet.
Kwa sababu mkopo ni liabiity.
Kiuhalisia yanga walikusanya billion 13
Matumizi yao yakafikia bilion 17.3
Kwa hiyo wakakopa bilion 4.8
Kwenye kujibana ndo ikabaki 500 million.

Sasa mtaji hapo hamna kiichobaki ni sdhemu ya mkopo.

Kwa hiyo kiustaarabu 500 wakilipa saiv ni wamepunguza deni.

Tungesema wamepata faida kama wamgekusanya billion 22. Alafu wakalipa hilo deni. Kiasi kilichobaki tungesema ni faida.
Ila hapo hakuna kitu kama hicho.
So kampuni yenye haki ya kutangaza faida ni ile tu isiyokua na mkopo?
 
Mkuu na hiki ndo ambacho najiuliza nikiweka ushabiki pembeni.
Hii hapa UEFA annual report and consolidated financial statements ambayo inatumiwa na club zote za ulaya kuwasilisha hesabu zao za mwaka.
Kuna swali zuri umeulizwa "taasisi yenye mkopo haitakiwi kutangaza faida "?
 
Ngoja wahasibu wenye CPA waje mm bwana mifugo tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Huhitaji CPA, kulijua hilo. Ni cheti cha mwaka mmoja cha uhasibu kinatosha. Jibu rahisi ni kuwa unaweza ukapata faida japo una mkopo. Kama hujaelewa, sema tukuelezee vizuri, lakini usisahau kuweka wazi Elimu yako ya juu uliyofikia. Ili maelezo yetu yaendane na kiwango cha elimu yako.
 
Hivi 500M ni faida au ni baki ya pesa baada ya manunuzi?

Ukienda kununua product ya 5,000 ukafika ukakuta inauzwa 4,000 utasema buku ni faida?

Mi nadhani faida ni ile iliyotokana baada ya bidhaa ya 5,000 kuja kuuzika, sasa chenchi ya buku nayo inaitwa faida?
Profit=Revenues-Expenses.
 
1. Sidhani kama Yanga imetoa taarifa za kina juu ya huo mkopo, mimi sikusikiliza hiyo hotuba. Sidhani kama ni rahisi kujua huo mkopo ni aina ipi kati ya hizo 3 ulizoziweka hapo, japo inaonekana inaweza ikadondokea namba 1.

2. Uongozi ndo ulipaswa kutoa taarifa za namna ya kurejeshwa kwa mkopo huo. Sisi tutajuaje wakati hata huo mkataba wa mkopo hatuufahamu, jina la tu aliyetukopesha hatulijui. Kuna shida mahali, tuacheni ushabiki wa Simba na Yanga, hizi pesa hawa jamaa wanatuibia sana, ndo maana hizi timu hazina maendeleo yao.

3. Narudia tena, kama pesa inaonesha iliingia, na sio accrual account, hii sio bajeti pia bali ni real income. Ilipaswa ioneshe matumizi yake au laah kwenye kufunga hesabu, tungeona negative ya 4B ambayo ingetokana na deni ambalo tunalo.
Basi kama hujui tukubaliane tu ni sahihi kusema taarifa yao ya fedha haina makosa.
 
Mkuu na hiki ndo ambacho najiuliza nikiweka ushabiki pembeni.
Hii hapa UEFA annual report and consolidated financial statements ambayo inatumiwa na club zote za ulaya kuwasilisha hesabu zao za mwaka.
Sikutegemea kama katika hili tungeweka ushabiki, mashabiki wa Simba na Yanga tungeungana ili kutokomeza huu ujanja ujanja wa hawa mabosi, Club hazina akademy za maana, hazina mali za kueleweka, pesa zote za faida zinabaki kulipa madeni ambayo wametukopesha.
 
Swali langu naomba lijibiwe taasisi yenye mkopo haina haki ya kutangaza faida? Na Kama mambo ndio haya hakuna taasisi inayo tengengeneza faida hapa duniani
 
Mimi ni shabiki wa Yanga, profession yangu ni BA. Kuna kitu hapo hakipo sawa, hakuna faida endapo kama bado una deni. Na kwanini deni halijalipwa hata kidogo? Hapo deni ni 4B, deni lina riba kiasi gani? Mbona ni loss kubwa sana hapo.
Rudi tena shule kadai ada yako.
 
Naomba kufahamu ukiwa na deni huwezi kupata faida? utalipa vipi deni kama biashara yako haina faida?
ndio,
faida kwa nature ya makampuni ni pale tu unapo-break even........
 
Mimi ni shabiki wa Yanga, profession yangu ni BA. Kuna kitu hapo hakipo sawa, hakuna faida endapo kama bado una deni. Na kwanini deni halijalipwa hata kidogo? Hapo deni ni 4B, deni lina riba kiasi gani? Mbona ni loss kubwa sana hapo.
Mkuu kwani ni lazima kutumia faida yote kulipa deni mpaka limalizike ndio uanze kuhesabu faida, si unaweza kutumia sehemu ndogo tu ya faida kulipunguza kidogo kidogo?.......Kuna mikopo ya kulipwa kwa kipindi kirefu tena kidogo kidogo tu.
 
2
alilipa mwaka gani?

dodoma viwanja 50x50 mwaka 2015 ilikua less than 10M...

leo eneo lile lile unaweza pata uwanja wa ukubwa huo kwa bei hio hio?
So kutoka 2021 mpaka 2023 ndio imedouble?
 
Back
Top Bottom