Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Atakaebisha ataajiriwa Dp World Kwa Mkataba usio na kikomo.Utafiti huu.
Hapo hakuna ukubwa bali mashabiki wa Yanga ni watu wa misisimko ivo ni rahisi kugeuzwa wateja.Ndiyo ukubwa huo. Sasa kumbe majibu unayo halafu una kataana nayo?
Huna akili kolo mkubwaMm ni YANGA DAMU ila YANGA ni ndogo sana kama abajaro tu
Yaani kujibu watu tu wawili ndiyo imeshakuwa nachangia mwenyewe?Uzi una uchangia sana mwenyewe tulia KOLO-MUANI
Singida Fountain GateYanga ni timu ya kawaida ukiilinganisha na timu ipi labda?
Na Ihefu... πππYanga ni timu ya kawaida ukiilinganisha na timu ipi labda?
Mbumbumbu mli laaniwa na nani? Kusoma gazeti ni uzee? by the way uzee sio ugonjwa ni barakaNi kweli mashabiki wake wengi wazee hivyo kwenye hizi digital platform wanaona chenga chenga
Hiyo ni kabla ya digital platforms we mbweha!..2005/6 kiingilio game za Simba ilikua buku jero wakati yanga buku 3Ni kweli mashabiki wake wengi wazee hivyo kwenye hizi digital platform wanaona chenga chenga
Wewe ni SimbaMm ni YANGA DAMU ila YANGA ni ndogo sana kama abajaro tu
Usisahau ni timu pekee iliyokuja ikitembeza kapu ili ipate mapato ya kuendesha timu, pia ni timu pekee iliyoiomba TFF mechi zake za msimu wa kwanza zianzie nyumbani Kwa sababu hawakuwa na pesa za kutosha kuzunguka mkoaNa ndio timu pekee ambayo kiingilio ilikua buku 10 bila kujali ijaze au isijaze
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Haiakisi kichwa cha habari.Kuna rafiki yangu alikuwa anamiliki gazeti la michezo wakati fulani. Rafiki yangu huyu alinipa Siri ni Kwa vyombo vya habari huwa vinaipaisha sana Yanga.
Alisema kuwa mashabiki Wa Simba si wanunuzi Wa habari za michezo kuliko mashabiki wa Yanga.
Kwa maelezo yake ni kwamba siku Yanga ikishinda mauzo ya habari za Yanga huwa Juu kuliko Simba ikishinda.
Kwa Ivo Yanga ni lazime isifiwe Kwa Kila njia Ili watu wafanye biashara.